MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA_kwanza___7___MUHULA_WA KWANZA______MWAKA________
| JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | |
| 1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Maamkizi na adabu jema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 2 MWM UK1 | |
| 2 | kusoma Ufahamu | Chada chema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu na kuigiza mchezo huo na kujibu maswali ya ufahamu | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 3 MWM UK3 | ||
| 3 | Maombo ya lugha | Shairi ‘saiti kwenda wema’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairi ‘na kueleza fuzo la shairi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 4 MWM UK4 | ||
| 4 | Sarufi | Uakifishaji | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutumia alama za uakifishaji | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK5 MWM UK4 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Heshima | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumia maneno ya heshima ifaayo katika insha | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK5-7 MWM UK5 | ||
| 2 | 1 | Kuongea/kusikiliza | vitate | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutamka na kutofautisha maana ya vitate | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK7 MWM UK7 | |
| 2 | Ufahamu | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu maswali na kuandika barua ya kirafiki | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK8 MWM UK8 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Tanakali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK9 MWM UK9 | ||
| 4 | Sarufi | Uakifishaji | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia alama za uakifishaji katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK11 MWM UK10 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Ngoma ya umundi (barua) | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha (barua) akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK12 MWM UK10 | ||
| 3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Visawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha visawe na kutumia baadhi ya misamiati wa visawe kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 13 MWM UK11 | |
| 2 | Ufahamu | Hotuba Upatilize udungo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 14 MWM UK12 | ||
| 3 | Mapabo ya lugha | Methali zenye ‘ni’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kutumia baadhi ya methali zenye ‘ni’ | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 15 MWM UK14 | |||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya ‘ni’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia ‘ni’ kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK17 MWM UK26 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Hutuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akiunganisha sehemu za sentensi usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 19 MWM UK18 | ||
| 4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Kisa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kueleza na kutumia msamiati kuipamba lugha kwa usahihi | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 22 MWM UK20 | ||
| 2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 25 MWM UK22 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Fani mbalimbali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia fani mbalimbali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK28 MWM UK23 | ||
| 4 | Sarufi | Katika | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘ katika’ kwa usahihi | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK29 MWM UK24 | |||
| 5 | Kuandika (insha) | Uadishi wa hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK30 MWM UK | ||
| 5 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
| Nomino ambata | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua baadhi ya nomio ambata | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 12 MWM UK25 | |
| 2 | Ufahamu | Uongo haufai | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK38 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali zenye kwa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zenye neno ‘kwa’ kwausahihi | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK39 MWM UK | ||
| 4 | Sarufi | ‘kwa’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘kwa’katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 40 MWM UK28 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Picha hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia na kufasiri michoro walizo pewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 13 MWM UK | ||
| 6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya kike na kieme
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza na kutumia baadhi ya majina ya kike na kiume | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 30 MWM UK29 | |
| 2 | Ufahamu | Barua rasmi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK31 MWM UK31 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Maneno ya vitendo vya mwili
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika maneno ya vitendo vya mwili | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 34 MWM UK33 | ||
| 4 | Sarufi | Viulizi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viulizi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 35 MWM UK34 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Barua rasmi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomeka barua rasmi kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunz -Kamusi -Kamusi i | KS KCM UK 46 MWM UK35 | ||
| 8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Redio na telivisheni | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuelezana kusikiliza ujube kwa redio au televisheni kufafanua ujube | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 37 MWM UK37 | |
| 2 | Ufahamu | Malaria
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | MWM UK39 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Semi za neno ‘piga’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumia semi zenye neno ‘piga’ katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | MWM UK40 | ||
| 4 | Sarufi | ‘po’ ya wakati
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia po’ ya wakati kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | MWM UK | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Malaria | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kutunga na kuandika insha kwa kuzipanga sentensi ulizo pewa | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | MWM UK40 | ||
| 9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ukimwi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa kujadili athari za ukimwi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | MWM UK | |
| 2 | Ufahamu | Ukimwi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro -Kamusi | MWM UK42 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Vitendawili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua kutega na kutegua vitendawili na maana zake katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | MWM UK43 | ||
| 4 | Sarufi | Nge, Ngali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia ‘nge’ na ‘ngali’ katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | MWM UK45 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Ukimwi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa maneno uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | MWM UK45 | ||
| 10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Uhusiano
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno baadhi ya msamiati wa wa watu na nchi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -Picha kiabuni | MWM UK46 | |
| 2 | Ufahamu | Kwame
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi -Kamusi | MWM UK47 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Mafumbo
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kufumba na kufumbua mafumbo katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | MWM UK51 | ||
