MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA_kwanza___7___MUHULA_WA KWANZA______MWAKA________
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | |
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Maamkizi na adabu jema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 2 MWM UK1 |
|
2 | kusoma
Ufahamu |
Chada chema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย ufahamu na kuigiza mchezo huo na kujibu maswali ya ufahamu | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 3 MWM UK3 |
||
3 | Maombo ya lugha | Shairi โsaiti kwenda wemaโ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairiย โna kueleza fuzo la shairi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 4 MWM UK4 |
||
4 | Sarufi | Uakifishaji | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutumia alama za uakifishaji | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK5 MWM UK4 |
||
5 | Kuandika (insha) | Heshima | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumiaย maneno ya heshima ifaayo katika insha | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK5-7 MWM UK5 |
||
2 | 1 | Kuongea/kusikiliza | vitate | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutamka na kutofautisha maana ya vitate | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK7 MWM UK7 |
|
2 | Ufahamu | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu maswali na kuandika barua ya kirafiki | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK8 MWM UK8 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Tanakali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua na kutumia tanakali za sauti katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK9 MWM UK9 |
||
4 | Sarufi | Uakifishaji | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia alama za uakifishaji katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK11 MWM UK10 |
||
5 | Kuandika (insha) | Ngoma ya umundi
(barua) |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha (barua) akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK12 MWM UK10 |
||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Visawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha visawe na kutumia baadhi ya misamiati wa visawe kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 13 MWM UK11 |
|
2 | Ufahamu | Hotuba
Upatilize udungo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 14 MWM UK12 |
||
3 | Mapabo ya lugha | Methali zenye โniโ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kutumiaย baadhi yaย methali zenye โniโ | -kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 15 MWM UK14 |
|||
4 | Sarufi | Matumizi ya โniโ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua na kutumia โniโ kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK17 MWM UK26 |
||
5 | Kuandikaย (insha) | Hutuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akiunganisha sehemu za sentensi usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 19 MWM UK18 |
||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Kisa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi awezeย kutambua , kueleza na kutumia msamiati kuipamba lugha kwa usahihi | -Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 22 MWM UK20 |
||
2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 25 MWM UK22 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Fani mbalimbali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua na kutumia fani mbalimbali katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK28 MWM UK23 |
||
4 | Sarufi | Katikaย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia โ katikaโย kwa usahihi | -Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK29 MWM UK24 |
|||
5 | Kuandika (insha) | Uadishi wa hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK30 MWM UK |
||
5 | 1 | Kusikiliza na
kuzungumza
|
Nomino ambata | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanuaย baadhi ya nomio ambata | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 12 MWM UK25 |
|
2 | Ufahamu | Uongo haufai | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambuaย na kujibu maswali yaufahamu | -kusikiliza
-kutamka -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK38 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Methali zenye kwa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zenye neno โkwaโ kwausahihi | -kusikiliza
-kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK39 MWM UK |
||
4 | Sarufi | โkwaโ
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia โkwaโkatika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 40 MWM UK28 |
||
5 | Kuandika (insha) | Picha hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi awezeย kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia na kufasiri michoro walizo pewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 13 MWM UK |
||
6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya kike na kieme
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza na kutumia baadhi ya majina ya kike na kiume | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 30 MWM UK29 |
|
2 | Ufahamu | Barua rasmi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua na kujibuย maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK31 MWM UK31 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Maneno ya vitendo vya mwili
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika maneno ya vitendo vya mwili | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UKย 34 MWM UK33 |
||
4 | Sarufi | Viulizi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumiaย viuliziย katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UKย 35 MWM UK34 |
||
5 | Kuandika (insha) | Barua rasmi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomekaย barua rasmi kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunz
-Kamusi -Kamusi i |
KS KCM
UKย 46 MWM UK35 |
||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Redio na telivisheni | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuelezana kusikiliza ujube kwa redio au televisheni kufafanua ujube | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 37 MWM UK37 |
|
2 | Ufahamu | Malaria
