Home Teachers' Resources KISWAHILI FORM 1 SCHEMES OF WORK TERM 1-3

KISWAHILI FORM 1 SCHEMES OF WORK TERM 1-3

AZIMIO LA KAZI

KIDATO CHA KWANZA

MUHULA WA I

            ASILIA

  1. KLB
  2. Mwongozo wa Mwalimu
  3. Oxford
  4. Kamusi

DOWNLOAD THE PDF SCHEMES HERE; Schemes of work for all subjects, free updated downloads- Secondary schools

JUMA KIPINDI  

SOMO

 

SHABAHA

 

MBINU

 

VIFAA

 

ASILIA

 

MAONI

1-4   KUFUNGUA  
5 1 Matamshi Bora

Vitate b na p

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno ya p na b

Kutunga sentensi sahihi

Kueleza tofauti kimaana

 

Kusikiliza na kuandika

Kutamka

 

Chati

Ubao

Wanafunzi

 

Oxford BK 1 UK 16

KLB BK 1 UK 1

Chemichemi BK 1

UK 36-45

 
  2 Maamkizi na Adabu

Nyumbani na dukani

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza misamiati tofauti ya adabu

Kutunga sentensi akitumia maneno ya adabu

 

Kuandika

Kujadili

Kufunga zoezi

 

Chati

Redio

Kadi

Ubao

 

Oxford BK 1 UK 12

KLB BK 1 UK 1

Kamusi ya Kiswahili

 
  3 Ufahamu

Chanzo cha utovu wa nidhamu shuleni

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kufungu kwa matamshi bora

Kujibu maswali kwa ufasaha

Kusoma kimya

Kusoma na kudokezana

Kujadili

Kuandika madaftarini

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1 UK 4-6

Kamusi ya kiswahili

 
  4 Muhtasari Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kifungu na kuandikisha hoja muhimu

Kuandika muhtasari kwa njia ifaayo

 

Kujadili

Kuandika madaftarini

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1 UK 7-8

Mwongozo wa kiswahili

 
  5

na

6

Sarufi

Aina za maneno

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha maana za kila neon

Kubainisha katika sentensi

Kusoma

Kueleza

Kujadili

Kuandika

 

Chati

Ubao

Vifaa halifi

Oxford BK 1 UK 23

KLB BK 1 UK 8-9

Chemichemi BK 1

UK 31-48

 
6 1 Sentenzi

Aina za sentensi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza miundo mbalimbali ya sentenzi, Kutunga sentenzi

 

Kuandika

Kujadili

Kutunga sentenzi

 

Ubao

Jedwali

 

KLB BK 1 UK 10-13

Oxford UK 37

Mwongozo UK 8

 
  2

na

3

Kuandika

Insha – maana

Insha ya barua

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kufafanua sehemu muhimu za insha

Kueleza sifa zake

Kuandika insha kwa mtiririko nzuri na hati nzuri

 

Kujadili

Kuandika

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 13-15

Oxford UK 57

Chemichemi

UK 14-16

 

 
  4 Vitate

R – L

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno ya R na L, Kutunga sentensi

 

Kutamka

Kuandika

Kutunga sentensi

 

Chati

Ubao

Wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 10-13

Kamusi ya kiswahili

 

 
  5 Sarufi

Aina za sauti

Irabu na konsonanti

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja ala za kutamkia

Kutamka irabu/konsonanti

Kuchora mkondo wa hewa

 

Kutamka

Kuandika

Kuchora

 

Jedwali

Ubao

 

KLB BK 1 UK 16-20

Oxford UK 1-3

 

 
  6 Ufahamu

Mawasiliano

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kutamka bora

Kujadili

Kujibu maswali kwa ufasaha

 

Kusoma kifungu

Kujadili

Kufanya maswali madaftarini

 

Kifungu kitabuni

Ubao

Michoro

 

KLB BK 1 UK 13-15

Mwongozo

UK 12-13

 

 
7 1-2 Sarufi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutumia alama za uakifishaji ipasavyo

Kubainisha alama na matumizi yao

 

Kujadili

Kuandika madaftarini

 