| 4 | Sarufi | ‘o’ rejeshi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi ‘o’ rejeshi kwa usahihi katika ngeli zote | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | MWM UK52 | ||
| 5 | Kusikiliza na kuzungumza | Wazalendo
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika inshatatu juu ya kupigania uhuru kutoka kwenye jedwali | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | Redio runinga -Kamusi | MWM UK 54 | ||
| 11 | ||||||||
| 12 | 1-5 | Marudio | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
| 13 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA___7____MUHULA_WA PILI______MWAKA________
| JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | |
| 1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Mapambo ya mwili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mapambo ya mwili | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 60 MWM UK61 | |
| 2 | kusoma Ufahamu | Nyama ya ulimi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 61 MWM UK62 | ||
| 3 | Maombo ya lugha | Semi zenye neno ‘ulimi’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia semi zenye neno ulimi kwa usahihi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 63 MWM UK63 | ||
| 4 | Sarufi | ‘o’ rejeshi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha na kutumia ‘’o’ rejeshi mwishoni mwa kitenzi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 65 MWM UK62 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Mapambo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili na kutumia msamiati wa mapambo kwa usahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 66 MWM UK63 | ||
| 2 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Vifaa vya ufundi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiati wa vifaa vya fundi Na kuitumia kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK67 MWM UK64 | |
| 2 | Ufahamu | Viatu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 69 MWM UK65 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK70 MWM UK66 | ||
| 4 | Sarufi | Hali ya kutendesha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kunyambua vitenzi katika hali ya kutendesha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua kunyambuamza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 71 MWM UK67 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Hatua za kutengeneza viatu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akifuata hatua alizopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 73 MWM UK68 | ||
| 3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya nchi na ulaiya | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaaya majina ya nchi na wenyenji wake | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 76 MWM UK68 | |
| 2 | Ufahamu | Olimpiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK77 MWM UK70 | ||
| 3 | Mapabo ya lugha | Ufishadi umeenea | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kukariri shairi ufihadi umeenea | – kukariri -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK77 MWM UK71 | ||
| 4 | Sarufi | Nge, ngali (ukanusho) | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘nge, na ngali katika ukanusho | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 78 MWM UK72 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Kazi nitakayoifanya | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha juu ya kazi ambayo wangependa kuifanya watakapo kuwa wakumbwa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 78 MWM UK73 | ||
| 4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kubainisha vitawe na kutumia katika sentensi | -Picha kiabuni | KS KCM UK 109 MWM UK73 | ||
| 2 | Ufahamu | Tunda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK78 MWM UK | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua maana na kutumia methali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 78 MWM UK74 | ||
| 4 | Sarufi | Viambishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viambishi mwanzoni na katikati ya neno kwa usahihi | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 79 MWM UK | |||
| 5 | Kuandika (insha) | Insha methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 80 MWM UK76 | ||
| 5 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
| Malipo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kutumia baadhi ya msamiati wa malipo | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha -Kamusi wanafunzi | KS KCM UK 81 MWM UK78 | |
| 2 | Ufahamu | Mkono mrefu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 82 MWM UK79 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Semi ‘mkono’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia semi zinazotumia neno mkono | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 83 MWM UK99 | ||
| 4 | Sarufi | Kutendana
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kunyambua kitenzi katika hali ya kutendeana na kutendatenda | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 85 MWM UK81 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Picha hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia picha aliyopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 86 MWM UK82 | ||
| 6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Watu na kazi zao
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia baadhi ya msamiati wa watu na kazi zao | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 87 MWM UK86 | |
| 2 | Ufahamu | Ufinyanzi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kujadili funzo,kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 88 MWM UK87 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Wasakatonge
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kukariri shairi kwa maadhari na kuleza ujumbe | -kukariri -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 89 MWM UK88 | ||
| 4 | Sarufi | Viambishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika viamishi awali na katikati mwa neno | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 90 MWM UK90 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Mjadala
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 91 MWM UK91 | ||
| 8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Nomino za makundi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia baadhi ya nomino za makundi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 92 MWM UK92 | |
| 2 | Ufahamu | Idd mubarak
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kujadili -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 94 MWM UK92 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Kanakali za sauti
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia tanakaliza sauti katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 95 MWM UK93 | ||
| 4 | Sarufi | Vivumishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi ya sifa , nafsi na za ziada ipasavyo | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 97 MWM UK96 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Sherehe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya sherehe kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 98 MWM UK97 | ||
| 9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Tarakimu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya tarakimu kutoka 1,000’000 hadi 10,000,000 nakuziandika | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 99 MWM UK98 | |
| 2 | Ufahamu | Mazingira yetu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 99 MWM UK97 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Semi ‘shika’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubaini na kutumia baadhi ya semi zenye neno ‘shika’ | -kusoma -kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 100 MWM UK97 | ||
| 4 | Sarufi | Vivumishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi vionyeshi viulizi na ‘a’ unganifu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 100 MWM UK98 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Usafi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha jinsi ya kufanya mitaa iwe safi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 102 MWM UK99 | ||
| 10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Huduma ya kwanza
