AZIMIO LA KAZI
DARASA LA NANE
MUHULA WA I
ASILIA
| JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU | SHUGHULI ZA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
| 1 | MATAYARISHONA KUFUGUA SHULE | ||||||||
| 2 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Maamkizi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. Habari nzuri. | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 2 MWM UK1 | |
| 2 | kusoma Ufahamu | Chada chema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu chada chema | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 3 MWM UK3 | ||
| 3 | Maombo ya lugha | Shairi ‘saiti kwenda wema’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kukariri shairi ‘saiti kwenda wema,’ | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 4 MWM UK4 | ||
| 4 | Sarufi | Viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kulikariri shairi ‘umuhimu wa kutenda wema’ | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK5 MWM UK4 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Heshima | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumia maneno ya heshima ifaayo katika insha | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK5-7 MWM UK5 | ||
| 3 | 1 | Kuongea/kusikiliza | Akisami | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha akisami pammoja na maelozo yake, kuandika akisami kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK7 MWM UK7 | |
| 2 | Ufahamu | Majaaliwa | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK8 MWM UK8 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Misemo na methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia misemo na methali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK9 MWM UK9 | ||
| 4 | Sarufi | Vivumishi visivyochukua viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia vivumishi katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK11 MWM UK10 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Siku ambayo sitaishahau | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK12 MWM UK10 | ||
| 4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | tarakimu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha tarakimu milion kumi hadi milioni mia moja na kuandika tarakimu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 12 MWM UK11 | |
| 2 | Ufahamu | Sayari | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati wa sayari kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK20 MWM UK12 | |||
| 3 | Mapabo ya lugha | Vitate | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia vitate katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 14 MWM UK14 | |||
| 4 | Sarufi | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK22 MWM UK26 | |||
| 5 | Kuandika (insha) | Sayari | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 23 MWM UK18 | ||
| 5 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Dira | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuchora na kutumia msamiati wa dira kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 25 MWM UK20 | ||
| 2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 26 MWM UK22 | |||
| 3 | Mapambo ya lugha | Silabi- cha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK28 MWM UK23 | ||
| 4 | Sarufi | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK29 MWM UK24 | |||
| 5 | Kuandika (insha) | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK30 MWM UK | ||
| 6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
| Mali ya sili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua faida za maliasilina wajibu wake kuzihusu | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 12 MWM UK25 | |
| 2 | Ufahamu | Maliasili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK38 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali zinazopingana kimaana | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zinazo pingana kimaana | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK39 MWM UK | ||
| 4 | Sarufi | Viunganishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 40 MWM UK28 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Maliasili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 13 MWM UK | ||
| 7 | MTIHANI WA KATI WA MUHULA | ||||||||
| 8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya wizara mbalimbali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza shughuli za wizara mbalimbali | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 40 MWM UK29 | |
| 2 | Ufahamu | Lau ningekuwa waziri ya elimu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK41 MWM UK31 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Visawe
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika visawe huku akieleza maana | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 44 MWM UK33 | ||
| 4 | Sarufi | Viunganishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika viunganishi vya chaguo na vya nyongaza kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 45 MWM UK34 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Lau ninekuwa waziri wa elimu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomeka kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunz -Kamusi -Kamusi i | KS KCM UK 46 MWM UK35 | ||
| 9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ngonjera | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngojera, kukariri na kufafanua ujube | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 47 MWM UK37 | |
| 2 | Ufahamu | Utenzi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 5 6 MWM UK39 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Nimino za makundi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumia nomino za makundi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 57 MWM UK40 | ||
| 4 | Sarufi | Viunganishi linganishi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia viunganishi linganishi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 17 MWM UK | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Utungaji mashairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuakifisha, kutunga shairi kuzingatia arudhi kulingana na kichwa na beti alizopewa | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 58 MWM UK40 | ||
