MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA_kwanza___7___MUHULA_WA KWANZA______MWAKA________
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | |
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Maamkizi na adabu jema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 2 MWM UK1 |
|
2 | kusoma
Ufahamu |
Chada chema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu na kuigiza mchezo huo na kujibu maswali ya ufahamu | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 3 MWM UK3 |
||
3 | Maombo ya lugha | Shairi ‘saiti kwenda wema’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairi ‘na kueleza fuzo la shairi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 4 MWM UK4 |
||
4 | Sarufi | Uakifishaji | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutumia alama za uakifishaji | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK5 MWM UK4 |
||
5 | Kuandika (insha) | Heshima | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumia maneno ya heshima ifaayo katika insha | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK5-7 MWM UK5 |
||
2 | 1 | Kuongea/kusikiliza | vitate | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutamka na kutofautisha maana ya vitate | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK7 MWM UK7 |
|
2 | Ufahamu | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu maswali na kuandika barua ya kirafiki | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK8 MWM UK8 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Tanakali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK9 MWM UK9 |
||
4 | Sarufi | Uakifishaji | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia alama za uakifishaji katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK11 MWM UK10 |
||
5 | Kuandika (insha) | Ngoma ya umundi
(barua) |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha (barua) akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK12 MWM UK10 |
||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Visawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha visawe na kutumia baadhi ya misamiati wa visawe kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 13 MWM UK11 |
|
2 | Ufahamu | Hotuba
Upatilize udungo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 14 MWM UK12 |
||
3 | Mapabo ya lugha | Methali zenye ‘ni’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kutumia baadhi ya methali zenye ‘ni’ | -kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 15 MWM UK14 |
|||
4 | Sarufi | Matumizi ya ‘ni’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia ‘ni’ kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK17 MWM UK26 |
||
5 | Kuandika (insha) | Hutuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akiunganisha sehemu za sentensi usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 19 MWM UK18 |
||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Kisa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kueleza na kutumia msamiati kuipamba lugha kwa usahihi | -Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 22 MWM UK20 |
||
2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 25 MWM UK22 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Fani mbalimbali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia fani mbalimbali katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK28 MWM UK23 |
||
4 | Sarufi | Katika | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘ katika’ kwa usahihi | -Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK29 MWM UK24 |
|||
5 | Kuandika (insha) | Uadishi wa hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK30 MWM UK |
||
5 | 1 | Kusikiliza na
kuzungumza
|
Nomino ambata | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua baadhi ya nomio ambata | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 12 MWM UK25 |
|
2 | Ufahamu | Uongo haufai | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu | -kusikiliza
-kutamka -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK38 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Methali zenye kwa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zenye neno ‘kwa’ kwausahihi | -kusikiliza
-kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK39 MWM UK |
||
4 | Sarufi | ‘kwa’
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘kwa’katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 40 MWM UK28 |
||
5 | Kuandika (insha) | Picha hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia na kufasiri michoro walizo pewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 13 MWM UK |
||
6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya kike na kieme
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza na kutumia baadhi ya majina ya kike na kiume | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 30 MWM UK29 |
|
2 | Ufahamu | Barua rasmi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK31 MWM UK31 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Maneno ya vitendo vya mwili
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika maneno ya vitendo vya mwili | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 34 MWM UK33 |
||
4 | Sarufi | Viulizi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viulizi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 35 MWM UK34 |
||
5 | Kuandika (insha) | Barua rasmi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomeka barua rasmi kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunz
-Kamusi -Kamusi i |
KS KCM
UK 46 MWM UK35 |
||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Redio na telivisheni | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuelezana kusikiliza ujube kwa redio au televisheni kufafanua ujube | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 37 MWM UK37 |
|
2 | Ufahamu | Malaria
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | MWM UK39 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Semi za neno ‘piga’
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumia semi zenye neno ‘piga’ katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK40 | ||