Jedwali

Ubao

 

KLB BK 1 UK 22-25

Oxford UK 40

 

 
  3 Vitate

F na V

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno ya sauti F na V

Kutunga sentensi

 

Kutamka

Kuandika

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 27

Mwongozo UK 14

 

 
  4 Kuandika

Vitanza ndimi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka upesi na kwa ufasaha

Watunge vitanza ndimi

 

Kutamka

Kuandika

Kutunga

 

Vifaa halisi

Ubao

 

KLB BK 1 UK 26

Chemichemi UK 51

 

 
  5 Ufahamu

Mama aficha simu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa ufasaha

Kujadili

Kujibu maswali

 

Kujadili

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Kifungu kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 28

Mwongozo

UK 16-17

 

 
  6 Fasihi

Maana

Umuhimu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya fasihi

Kuandika umuhimu wa fasihi

 

Kuandika

Kujadili

 

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 49

Oxford UK 48

 

 
8 1 Ufahamu

Safari

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kujibu maswali kwa ufasaha

Kusoma kwa kupokezana

Kujadili

kuandika

 

Vifaa halisi

Ubao

Kitabu cha wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 28-30

Mwongozo

UK 17-18

 
  2 Sarufi

Ngeli ya A-WA

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua umuhimu wa ngeli

Kufanya zoezi kwa ufasaha

 

Kuandika

Kujadili

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 30-32

Oxford UK 49

 

 
  3 Kuandika

Taarifa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika insha ya taarifa kwa mtiririko na hati nadhifu

 

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Kielelezo kitabuni

 

KLB BK 1 UK 33

 
  4 Misemo Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya misemo

Kutumia misemo kwa ufasaha sentensini

 

Kuandika

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Jedwali

Ubao

 

KLB BK 1 UK 37

Oxford UK 16

Kamusi ya misemo

 
  5 Kusoma

Maisha ya mjini

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa ufasaha

Kujibu maswali kwa ufasaha

 

Kusoma

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Kifungu kitabuni

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 37-39

Mwongozo UK 23

 

 
  6 Sauti tatanishi

Ch na Sh

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno ya sauti Ch na Sh

Kutunga sentensi sahihi

 

Kutamka

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 34

 
9 1 Sarufi

Ngeli ya U-I

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutumia nomino za ngeli ya U-I kwa ufasaha katika sentensi

© Education Plus Agencies

Kuandika

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 40

Oxford UK 49

 

 
  2-3 Kuakifisha 2 Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutumia alama za uakifishaji ipasavyo

Kubainisha matumizi ya kila alama

 

Kujadili

Kuandika

Kutunga sentensi

 

Jedwali

Ubao

KLB BK 1 UK 41

Oxford UK 127

Mwongozo UK 25

 
  4 Kuandika

Kujaza fomu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja aina za fomu

Kujaza fomu kwa ufasaha

 

Kuandika

Kujaza fomu

 

Vielelezo vya fomu

Ubao

 

KLB BK 1 UK 49

Oxford UK 78

 

 
  5 Fasihi

Aina za fasihi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua aina za fasihi

Kutaja mifano yao

 

Kujadili

Kuandika

 

Cahti

Ubao

 

KLB BK 1 UK 51

Oxford UK 8-9

Mwongozo UK 28

 
  6 Kusoma

Mavazi rekebisheni

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kujibu maswali kwa ufasaha

Kusoma kwa kupokezana

Kujadili

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 51-53

Mwongozo UK 29

Kamusi ya kiswahili

 

 
10 1 Sarufi

Ngeli ya LI-YA

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA

Kutumia nomino hizo katika sentensi

 

Kunadika

Kutunga sentensi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 53-55

Oxford UK 50

Mwongozo UK 30

 
  2 Kuandika

Maelezo/maagizo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika insha kwa mtiririko mzuri na hati nadhifu

 

Kujadili

Kuandika

Kutunga mtungo

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

Jedwali

 

 

KLB BK 1 UK 55-56

Oxford UK 36

 
  3 Ufahamu

Dawa za kulevya

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kujibu maswali

 