| 10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Msamiati wa mahakamani | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa maneno wa mahakamani | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 49 MWM UK | |
| 2 | Ufahamu | Usipoziba ufa
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 19 MWM UK42 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana zake katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 59 MWM UK43 | ||
| 4 | Sarufi | Manano ya kutiria mkazo(takriri)
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia maneno ya kutilia mkazo katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 61 MWM UK45 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | kumbumbu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha ya kumbumbu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 62 MWM UK45 | ||
| 11 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya msamiati wa mekoni | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -Picha kiabuni | KS KCM UK 63 MWM UK46 | |
| 2 | Ufahamu | Wageni mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi -Kamusi | KS KCM UK 64 MWM UK47 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana zake katika sentensi | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 76 MWM UK51 | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya ‘si-’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi sahihi ya ‘si –‘ | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 77 MWM UK52 | ||
| 5 | Kusikiliza na kuzungumza | Vipindi vya redio na runinga
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza redio narununga nakujibu maswali yatayo ulizwa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | Redio runinga -Kamusi | KS KCM UK 78 MWM UK 54 | ||
| 12 | 1 | Kuandika insha | Jinsi ya kupika | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha shahihiya maelezo jinsi ya kupika | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 79 MWM UK55 | |
| 2 | Ufahamu | Barua rasmi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 79 MWM UK56 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika vitawe huku akieleza maana | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 78 MWM UK52 | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya, ‘amba’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kuondosha amba’ na kutumia ‘O’ rejeshi mahali pake katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 80 MWM UK58 | ||
| 5 | Kusandika insha | Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 83 MWM UK60 | ||
| 13 | MARUNDIO | ||||||||
| 14 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA | ||||||||
AZIMIO LA KAZI
DARASA LA NANE 2014
MUHULA WA II
ASILIA
| JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU | SHUGHULI ZA MWANA FUNZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
| 1 | KUFUNGUA SHULE NA MATAYARISHO | ||||||||
| 2 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Msamiati wa teknolojia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa teknolojia kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 88 MWM UK61 | |
| 2 | kusoma Ufahamu | Uchungu wa mwana | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , ufahamu uchungu wa mwana na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 89 MWM UK62 | ||
| 3 | Maombo ya lugha | Misemo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia misemo kwa usahihi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 89 MWM UK63 | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya ‘na’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha na kutumia ‘na’ katika sentensi kwa namna mbalimbali na kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK90 MWM UK62 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Teknolojia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili na kutumia msamiati wa teknolojia kwa usahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK91 MWM UK63 | ||
| 3 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Msamiati wa ukoo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiatri ya ukoo. Na kuitumia kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK91 MWM UK64 | |
| 2 | Ufahamu | Sijafisha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK92 MWM UK65 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia metheli zenye mizizi ‘ndi’ katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK93 MWM UK66 | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya ‘ndi’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kueleza matumizi ya ‘ndi’ katika ngeli zote | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK95 MWM UK67 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Insha ya maelezo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK96 MWM UK68 | ||
| 4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Viwanda | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaa/ vifaa vinavyo tengezwa katika viwanda | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 96 MWM UK68 | |
| 2 | Ufahamu | Kazi ya mkono haitupi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 104 MWM UK70 | ||
| 3 | Mapabo ya lugha | Methali zinazo fanana ki mawazo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali zinazo fanana kimawazo | -kadi -picha michoro | KS KCM UK104 MWM UK71 | ||||
| 4 | Sarufi | Vielezi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vielezi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 107 MWM UK72 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Mtungo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 108 MWM UK73 | ||
| 5 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Matunda, miti na mimea | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuchora na kutumia msamiati wa matunda,miti namimea | -Picha kiabuni | KS KCM UK 109 MWM UK73 | |||
| 2 | Ufahamu | Mwadani wetu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 9 MWM UK | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua maana na kutumia vitawe katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 110 MWM UK74 | ||
| 4 | Sarufi | Viulizi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viulizi katika sentensi kwa usahihi | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 11 MWM UK | ||||
| 5 | Kuandika (insha) | Miti | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha umuhimu wa miti ukijaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 11 1 MWM UK76 | ||