4 | Sarufi | ‘po’ ya wakati
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia po’ ya wakati kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
MWM UK | ||
5 | Kuandika (insha) | Malaria | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kutunga na kuandika insha kwa kuzipanga sentensi ulizo pewa | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK40 | ||
9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ukimwi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa kujadili athari za ukimwi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | MWM UK | |
2 | Ufahamu | Ukimwi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
MWM UK42 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Vitendawili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua kutega na kutegua vitendawili na maana zake katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | MWM UK43 | ||
4 | Sarufi | Nge, Ngali
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia ‘nge’ na ‘ngali’ katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | MWM UK45 | ||
5 | Kuandika (insha) | Ukimwi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa maneno uliyopewa | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK45 | ||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Uhusiano
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno baadhi ya msamiati wa wa watu na nchi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-Picha kiabuni | MWM UK46 | |
2 | Ufahamu | Kwame
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi
-Kamusi |
MWM UK47 | ||
3 | Mapambo ya lugha | Mafumbo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kufumba na kufumbua mafumbo katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
MWM UK51 | ||
4 | Sarufi | ‘o’ rejeshi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi ‘o’ rejeshi kwa usahihi katika ngeli zote | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi |
MWM UK52 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza | Wazalendo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika inshatatu juu ya kupigania uhuru kutoka kwenye jedwali | -kusikiliza
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Redio
runinga -Kamusi |
MWM UK 54 | ||
11 | ||||||||
12 | 1-5 | Marudio | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
13 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA___7____MUHULA_WA PILI______MWAKA________
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | |
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Mapambo ya mwili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mapambo ya mwili | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 60 MWM UK61 |
|
2 | kusoma
Ufahamu |
Nyama ya ulimi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 61 MWM UK62 |
||
3 | Maombo ya lugha | Semi zenye neno ‘ulimi’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia semi zenye neno ulimi kwa usahihi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK 63 MWM UK63 |
||
4 | Sarufi | ‘o’ rejeshi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha na kutumia ‘’o’ rejeshi mwishoni mwa kitenzi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 65 MWM UK62 |
||
5 | Kuandika (insha) | Mapambo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili na kutumia msamiati wa mapambo kwa usahihi | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 66 MWM UK63 |
||
2 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Vifaa vya ufundi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiati wa vifaa vya fundi Na kuitumia kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK67 MWM UK64 |
|
2 | Ufahamu | Viatu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK 69 MWM UK65 |
||
3 | Mapambo ya lugha | methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK70 MWM UK66 |
||
4 | Sarufi | Hali ya kutendesha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kunyambua vitenzi katika hali ya kutendesha | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua kunyambuamza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 71 MWM UK67 |
||
5 | Kuandika (insha) | Hatua za kutengeneza viatu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akifuata hatua alizopewa kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 73 MWM UK68 |
||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya nchi na ulaiya | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaaya majina ya nchi na wenyenji wake | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 76 MWM UK68 |
|
2 | Ufahamu | Olimpiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK77 MWM UK70 |
||
3 | Mapabo ya lugha | Ufishadi umeenea | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kukariri shairi ufihadi umeenea | – kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK77 MWM UK71 |
||
4 | Sarufi | Nge, ngali (ukanusho) | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘nge, na ngali katika ukanusho | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 78 MWM UK72 |
||
5 | Kuandika (insha) | Kazi nitakayoifanya | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha juu ya kazi ambayo wangependa kuifanya watakapo kuwa wakumbwa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 78 MWM UK73 |
||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kubainisha vitawe na kutumia katika sentensi | -Picha kiabuni | KS KCM
UK 109 MWM UK73 |
||
2 | Ufahamu | Tunda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK78 MWM UK |
||
3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua maana na kutumia methali katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 78 MWM UK74 |
||
4 | Sarufi | Viambishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viambishi mwanzoni na katikati ya neno kwa usahihi | -Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 79 MWM UK |
|||
5 | Kuandika (insha) | Insha methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali uliyopewa | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 80 MWM UK76 |