Kusoma

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1 UK 57

Mwongozo wa mwalimu

 
  4 Kusoma

Maradhi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa ufasaha

Kujibu maswali vilivyo

 

Kusoma

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Ubao

Vifaa halisi

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1 UK 58-59

Kamusi ya kiswahili

 

 
  5 Sarufi

Ngeli ya KI-VI

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua nomino za ngeli ya KI-VI

Kutumia ngeli hizo sentensini

 

Kujadili

Kuandika

 

Jedwali

Ubao

 

KLB BK 1 UK 60

Mwongozo UK 36

 

 
  6 Sarufi

Ngeli ya U-YA

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua nomino za ngeli ya KI-VI

Kutumia katika sentensi

 

Kuandika

Kutunga sentensi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 61-63

Oxford UK 49-51

 

 
11 1 Kusoma

Matumizi ya kamusi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja matumizi ya kamusi

Kueleza sifa za kamusi

 

Kusoma

Kuandika

 

Jedwali

Vifaa halisi

Kamusi mbalimbali

 

KLB BK 1 UK 70-74

Oxford UK 33-34

Kamusi

 
  2 Sarufi

Ngeli ya I-ZI

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua nomino ya ngeli ya I-ZI

Kutunga sentensi

 

Kuandika

Kutunga sentensi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 74-76

Oxford UK 50

Mwongozo UK 42

 
  3 MTIHANI  
  4 Sarufi

Ngeli ya I-I

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja na kutambua nomino za ngeli ya I-I

Kutumia nomino za ngeli hizo katika sentensi

 

Kujadili

Kuandika

Kutunga sentensi

 

Ubao

Chati

 

KLB BK 1 UK 76-77

Oxford UK 51

 

 
  5-6 Fasihi

Nyimbo

– Maana

– Umuhimu

– Sifa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja na kueleza aina za nyimbo

Kupambanua dhima za nyimbo mbalimbali

 

Kueleza

Kuimba

Kusoma

Kuandika

 

Wimbo

Redio na kanda za nyimbo

Wanafunzi wenyewe

 

KLB BK 1 UK 67

Chemichemi UK 162

 

 
12 1-2 Sarufi

Ngeli ya YA-YA

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA

Kutumia ngeli hizo katika sentensi

 

Kujadili

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 63

Oxford UK 63

 

 
  3 Kuandika

Maelezo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua vipengele muhimu nya insha ya maelezo

Kuandika insha

 

Kuandika

Kujadili

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 65

Chemichemi

UK 104-105

 

 
  4-6 Marudio

Sarufi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua sifa za sarufi

Aina za sentensi pamoja na maneno

 

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

 

Vitabu vyao

 
13 1-6 MARUDIO  
14-15   MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA NA KUFUNGA SHULE  

 

 

AZIMIO LA KAZI

KIDATO CHA KWANZA

MUHULA WA II

 

            ASILIA

  1. KLB
  2. Mwongozo wa Mwalimu
  3. Oxford
  4. Kamusi

 

 

JUMA KIPINDI  

SOMO

 

SHABAHA

 

MBINU

 

VIFAA

 

ASILIA

 

MAONI

1 1-4 KUFUNGUA  
2 1 Matamshi Bora

Sauti L, W na Y

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka kwa ufasaha

Kutoa maelezo tofauti kimaana

Kutunga sentensi

 

Kuandika

Kutamka

Zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 66

Mwongozo wa mwalimu

Kamusi

 
  2 Silabi za Kiswahili Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza tofauti iliyopo

Kujua matumizi ya kila moja

 

Kutamka

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Jedwali

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 66-67

Oxford UK 19

 

 
  3 Ushairi – Simulizi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja aina za nyimbo

Kuimba bembelezi kwa usahihi

 

Kujadili

Kuimba

Kuandika

 

Redio na kanda

Picha za waimbaji

 

KLB BK 1 UK 67-70

Chemichemi UK 171

 

 
  4 Kuandika

Insha

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Maana na umuhimu wa ratiba

Kuandika ratiba kwa njia ifaayo

 

