KISWAHILI FORM 2 SCHEMES OF WORK TERM 1-3
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI |
SOMO |
SHABAHA |
MBINU |
VIFAA |
ASILIA |
MAONI |
1-4 | KUFUNGUA | ||||||
5 | 1 | Matamshi Bora
Vitate b na p |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno ya p na b Kutunga sentensi sahihi Kueleza tofauti kimaana |
Kusikiliza na kuandika Kutamka |
Chati Ubao Wanafunzi |
Oxford BK 1 UK 16 KLB BK 1 UK 1 Chemichemi BK 1 UK 36-45 |
|
2 | Maamkizi na Adabu
Nyumbani na dukani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza misamiati tofauti ya adabu Kutunga sentensi akitumia maneno ya adabu |
Kuandika Kujadili Kufunga zoezi |
Chati Redio Kadi Ubao |
Oxford BK 1 UK 12 KLB BK 1 UK 1 Kamusi ya Kiswahili |
||
3 | Ufahamu
Chanzo cha utovu wa nidhamu shuleni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kufungu kwa matamshi bora Kujibu maswali kwa ufasaha |
Kusoma kimya
Kusoma na kudokezana Kujadili Kuandika madaftarini |
Ubao Kifungu kitabuni |
KLB BK 1 UK 4-6 Kamusi ya kiswahili |
||
4 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kifungu na kuandikisha hoja muhimu Kuandika muhtasari kwa njia ifaayo |
Kujadili Kuandika madaftarini |
Ubao Kifungu kitabuni |
KLB BK 1 UK 7-8 Mwongozo wa kiswahili |
||
5
na 6 |
Sarufi
Aina za maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha maana za kila neon Kubainisha katika sentensi |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika |
Chati Ubao Vifaa halifi |
Oxford BK 1 UK 23
KLB BK 1 UK 8-9 Chemichemi BK 1 UK 31-48 |
||
6 | 1 | Sentenzi
Aina za sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza miundo mbalimbali ya sentenzi, Kutunga sentenzi |
Kuandika Kujadili Kutunga sentenzi |
Ubao Jedwali |
KLB BK 1 UK 10-13 Oxford UK 37 Mwongozo UK 8 |
|
2
na 3 |
Kuandika
Insha – maana Insha ya barua |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufafanua sehemu muhimu za insha Kueleza sifa zake Kuandika insha kwa mtiririko nzuri na hati nzuri |
Kujadili Kuandika |
Kielelezo kitabuni Ubao |
KLB BK 1 UK 13-15 Oxford UK 57 Chemichemi UK 14-16
|
||
4 | Vitate
R – L |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno ya R na L, Kutunga sentensi |
Kutamka Kuandika Kutunga sentensi |
Chati Ubao Wanafunzi |
KLB BK 1 UK 10-13 Kamusi ya kiswahili
|
||
5 | Sarufi
Aina za sauti Irabu na konsonanti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja ala za kutamkia Kutamka irabu/konsonanti Kuchora mkondo wa hewa |
Kutamka Kuandika Kuchora |
Jedwali Ubao |
KLB BK 1 UK 16-20 Oxford UK 1-3
|
||
6 | Ufahamu
Mawasiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kutamka bora Kujadili Kujibu maswali kwa ufasaha |
Kusoma kifungu Kujadili Kufanya maswali madaftarini |
Kifungu kitabuni Ubao Michoro |
KLB BK 1 UK 13-15 Mwongozo UK 12-13
|
||
7 | 1-2 | Sarufi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia alama za uakifishaji ipasavyo Kubainisha alama na matumizi yao |
Kujadili Kuandika madaftarini |
Jedwali Ubao |
KLB BK 1 UK 22-25 Oxford UK 40
|
|
3 | Vitate
F na V |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno ya sauti F na V Kutunga sentensi |
Kutamka Kuandika |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 27 Mwongozo UK 14
|
||
4 | Kuandika
Vitanza ndimi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka upesi na kwa ufasaha Watunge vitanza ndimi |
Kutamka Kuandika Kutunga |
Vifaa halisi Ubao |
KLB BK 1 UK 26 Chemichemi UK 51
|
||
5 | Ufahamu
Mama aficha simu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha Kujadili Kujibu maswali |
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kifungu kitabuni Ubao |
KLB BK 1 UK 28 Mwongozo UK 16-17
|
||
6 | Fasihi
Maana Umuhimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya fasihi Kuandika umuhimu wa fasihi |
Kuandika Kujadili |
Ubao Vifaa halisi |
KLB BK 1 UK 49 Oxford UK 48
|
||
8 | 1 | Ufahamu
Safari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali kwa ufasaha |
Kusoma kwa kupokezana
Kujadili kuandika |
Vifaa halisi Ubao Kitabu cha wanafunzi |
KLB BK 1 UK 28-30 Mwongozo UK 17-18 |
|
2 | Sarufi
Ngeli ya A-WA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua umuhimu wa ngeli Kufanya zoezi kwa ufasaha |
Kuandika Kujadili |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 30-32 Oxford UK 49
|
||
3 | Kuandika
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika insha ya taarifa kwa mtiririko na hati nadhifu |
Kujadili Kuandika |
Ubao Kielelezo kitabuni |
KLB BK 1 UK 33 |
||
4 | Misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya misemo Kutumia misemo kwa ufasaha sentensini |
Kuandika Kujadili Kufanya zoezi |
Jedwali Ubao |
KLB BK 1 UK 37 Oxford UK 16 Kamusi ya misemo |