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kueleza na kujibuย maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | MWM UK39 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Semi za neno โpigaโ
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumiaย semi zenye neno โpigaโ katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK40 | ||
4 | Sarufi | โpoโ ya wakati
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia poโ ya wakatiย kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
MWM UK | ||
5 | Kuandika (insha) | Malariaย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kutunga na kuandikaย inshaย kwa kuzipanga sentensi ulizo pewa | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK40 | ||
9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ukimwi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa kujadili athari za ukimwi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | MWM UK | |
2 | Ufahamu | Ukimwiย
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kueleza na kujibuย maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
MWM UK42 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Vitendawili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua kutega na kuteguaย vitendawili na maana zake katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | MWM UK43 | ||
4 | Sarufi | Nge, Ngali
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia โngeโ na โngaliโ katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | MWM UK45 | ||
5 | Kuandika (insha) | Ukimwi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa maneno uliyopewa | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK45 | ||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Uhusiano
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno baadhi ya msamiati wa wa watu na nchi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-Picha kiabuni | MWM UK46 | |
2 | Ufahamu | Kwame
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi
-Kamusi |
MWM UK47 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Mafumbo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua na kufumba na kufumbua mafumboย katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK51 | ||
4 | Sarufi | โoโ rejeshi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi โoโ rejeshi kwa usahihi katika ngeli zote | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | ย
MWM UK52 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza | Wazalendo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika inshatatu juu ya kupigania uhuruย kutoka kwenye jedwali | -kusikiliza
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Redio
runinga -Kamusi |
MWM UK 54 | ||
11 | ||||||||
12 | 1-5 | Marudio | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
13 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA___7____MUHULA_WA PILI______MWAKA________
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | |
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Mapambo ya mwili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mapambo ya mwili | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 60 MWM UK61 |
|
2 | kusoma
Ufahamu |
Nyama ya ulimi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 61 MWM UK62 |
||
3 | Maombo ya lugha | Semi zenye neno โulimiโ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia semi zenye neno ulimiย kwa usahihi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK 63 MWM UK63 |
||
4 | Sarufi | โoโ rejeshi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kubainisha na kutumia โโoโ rejeshi mwishoni mwa kitenziย | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 65 MWM UK62 |
||
5 | Kuandika (insha) | Mapamboย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadiliย na kutumiaย msamiati wa mapamboย kwa usahihi | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 66 MWM UK63 |
||
2 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Vifaa vya ufundi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiati wa vifaa vya fundi Na kuitumia kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK67 MWM UK64 |
|
2 | Ufahamu | Viatu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK 69 MWM UK65 |
||
3 | Mapambo ya lugha | ย methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua na kutumia methali na maana katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK70 MWM UK66 |
||
4 | Sarufi | Hali ya kutendesha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kunyambua vitenzi katika hali ya kutendesha | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua kunyambuamza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 71 MWM UK67 |
||
5 | Kuandika (insha) | Hatua za kutengeneza viatu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akifuata hatua alizopewa kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 73 MWM UK68 |
||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya nchi na ulaiyaย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaaya majina ya nchiย na wenyenji wake | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 76 MWM UK68 |
|
2 | Ufahamu | Olimpiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK77 MWM UK70 |
||
3 | Mapabo ya lugha | Ufishadi umeenea | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua na kukariri shairi ufihadi umeenea | – kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK77 MWM UK71 |
||
4 | Sarufi | Nge, ngali (ukanusho) | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia โnge, na ngali katika ukanusho | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 78 MWM UK72 |
||
5 | Kuandikaย (insha) | Kazi nitakayoifanya | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha juu ya kazi ambayo wangependa kuifanya watakapo kuwa wakumbwa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 78 MWM UK73 |
||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi awezeย kutambua , kubainisha vitawe na kutumiaย katika sentensi | -Picha kiabuni | KS KCM
UK 109 MWM UK73 |
||
2 | Ufahamu | Tundaย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK78 MWM UK |
||
3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua maanaย na kutumia methaliย katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 78 MWM UK74 |
||
4 | Sarufi | Viambishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viambishi mwanzoni na katikati ya nenoย kwa usahihi | -Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 79 MWM UK |