Maswali ya dodoso kuhusu ratiba

Kuandika

 

Ubao

Ratiba halisi

KLB BK 1 UK 71-72

Chemichemi

UK 45-46

Mwongozo UK 43

 
  5 Kusikiliza na Kuzungumza

Hotuba

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za hotuba

Kusoma hotuba kwa matamshi bora

Kutoa hotuba mbele ya darasa

 

Kusoma

Kujadili

Kuigiza hotuba

 

Kifungu kitabuni

Wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 79

Chemichemi UK 159

 

 
  6 Ufahamu

Uhalifu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kujibu maswali ya ufahamu

 

Kusoma

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1 UK 80-82

Mwongozo UK 44

 

 
3 1 Fasihi

Mafumbo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya mafumbo

Kutaja sifa za mafumbo

 

Kujadili

Kuandika

 

Redio

Kitabu cah wanafunzi

 

Fasihi simulizi UK 28

Oxford UK 57

 

 
  2 Kusoma

Ushairi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kutaja aina za mashairi

Kueleza maana ya shairi

 

Kusoma

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Mashairi kitabuni

 

KLB BK 1 UK 82-83

Mwongozo

UK 46-47

Kamusi

 

 

 
  3 Ufahamu

Wasomi wa sayansi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa ufasaha

Kujibu maswali kikamilifu

 

Kusoma kwa kupokezana

Kujadili

 

Kufungu kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 84-86

Mwongozo UK 47

 

 
  4-5 Sarufi

Ngeli ya U-ZI

Ngeli ya U-U

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI na U-U

Kutunga sentensi

 

Kujadili

Kuandika

Zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 86-88

Oxford UK 51

Mwongozo

UK 48-49

 
  6 Fasihi

Umuhimu wa mafumbo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza umuhimu wa mafumbo

 

Kujadili

Kuandika madaftarini

Chati

Ubao

Wanafunzi

Fasihi simulizi UK 24

Fasaha

 
4 1 Kuandika

Hotuba

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua vipengele mbalimbali nya insha ya hotuba

Kuandika insha ya hotuba ipasavyo

 

Kujadili

Kuandika madaftarini

 

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 89

Oxford UK 142

Mwongozo UK 49

 
 

 

2-3 Hadithi

Maana

Sifa

Umuhimu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya hadithi na umuhimu wake

Kuhadithiana

 

Kusoma

Kueleza

Kuandika

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

Hadithi

 

KLB BK 1 UK 90-91

Oxford UK 26-27

Mwongozo UK 50

 

 
  4 MTIHANI  
  5 Hekaya Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya hekaya

Kuambiana hekaya

 

Kusoma

Kujadili

Kuandika

 

Kifungu kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 92-93

Mwongozo UK 51

 

 
  6 Kusoma

Ngeli za nomino zitumiwanyo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza umuhimu wa ngeli

Kujibu maswali

 

Kueleza

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1 UK 93-95

Mwongozo UK 51

 

 
5 1 Sarufi

Ngeli ya mahali

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua viambishi vya ngeli ya mahali

Kutunga sentensi

 

Kujadili

Kuandika

 

Michoro

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 96-98

Oxford UK 51

Mwongozo UK 95

 

 
  2 Kuandika

Hadithi fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kufafanua yanayoshughulikiwa katika utungaji

Kueleza sifa za hadithi fupi

 

Kujadili

Kuandika madaftarini

 

Chati

Ubao

Kielelezo

 

KLB BK 1 UK 98

Oxford UK 105

 

 
 

 

3 MTIHANI  
  4 Kusikiliza na Kuzungumza

Hurafa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja sifa za hurafa

Kujibu maswali

 

Kusoma

Kujadili

Kujibu maswali

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 99

Oxford UK 35

Mwongozo UK 55

 
  5 Kusoma

Mashairi vue

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kukariri shairi kwa mahadhi bora

Kujibu maswali

 

Kujadili

Kueleza

Kuandika

 

Ubao

Nakala za mashairi

 

KLB BK 1

UK 102-103

Chemichemi UK 63

 