||
5 | Kusoma
Maisha ya mjini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali kwa ufasaha |
Kusoma Kujadili Kuandika |
Ubao Kifungu kitabuni Vifaa halisi |
KLB BK 1 UK 37-39 Mwongozo UK 23
|
||
6 | Sauti tatanishi
Ch na Sh |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno ya sauti Ch na Sh Kutunga sentensi sahihi |
Kutamka Kuandika Kufanya zoezi |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 34 |
||
9 | 1 | Sarufi
Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia nomino za ngeli ya U-I kwa ufasaha katika sentensi |
© Education Plus Agencies
Kuandika Kujadili Kufanya zoezi |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 40 Oxford UK 49
|
|
2-3 | Kuakifisha 2 | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia alama za uakifishaji ipasavyo Kubainisha matumizi ya kila alama |
Kujadili Kuandika Kutunga sentensi |
Jedwali Ubao |
KLB BK 1 UK 41
Oxford UK 127 Mwongozo UK 25 |
||
4 | Kuandika
Kujaza fomu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja aina za fomu Kujaza fomu kwa ufasaha |
Kuandika Kujaza fomu |
Vielelezo vya fomu Ubao |
KLB BK 1 UK 49 Oxford UK 78
|
||
5 | Fasihi
Aina za fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina za fasihi Kutaja mifano yao |
Kujadili Kuandika |
Cahti Ubao |
KLB BK 1 UK 51 Oxford UK 8-9 Mwongozo UK 28 |
||
6 | Kusoma
Mavazi rekebisheni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali kwa ufasaha |
Kusoma kwa kupokezana
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kielelezo kitabuni Ubao |
KLB BK 1 UK 51-53 Mwongozo UK 29 Kamusi ya kiswahili
|
||
10 | 1 | Sarufi
Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA Kutumia nomino hizo katika sentensi |
Kunadika Kutunga sentensi |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 53-55 Oxford UK 50 Mwongozo UK 30 |
|
2 | Kuandika
Maelezo/maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika insha kwa mtiririko mzuri na hati nadhifu |
Kujadili Kuandika Kutunga mtungo |
Kielelezo kitabuni Ubao Jedwali
|
KLB BK 1 UK 55-56 Oxford UK 36 |
||
3 | Ufahamu
Dawa za kulevya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora Kujibu maswali |
Kusoma Kujadili Kufanya zoezi |
Ubao Kifungu kitabuni |
KLB BK 1 UK 57 Mwongozo wa mwalimu |
||
4 | Kusoma
Maradhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali vilivyo |
Kusoma Kujadili Kufanya zoezi |
Ubao Vifaa halisi Kifungu kitabuni |
KLB BK 1 UK 58-59 Kamusi ya kiswahili
|
||
5 | Sarufi
Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua nomino za ngeli ya KI-VI Kutumia ngeli hizo sentensini |
Kujadili Kuandika |
Jedwali Ubao |
KLB BK 1 UK 60 Mwongozo UK 36
|
||
6 | Sarufi
Ngeli ya U-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua nomino za ngeli ya KI-VI Kutumia katika sentensi |
Kuandika Kutunga sentensi |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 61-63 Oxford UK 49-51
|
||
11 | 1 | Kusoma
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja matumizi ya kamusi Kueleza sifa za kamusi |
Kusoma Kuandika |
Jedwali Vifaa halisi Kamusi mbalimbali |
KLB BK 1 UK 70-74 Oxford UK 33-34 Kamusi |
|
2 | Sarufi
Ngeli ya I-ZI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua nomino ya ngeli ya I-ZI Kutunga sentensi |
Kuandika Kutunga sentensi |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 74-76 Oxford UK 50 Mwongozo UK 42 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Sarufi
Ngeli ya I-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja na kutambua nomino za ngeli ya I-I Kutumia nomino za ngeli hizo katika sentensi |
Kujadili Kuandika Kutunga sentensi |
Ubao Chati |
KLB BK 1 UK 76-77 Oxford UK 51
|
||
5-6 | Fasihi
Nyimbo – Maana – Umuhimu – Sifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja na kueleza aina za nyimbo Kupambanua dhima za nyimbo mbalimbali |
Kueleza Kuimba Kusoma Kuandika |
Wimbo Redio na kanda za nyimbo Wanafunzi wenyewe |
KLB BK 1 UK 67 Chemichemi UK 162
|
||
12 | 1-2 | Sarufi
Ngeli ya YA-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA Kutumia ngeli hizo katika sentensi |
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Chati Ubao |
KLB BK 1 UK 63 Oxford UK 63
|
|
3 | Kuandika
Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua vipengele muhimu nya insha ya maelezo Kuandika insha |
Kuandika Kujadili |
Kielelezo kitabuni Ubao |
KLB BK 1 UK 65 Chemichemi UK 104-105
|
||
4-6 | Marudio
Sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua sifa za sarufi Aina za sentensi pamoja na maneno |
Kujadili Kuandika |
Ubao |
Vitabu vyao |
||
13 | 1-6 | MARUDIO | |||||
14-15 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA NA KUFUNGA SHULE |