||
5 | 1 | Kusikiliza na
kuzungumza
|
Malipo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kutumia baadhi ya msamiati wa malipo | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha
-Kamusi wanafunzi |
KS KCM
UK 81 MWM UK78 |
|
2 | Ufahamu | Mkono mrefu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili | -kusikiliza
-kutamka -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 82 MWM UK79 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Semi ‘mkono’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia semi zinazotumia neno mkono | -kusikiliza
-kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro -Kamusi |
KS KCM
UK 83 MWM UK99 |
||
4 | Sarufi | Kutendana
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kunyambua kitenzi katika hali ya kutendeana na kutendatenda | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 85 MWM UK81 |
||
5 | Kuandika (insha) | Picha hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia picha aliyopewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni
-Kamusi |
KS KCM
UK 86 MWM UK82 |
||
6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Watu na kazi zao
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia baadhi ya msamiati wa watu na kazi zao | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 87 MWM UK86 |
|
2 | Ufahamu | Ufinyanzi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kujadili funzo,kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 88 MWM UK87 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Wasakatonge
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kukariri shairi kwa maadhari na kuleza ujumbe | -kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 89 MWM UK88 |
||
4 | Sarufi | Viambishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika viamishi awali na katikati mwa neno | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 90 MWM UK90 |
||
5 | Kuandika (insha) | Mjadala
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 91 MWM UK91 |
||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Nomino za makundi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia baadhi ya nomino za makundi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 92 MWM UK92 |
|
2 | Ufahamu | Idd mubarak
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kujadili
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 94 MWM UK92 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Kanakali za sauti
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia tanakaliza sauti katika sentensi kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 95 MWM UK93 |
||
4 | Sarufi | Vivumishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi ya sifa , nafsi na za ziada ipasavyo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 97 MWM UK96 |
||
5 | Kuandika (insha) | Sherehe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya sherehe kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 98 MWM UK97 |
||
9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Tarakimu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya tarakimu kutoka 1,000’000 hadi 10,000,000 nakuziandika | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 99 MWM UK98 |
|
2 | Ufahamu | Mazingira yetu
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 99 MWM UK97 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Semi ‘shika’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubaini na kutumia baadhi ya semi zenye neno ‘shika’ | -kusoma
-kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 100 MWM UK97 |
||
4 | Sarufi | Vivumishi
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi vionyeshi viulizi na ‘a’ unganifu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 100 MWM UK98 |
||
5 | Kuandika (insha) | Usafi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha jinsi ya kufanya mitaa iwe safi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 102 MWM UK99 |
||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Huduma ya kwanza
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya matendo ya toa huduma ya kwanza | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 102 |
|
2 | Ufahamu | Tangazo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 103 |
||
3 | Mapambo ya lugha | Tanakali za sauti
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti zinazo eleza hali ya watu | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuunganisha |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 104 MWM UK |
||
4 | Sarufi | Kutendana
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza vitenzi katika hali ya kutendana | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 104 MWM UK |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza | Matangazo
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza na kuandika insha juu ya matangazo | -kusikiliza
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Redio
runinga |
KS KCM
UK 106 MWM UK |
11 | 1-5 | Marudio | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK 107 MWM UK115 |
|
12 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
MAAZIMIO YA KAZI
DARASA LA____7___MUHULA WA ___3___MWAKA________
JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | ||||
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Vifaa vya teknolijia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vya teknolojia viwandani | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 114 MWM UK100 |
||||
2 | kusoma
Ufahamu |
Tarakilishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujibu na kujadili ujube uliko katika makala haya | -kueleza
-kujadili -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 115 MWM UK101 |
|||||
3 | Maombo ya lugha | Methali kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno kazi katika sentensi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 116 MWM UK102 |
|||||
4 | Sarufi | Vivumishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha vivumish vimilikishi na vivumishi idadi ipasavyo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK117 MWM UK103 |