 
  6 Fasihi

Vitendawili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya vitendawili

Kufafanua sifa za vitendawili

 

Kusoma

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Nakala za fasihi

 

KLB BK 1 UK 128

Fasihi simulizi

UK 24

 
6 1 Sarufi

Ngeli ya KU

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Nomino za ngeli ya KU sentensini

Kujibu maswali

 

Kujadili

Kutunga sentensi madaftarini

 

Chati

Ubao

Nakala

 

KLB BK 1 UK 104

Oxford UK 50-51

Mwongozo UK 57

 
  2 MTIHANI  
  3 Kuandika

Mashairi mepesi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kukariri shairi kwa mahadhi bora

Kuandika shairi mepesi

 

Kujadili

Kuandika

Kujibu maswali

 

Ubao

Chati

Magazeti

 

KLB BK 1 UK 106

Chemichemi UK 63

 

 
  4 Vitate

Z na S

Sh na S

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno ya sauti z, s, sh na s

Kutunga sentensi sahihi

 

Kutamka

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

Kamusi

 

KLB BK 1 UK 107

Mwongozo UK 58

 

 
  5 Mahojiano Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za mahojiano

Kushiriki katika kuigiza mahojiano

 

Kujadili

Kueleza

Kuandika

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1

UK 107-109

Chemichemi UK 129

 
  6 Sarufi

Matumizi ya lugha

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kujibu maswali kwa usahihi

 

Kusoma ghibu kitabuni

Kuandika majibu

 

Ubao

Maswali

 

KLB BK 1 UK 104

Maswali peku

 
7 1 Vitanze Ndimi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka vitanze ndimi upesi

Kueleza maana ya vitanza ndimi

 

Kujadili

Kuandika

 

Jedwali

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 26

Oxford UK 143

 

 
  2 Fasihi Simulizi

Marudio

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya fasihi

Kueleza aina za fasihi

Kufafanua umuhimu wa fasihi

 

Kujadili

 

Nakala halisi

Ubao

 

Kuikarabaili lugha

 
  3-6 LIKIZO FUPI  
8 1 KURUDI KUTOKA MAPUMZIKO MAFUPI  
  2 MTIHANI  
  3 Kusoma

Ajira ya watoto

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maswala yanayohusiana na ajira ya watoto

Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali

 

Kusoma kujibu maswali

Kujadili

Kujadili maadili yaliyomo

 

Ubao

Picha za watoto

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1

UK 109-111

Oxford UK 172

 

 

 
  4 Kuandika

Muhtasari

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika sifa za muhtasari

Kuandika muhtasari

 

Kujadili

Kusoma kielelezo

Kuandika

 

Ubao

Kielelezo cha ufupisho

 

KLB BK 1 UK 112

Chemichemi

UK 57-59

 
  5 Sarufi

Viwakilishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya viwakilishi

Kutaja viambishi mbalimbali

Kutunga sentensi

 

Kusoma maelezo kitabuni

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1

UK 112-113

Mwongozo UK 61

 

 
  6 Fasihi

Umuhimu wa vitendawili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja umuhimu wa vitendawili katika jamii

Kutegeana vitendawili

 

Kutega na kutegua vitendawili

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Ubao

Wanafunzi wenyewe

 

KLB BK 1 UK 128

Chemichemi UK 122

 

 
9 1-2 Sarufi

Nyakati na ukanusho

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja nyakati mbalimbali

Kukanusha sentensi za nyakati mbalimbali

 

Maswali ya dodoso

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1

UK 113-116

Oxford UK 62-93

Chemichemi UK 43

 
  3 Imla Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuendeleza maneno kwa usahihi

Kutamka kwa ufasaha

 

Kujadili

Kutamka

Kuandika

 

Ubao

Chati

Wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 117

Mwongozo UK 63

 

 
  4 Kuandika

Mahojiano

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika sifa za mahojiano

Kuandika mahojiano kwa hati nadhifu na mtiririko mzuri

 

Kuandika

Kujadili

 

Nakala

Ubao

 

KLB BK 1 UK 118

Chemichemi UK 63

 