| 6 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
| Vitabu vya maktaba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua na kuchangamkia kusoma vitabu vya maktaba | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha -Kamusi wanafunzi | KS KCM UK 112 MWM UK78 | |
| 2 | Ufahamu | Tuzungukaje mbuyu? | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kutamka -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 113 MWM UK79 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Vitendawili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia nakutega na kutegua vitendawili | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro -Kamusi | KS KCM UK 114 MWM UK99 | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya: ‘katika’ kwenye’ na ‘ni’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘katika’ kwenye’ na ‘ni’ | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 123 MWM UK81 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Mtungo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni -Kamusi | KS KCM UK 122 MWM UK82 | ||
| 7 | MTIHANI WA KATI YA MUHULA | ||||||||
| 8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Miti na mimea
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia msamiati wa wa miti na mimea kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 129 MWM UK86 | |
| 2 | Ufahamu | Mstahimilivu hula mbivu
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kujadili funzo,kutambua na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 129 MWM UK87 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Vitate
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika vitate huku akieleza maana | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 131 MWM UK88 | ||
| 4 | Sarufi | Ukubwa wa nomino
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika ukumbwa wa nomino | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 138 MWM UK90 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Wasifu (mekatilili)
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha kuhusu mutu mashuhuri kwa hati zinazosomeka kulingana na kichwa alichopewa | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 138 MWM UK91 | ||
| 9 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya kike na kiume | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia msamiati wa kike na kiume | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 139 MWM UK92 | |
| 2 | Ufahamu | Mjadala: wanafaa kusoma pamoja
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kujadili -kutumia -kueleza -kuuliza | -kujadili -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 143 MWM UK92 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Visawe
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia visawe katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 143 MWM UK93 | ||
| 4 | Sarufi | Hali ya udogo
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia hali ya udogokutoka hali ya kawaida kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 144 MWM UK96 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | mjadala | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa ulicho pewa | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 145 MWM UK97 | ||
| 10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Majina ya wafanyikazi mbalimbali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa majina ya wafanyi kazi mbalimbali | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 146 MWM UK98 | |
| 2 | Ufahamu | Uhaba wa kazi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kueleza na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 145 MWM UK97 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Shairi : ‘nitafanya kazi ngani’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kukariri na kujadili funzu la shairi hili | -kusoma -kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kukariri -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 146 MWM UK97 | ||
| 4 | Sarufi | Usemi wa taarifa
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha usemi wa taarifa na kubadilisha kwa usemi halisi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 147 MWM UK98 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | kazi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha akitetea hoja kikamilifu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 147 MWM UK99 | ||
| 11 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya msamiati wa mekoni | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -Picha kiabuni | KS KCM UK 21 | |
| 2 | Ufahamu | Wageni mekoni
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 22 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia methali na maana zake katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 23 MWM UK | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya ‘si-’
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi sahihi ya ‘si –‘ | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 23 MWM UK | ||
| 5 | Kusikiliza na kuzungumza | Vipindi vya redio na runinga
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza redio narununga nakujibu maswali yatayo ulizwa | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusikiliza -kutumia -kueleza -kuuliza | Redio runinga | KS KCM UK 24 MWM UK | ||
| 12 | 1 | Kuandika insha | Jinsi ya kupika | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha shahihiya maelezo jinsi ya kupika | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 24 MWM UK | |
| 2 | Ufahamu | Barua rasmi
| Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 25 MWM UK | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika vitawe huku akieleza maana | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 23 MWM UK | ||
| 4 | Sarufi | Matumizi ya, ‘amba’ | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kuondosha amba’ na kutumia ‘O’ rejeshi mahali pake katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 25 MWM UK | ||
| 5 | Kusandika insha | Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kuandika barua rasmi kwa hati zinazosomeka na nadhifu | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuunganisha | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 26 MWM UK | ||