|||
5 | Kuandika (insha) | Insha methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali uliyopewa | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 80 MWM UK76 |
||
5 | 1 | Kusikiliza na
kuzungumza
|
Malipo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kutumia baadhi ya msamiati wa malipo | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha
-Kamusi wanafunzi |
KS KCM
UK 81 MWM UK78 |
|
2 | Ufahamu | Mkono mrefu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambuaย na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili | -kusikiliza
-kutamka -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 82 MWM UK79 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Semi โmkonoโ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia semi zinazotumia neno mkonoย | -kusikiliza
-kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK 83 MWM UK99 |
||
4 | Sarufi | Kutendana
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kunyambua kitenzi katika hali ya kutendeana na kutendatenda | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 85 MWM UK81 |
||
5 | Kuandika (insha) | Picha hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi awezeย kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia picha aliyopewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 86 MWM UK82 |
||
6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Watu na kazi zao
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia baadhi yaย msamiati wa watu na kazi zao | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 87 MWM UK86 |
|
2 | Ufahamu | Ufinyanzi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kujadili funzo,kutambua na kujibuย maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 88 MWM UK87 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Wasakatonge
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kukariri shairi kwa maadhari na kuleza ujumbe | -kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UKย 89 MWM UK88 |
||
4 | Sarufi | Viambishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika viamishiย awali na katikati mwa neno | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UKย 90 MWM UK90 |
||
5 | Kuandika (insha) | Mjadala
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UKย 91 MWM UK91 |
||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Nomino za makundi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumiaย baadhi ya nomino za makundi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UKย 92 MWM UK92 |
|
2 | Ufahamu | Idd mubarak
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibuย maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kujadili
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 94 MWM UK92 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Kanakali za sauti
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumiaย tanakaliza sauti katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UKย 95 MWM UK93 |
||
4 | Sarufi | Vivumishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishiย ya sifa , nafsi na za ziada ipasavyo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UKย 97 MWM UK96 |
||
5 | Kuandika (insha) | Sherehe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu yaย shereheย kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 98 MWM UK97 |
||
9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Tarakimu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya tarakimu kutoka 1,000โ000 hadi 10,000,000 nakuziandika | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UKย 99 MWM UK98 |
|
2 | Ufahamu | Mazingira yetu
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kueleza na kujibuย maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UKย 99 MWM UK97 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Semi โshikaโ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย ย kubaini na kutumia baadhi ya semi zenye nenoย โshikaโ | -kusoma
-kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UKย 100 MWM UK97 |
||
4 | Sarufi | Vivumishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishiย vionyeshiย viulizi na โaโ unganifu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UKย 100 MWM UK98 |
||
5 | Kuandika (insha) | Usafi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha jinsi ya kufanya mitaa iwe safi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UKย 102 MWM UK99 |
||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Huduma ya kwanza
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya matendo ya toa huduma ya kwanza | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-Picha kiabuni | KS KCM
UKย 102 |
|
2 | Ufahamu | Tangazo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UKย 103 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Tanakali za sauti
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua na kutumiaย tanakali za sautiย zinazo eleza hali ya watu | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UKย 104 MWM UK |
||
4 | Sarufi | Kutendana
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza vitenzi katika hali ya kutendana | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UKย 104 MWM UK |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza | Matangazo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikilizaย na kuandika insha juu ya matangazo | -kusikiliza
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Redio
runinga |
KS KCM
UKย 106 MWM UK |
11 | 1-5 | Marudio | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK 107 MWM UK115 |
|
12 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA____7___MUHULA WA ___3___MWAKA________
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | ||||
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Vifaa vya teknolijia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vya teknolojia viwandani | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 114 MWM UK100 |
||||
2 | kusoma
Ufahamu |
Tarakilishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kujibu na kujadili ujube uliko katika makala haya | -kueleza
-kujadili -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 115 MWM UK101 |
|||||