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya matendo ya toa huduma ya kwanza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -Picha kiabuni | KS KCM UK 102 | |
| 2 | Ufahamu | Tangazo
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 103 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Tanakali za sauti
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti zinazo eleza hali ya watu | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 104 MWM UK | ||
| 4 | Sarufi | Kutendana
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza vitenzi katika hali ya kutendana | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 104 MWM UK | ||
| 5 | Kusikiliza na kuzungumza | Matangazo
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza na kuandika insha juu ya matangazo | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | Redio runinga | KS KCM UK 106 MWM UK |
| 11 | 1-5 | Marudio | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 107 MWM UK115 | |
| 12 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA____7___MUHULA WA ___3___MWAKA________
| JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | ||||
| 1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Vifaa vya teknolijia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vya teknolojia viwandani | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 114 MWM UK100 | ||||
| 2 | kusoma Ufahamu | Tarakilishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujibu na kujadili ujube uliko katika makala haya | -kueleza -kujadili -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 115 MWM UK101 | |||||
| 3 | Maombo ya lugha | Methali kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno kazi katika sentensi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 116 MWM UK102 | |||||
| 4 | Sarufi | Vivumishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha vivumish vimilikishi na vivumishi idadi ipasavyo | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK117 MWM UK103 | |||||
| 5 | Kuandika (insha) | Mjadala | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya majadala juu ya sayansi imeleta manufaa | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni | KS KCM UK118 MWM UK104 | |||||
| 2 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Fani za ushairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna za ushairi na kutunga kwa kiwango chao | -kusoma -kutumia -kueleza -kutunga shairi | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 120 MWM UK103 | ||||
| 2 | Ufahamu | Ngojera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kukariri shari la ngojera kwa ufashaha | -kukariri -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK122 MWM UK104 | |||||
| 3 | Mapambo ya lugha | Tanakali za sauti | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK123 MWM UK105 | |||||
| 4 | Sarufi | Viunganishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK124 MWM UK125 | |||||
| 5 | Kuandika (insha) | Ngojera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya ngojera akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK126 MWM UK102 | |||||
| 3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Viwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha wanaofanya kazi katika kiwanda | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 127 MWM UK103 | ||||
| 2 | Ufahamu | Viwanda vyetu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpya kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 128 MWM UK105 | |||||
| 3 | Mapabo ya lugha | Shairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kukariri shairi mali, akili na bahati | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 128 MWM UK105 | ||||||
| 4 | Sarufi | Sifa –kitenzi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kuunda sifa kutokana na kitenzi na kuzitumia katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 129 MWM UK159 | |||||
| 5 | Kuandika (insha) | Kiwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya kiwanda wanachokijua | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 129 MWM UK 106 | |||||
| 4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Vitabu vya maktaba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuzungumza juu vitabu vya maktaba walivyovisoma | -kusoma -kuchora -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 127 MWM UK107 | ||||
| 2 | Ufahamu | Ajira ya watoto | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 128 MWM UK108 | |||||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 128 MWM UK110 | |||||
| 4 | Sarufi | Udogo na kawaida ya nomino | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kubadilisha nomino kutoka hali ya kawaida hadi hali yaudogo | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 131 MWM UK112
| |||||
| 5 | Kuandika (insha) | Mazungumzo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mameno ya mhusika katika mazungumzo | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 132 MWM UK112 | |||||
| 5-6 | 1-5 | Jaribio la kwanza mutihani | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 133 MWM UK115 | ||||
| 7 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Gugu maji Ziwa viktoria | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vivavyo tokana na gugumaji la ziwa viktoria | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 134 MWM UK100 |
| |||
| 2 | kusoma Ufahamu | Ibilisi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujibu na kujadili ujube uliko katika ufahamu kwa usahihi | -kueleza -kujadili -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 135 MWM UK101 |
| ||||
| 3 | Maombo ya lugha | Methali kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno maji katika sentensi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 137 MWM UK102 |
| ||||
| 4 | Sarufi | Ukumbwa wa nomino | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , na kubadilisha nomino kutoka hali ya kawaida hadi ukubwa , na ukumbwa hadi hali ya kawaida | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK138 MWM UK103 |
| ||||
| 5 | Kuandika (insha) | Picha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya picha waliyopewa | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni | KS KCM UK 139 MWM UK104 |
| ||||
| 8 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Kusafiri | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna picha za usafiri | -kusoma -kutumia -kueleza -kutunga shairi | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 140 MWM UK103 |
| |||
| 2 | Ufahamu | Vidhibiti mwendo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, fahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kukariri -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK141 MWM UK104 |
| ||||
| 3 | Mapambo ya lugha | 999 | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kusimulia hadithi na kueleza funzo la hadithi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK142 MWM UK105 |
| ||||
| 4 | Sarufi | Viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viambishi ngeli katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK143 MWM UK100 |
| ||||
| 5 | Kuandika (insha) | Hotuba vidhibiti mwendo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya vidhibiti mwendo | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK144 MWM UK102 |
| ||||
| 10 | 1-5 | Jaribio la kwanza | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
| 11 | 1-5 | Jaribio la pili | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
| 12 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
Get the latest Mwalimu National Sacco BOSA Loans Application Form {Free Download}, here. PDF Latest…
Here is the revised and latest Mwalimu National Sacco FOSA Salary Advance Application Form {Free…
Here is the latest Mwalimu National Sacco FOSA Instant Loan Application Form {Free Download}. Download…
The landscape of digital gambling has shifted toward high-octane mechanics that prioritize volatility and massive…
The Teachers Service Commission (TSC) has advertised 170 job vacancies across, covering senior, mid‑level, and…
Health Cabinet Secretary Aden Duale has ordered immediate changes to the Social Health Authority (SHA)…