| 5 | |||||||||
| 13 | JARIBIO LA PILI | ||||||||
| 14 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA | ||||||||
AZIMIO LA KAZI
DARASA LA NANE 2014
MUHULA WA II
ASILIA
| JUMA | KIPINDI | FUNZO | MADA | MALENGO | SHUGHULI ZA MWALIMU | SHUGHULI ZA MWANAFUNZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
| 1 | KUFUNGUA NA MATAYARISHO | ||||||||
| 2 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza/kongea | Mihadarati | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mihadarati na kufafanua adhari zake. | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 154 MWM UK100 | |
| 2 | kusoma Ufahamu | Sibaguami | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujibu na kujadili ujube uliko katika msakala haya | -kueleza -kujadili -kuandika -kuiga | -kueleza -kujadili -kuandika -kuiga | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 155 MWM UK101 | ||
| 3 | Maombo ya lugha | Misemo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia misemo katika sentensi | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kusoma -kuandika -kutamka -kutumia | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 156 MWM UK102 | ||
| 4 | Sarufi | Usemi halishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kubainisha usemi halisi na kubadilisha usemi wa taarifa kuwa usemi halisi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK157 MWM UK103 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Mazungumzo na methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika ya mazungumzo kutumia methali kwa ushahihi | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga | -Picha kiabuni | KS KCM UK157 MWM UK104 | ||
| 3 | 1 | Kuongea na kusikiliza | Mazingira | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna ya mazingira na njia za kukinga na kuzuia uharubifu | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK4157 MWM UK103 | |
| 2 | Ufahamu | Hotuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kujibu maswali yaufahamu | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK155 MWM UK104 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kutambua na kutumia metheli katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK156 MWM UK105 | ||
| 4 | Sarufi | Myambuliko wa vitenzi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia vitenzi katika sentensi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK154 MWM UK100 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Hotuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK156 MWM UK102 | ||
| 4 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza | Ajira ya watoto | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri ujumbe wa michoro, kueleza na kubainisha ubaya,hasara na madhara ya ajira ya watoto | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 157 MWM UK103 | |
| 2 | Ufahamu | Krismasi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpya kwa usahihi | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | kusoma -kusikiliza -kutambua -kuzungumza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 160 MWM UK105 | ||
| 3 | Mapabo ya lugha | Vitawe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia vitawe katika sentensi | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 161 MWM UK105 | ||||
| 4 | Sarufi | ‘a’ unganifu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 162 MWM UK159 | ||
| 5 | Kuandika (insha) | Sherehe | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 163 MWM UK 106 | ||
| 5 | 1 | Jaribio la kwanza | Dira | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutambua , kuchora na kutumia msamiati wa dira kwa usahihi | -kusoma -kuchora -kueleza -kuuliza | -kusoma -kuchora -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 164 MWM UK107 | |
| 2 | Ufahamu | Nyota njema | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 164-165 MWM UK108 | ||
| 3 | Mapambo ya lugha | Silabi- cha | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutambua na kutumia methali katika sentensi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | Kitabu cha wanafunzi | KS KCM UK 165 MWM UK110 | ||
| 4 | Sarufi | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia vihisishi katika sentensi kwa usahihi | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -kusoma -kutumia -kueleza -kuuliza | -Picha kiabuni | KS KCM UK 166 MWM UK112
| ||
| 5 | Kuandika (insha) | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kusoma -kusikiliza -kuandika -kutambua -kuzungumza | -kadi -picha michoro | KS KCM UK 167 MWM UK112 | ||
| 6 | 1-5 | Jaribio la kwanza | Marudio | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK32-37 MWM UK115 | |
| 6 | Jaribio la pili | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 66-67 MWM UK25 | |||
| 7 | Jaribio la tatu | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 98-103 MWM UK48 | |||
| 8 | Jaribio la nne | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka – kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 132-137 MWM UK60 | |||
| 9 | 1 | Jaribio la tano | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali – kustawisha ukakamavu | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika | -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza -kuandika
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 148-153 MWM UK80 | ||
| 10 | 1 | Jaribio la sita | Mwanafunzi aweze: – kujibu maswali aliyoulizwa – kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali | -kueleza -kuongoza kujibu maswali
| -kueleza -kuongoza kujibu maswali -kusikiliza
| Kitabu cha mwana fuzi -mitihani yajaribio | KS KCM UK 168-172 MWM UK99 | ||
| 11 | MTIHANI WA KCPE | ||||||||
Get the latest Mwalimu National Sacco BOSA Loans Application Form {Free Download}, here. PDF Latest…
Here is the revised and latest Mwalimu National Sacco FOSA Salary Advance Application Form {Free…
Here is the latest Mwalimu National Sacco FOSA Instant Loan Application Form {Free Download}. Download…
The landscape of digital gambling has shifted toward high-octane mechanics that prioritize volatility and massive…
The Teachers Service Commission (TSC) has advertised 170 job vacancies across, covering senior, mid‑level, and…
Health Cabinet Secretary Aden Duale has ordered immediate changes to the Social Health Authority (SHA)…