|||||
5 | Kuandika (insha) | Mjadala | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya majadala juu ya sayansi imeleta manufaa | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK118 MWM UK104 |
|||||
2 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Fani za ushairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna za ushairi na kutunga kwa kiwango chao | -kusoma
-kutumia -kueleza -kutunga shairi |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 120 MWM UK103 |
||||
2 | Ufahamu | Ngojera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kukariri shari la ngojera kwa ufashaha | -kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK122 MWM UK104 |
|||||
3 | Mapambo ya lugha | Tanakali za sauti | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia tanakali za sauti | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK123 MWM UK105 |
|||||
4 | Sarufi | Viunganishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK124 MWM UK125 |
|||||
5 | Kuandika (insha) | Ngojera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya ngojera akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK126 MWM UK102 |
|||||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Viwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha wanaofanya kazi katika kiwanda | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 127 MWM UK103 |
||||
2 | Ufahamu | Viwanda vyetu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpya kwa usahihi | kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 128 MWM UK105 |
|||||
3 | Mapabo ya lugha | Shairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kukariri shairi mali, akili na bahati | -kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 128 MWM UK105 |
||||||
4 | Sarufi | Sifa –kitenzi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kuunda sifa kutokana na kitenzi na kuzitumia katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 129 MWM UK159 |
|||||
5 | Kuandika (insha) | Kiwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya kiwanda wanachokijua | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 129 MWM UK 106 |
|||||
4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Vitabu vya maktaba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuzungumza juu vitabu vya maktaba walivyovisoma | -kusoma
-kuchora -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 127 MWM UK107 |
||||
2 | Ufahamu | Ajira ya watoto | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 128 MWM UK108 |
|||||
3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK 128 MWM UK110 |
|||||
4 | Sarufi | Udogo na kawaida ya nomino | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kubadilisha nomino kutoka hali ya kawaida hadi hali yaudogo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 131 MWM UK112
|
|||||
5 | Kuandika (insha) | Mazungumzo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mameno ya mhusika katika mazungumzo | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 132 MWM UK112 |
|||||
5-6 | 1-5 | Jaribio la kwanza
mutihani |
Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK 133 MWM UK115 |
||||
7 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Gugu maji Ziwa viktoria | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vivavyo tokana na gugumaji la ziwa viktoria | -kusoma
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 134 MWM UK100 |
|
|||
2 | kusoma
Ufahamu |
Ibilisi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujibu na kujadili ujube uliko katika ufahamu kwa usahihi | -kueleza
-kujadili -kuandika -kuiga |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 135 MWM UK101 |
|
||||
3 | Maombo ya lugha | Methali kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno maji katika sentensi | -kusoma
-kuandika -kutamka -kutumia |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 137 MWM UK102 |
|
||||
4 | Sarufi | Ukumbwa wa nomino | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , na kubadilisha nomino kutoka hali ya kawaida hadi ukubwa , na ukumbwa hadi hali ya kawaida | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK138 MWM UK103 |
|
||||
5 | Kuandika (insha) | Picha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya picha waliyopewa | -kueleza
-kutaja -kuandika -kuiga |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK 139 MWM UK104 |
|
||||
8 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Kusafiri | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna picha za usafiri | -kusoma
-kutumia -kueleza -kutunga shairi |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK 140 MWM UK103 |
|
|||
2 | Ufahamu | Vidhibiti mwendo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, fahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kukariri
-kusikiliza -kutambua -kuzungumza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK141 MWM UK104 |
|
||||
3 | Mapambo ya lugha | 999 | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kusimulia hadithi na kueleza funzo la hadithi | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
Kitabu cha wanafunzi | KS KCM
UK142 MWM UK105 |
|
||||
4 | Sarufi | Viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viambishi ngeli katika sentensi | -kusoma
-kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza |
-Picha kiabuni | KS KCM
UK143 MWM UK100 |
|
||||
5 | Kuandika (insha) | Hotuba vidhibiti mwendo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya vidhibiti mwendo | -kusoma
-kutumia -kueleza -kuuliza |
-kadi
-picha michoro |
KS KCM
UK144 MWM UK102 |
|
||||
10 | 1-5 | Jaribio la kwanza | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
11 | 1-5 | Jaribio la pili | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|
12 | 1-5 | Mutihani wa mwisho wa mwaka | Marudio | Mwanafunzi aweze:
– kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani |
-kueleza
-kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
|
-Kitabu cha mwana fuzi
-mitihani yajaribio |
KS KCM
UK32-37 MWM UK115 |
|