3 | Maombo ya lugha | Methali kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno kaziย katika sentensi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 116 MWM UK102 |
|||||
4 | Sarufi | Vivumishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kubainisha vivumish vimilikishiย na vivumishi idadi ipasavyo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK117 MWM UK103 |
|||||
5 | Kuandika (insha) | Mjadala | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandikaย insha ya majadalaย juu ya sayansi imeleta manufaa | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK118 MWM UK104 |
|||||
2 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Fani za ushairiย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namnaย za ushairiย na kutunga kwa kiwango chao | -kusoma
-kutumia -kueleza -kutunga shairi |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 120 MWM UK103 |
||||
2 | Ufahamu | Ngojera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kukariri shari la ngojera kwa ufashaha | -kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK122 MWM UK104 |
|||||
3 | Mapambo ya lugha | Tanakali za sauti | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua na kutumiaย tanakali za sautiย | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK123 MWM UK105 |
|||||
4 | Sarufi | Viunganishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK124 MWM UK125 |
|||||
5 | Kuandika (insha) | Ngojera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya ngojera akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK126 MWM UK102 |
|||||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Viwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha wanaofanya kazi katika kiwanda | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 127 MWM UK103 |
||||
2 | Ufahamu | Viwanda vyetu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpyaย kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 128 MWM UK105 |
|||||
3 | Mapabo ya lugha | Shairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua na kukariri shairi mali, akili na bahati | -kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 128 MWM UK105 |
||||||
4 | Sarufi | ย Sifa โkitenziย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kuunda sifa kutokana na kitenzi na kuzitumia katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 129 MWM UK159 |
|||||
5 | Kuandikaย (insha) | Kiwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya kiwanda wanachokijua | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 129 MWM UK 106 |
|||||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Vitabu vya maktaba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi awezeย kutambua , kuzungumza juu vitabu vya maktaba walivyovisoma | -kusoma
-kuchora -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 127 MWM UK107 |
||||
2 | Ufahamu | Ajira ya watoto | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 128 MWM UK108 |
|||||
3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,ย kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 128 MWM UK110 |
|||||
4 | Sarufi | Udogo na kawaida ya nominoย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kubadilisha nominoย kutoka hali ya kawaida hadi hali yaudogo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 131 MWM UK112
|
|||||
5 | Kuandika (insha) | Mazungumzo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mameno ya mhusika katika mazungumzo | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 132 MWM UK112 |
|||||
5-6 | 1-5 | Jaribio la kwanza
mutihani |
Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK 133 MWM UK115 |
||||
7 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Gugu majiย Ziwa viktoriaย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vivavyo tokana na gugumaji la ziwa viktoria | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 134 MWM UK100 |
|
|||
2 | kusoma
Ufahamu |
Ibilisi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kujibu na kujadili ujube uliko katikaย ufahamu kwa usahihi | -kueleza
-kujadili -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 135 MWM UK101 |
|
||||
3 | Maombo ya lugha | Methali kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno majiย ย katika sentensi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 137 MWM UK102 |
|
||||
4 | Sarufi | Ukumbwa wa nominoย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย na kubadilishaย nomino kutoka hali ya kawaida hadi ukubwa , na ukumbwa hadi hali ya kawaida | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK138 MWM UK103 |
|
||||
5 | Kuandika (insha) | Picha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandikaย insha juu ya picha waliyopewa | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 139 MWM UK104 |
|
||||
8 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Kusafiriย ย | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namnaย ย picha za usafiriย | -kusoma
-kutumia -kueleza -kutunga shairi |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 140 MWM UK103 |
|
|||
2 | Ufahamu | Vidhibiti mwendo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, fahamuย na kujibu maswali ya ufahamuย kwa usahihi | -kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK141 MWM UK104 |
|
||||
3 | Mapambo ya lugha | 999 | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,ย kutambua na kusimulia hadithiย na kueleza funzo la hadithi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK142 MWM UK105 |
|
||||
4 | Sarufi | Viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viambishi ngeli katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK143 MWM UK100 |
|
||||
5 | Kuandika (insha) | Hotuba vidhibiti mwendo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya vidhibiti mwendo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK144 MWM UK102 |
|
||||
10 | 1-5 | Jaribio la kwanza | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
11 | 1-5 | Jaribio la pili | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
12 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze:
–ย ย ย ย ย ย ย kujibu maswali aliyoulizwa –ย ย ย ย ย ย ย kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali –ย ย ย ย ย ย ย kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka –ย ย ย ย ย ย ย kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|