 
  5 MTIHANI  
  6 Kusikiliza na Kuzungumza

Vitendawili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua fomula ya vitendawili

Kutegeana vitendawili

 

Kujadili

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Ubao

Chati

Vifaa halisi

 

KLB BK 1

UK 119-120

Oxford UK 108

 

 
10 1 Kusoma

Muwele

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kueleza maadili katika taarifa

Kujibu maswali

 

Kusoma kwa zamu

Kueleza msamiati

Kufanya zoezi

 

Ubao

Kifungu kitabuni

 

KLB BK 1

UK 121-123

Mwongozo UK 65

 

 
  2 MTIHANI  
  3 Sarufi

Vivumishi nya sifa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya vivumishi

Kutumia vivunishi vya sifa katika sentensi

 

Kujadili

Kuandika

 

Chati

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1

UK 123-124

Oxford UK 156

 

 
  4 Sarufi

Vionyeshi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya vionyeshi

Kutunga sentensi

 

Kujadili

Kuandika

Kutunga mifano

 

Vifaa halisi

Ubao

Chati

KLB BK 1

UK 125-128

Oxford UK 164

Chemichemi

UK 19-20

 
  5 Kuandika Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza vipengele muhimu nya uandishi wa vitendawili

 

Kueleza

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Jedwali

 

KLB BK 1 UK 128

Mwongozo UK 69

 

 
  6 Fasihi

Sifa na umuhimu wa vitanza ndimi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa na umuhimu wa vitanza ndimi

 

Kujadili

Kuandika

 

Jedwali

Ubao

Wanafunzi wenyewe

 

KLB BK 1 UK 26

Fasihi simulizi

UK 32

 
11 1-2 Kusikiliza na Kuzungumza

Nyimbo za kazi na tohara

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja sifa za nyimbo za kazi

Kueleza umuhimu wake

 

Kueleza

Kujadili

Kuandika

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1

UK 129-132

Fasaha UK 76

 
  3 Kusoma Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma ufahamu kwa matamshi bora

Kuchambua ujumbe muhimu

 

Kusoma kwa kupokezana

Kufanya zoezi

 

Kifungu kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1

UK 132-135

Mwongozo UK 70

 
  4 MTIHANI  
  5 Kuandika

Matangazo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutoa fasili ya matangazo

Kuandika matangazo kwa usahihi

 

Kujadili

Kuandika tangazo

 

Chati

Ubao

Kielelezo

KLB BK 1

UK 137-138

Chemichemi UK 57

Mwongozo UK 73

 
  6 Fasihi

Kudurusu nyimbo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kukumbuka kwa kueleza sifa za nyimbo

Umuhimu wa nyimbo

 

 

Kujibu maswali

Kufanya masahihisho

 

Nakala

Ubao

 

Nakala zao

 
12 1 Maigizo Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua maana ya maigizo

Kueleza umuhimu wa maigizo

 

Kueleza

Kuandika

Kuigiza

 

Ubao

Wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 139

Oxford UK 76

 

 
  2 Kusoma

Tamthilia

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja na kufafanua sifa za tamthilia

Kusoma tamthilia na kueleza ujumbe

 

Kutaja

Kueleza

Kujibu maswali

 

Tamthilia fupifupi

Ubao

 

KLB BK 1 UK 140

Chemichemi UK 111

 

 
  3 MTIHANI  
  4 Sarufi

Kiwakilishi rejeshi ‘O’

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua matumizi ya ‘O’ rejeshi

Kutunga sentensi sahihi

 

Maswali

Kueleza

Kujibu maswali

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 143

Chemichemi UK 157

Mwongozo UK 104

 
  5 Muhtasari Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza vipengele vya muhtasari

Kuandika muhtasari ipasavyo

 

Kuandika

Kujibu maswali

 

Ubao

Kielelezo kitabuni

 

KLB BK 1 UK 143

Mwongozo UK 75

 

 
  6 Fasihi

Hadithi (Marudio)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja aina za hadithi

Kutambua umuhimu wa hadithi

 

Kujadili

Kuandika

 

Jedwali

Vifaa halisi

Ubao

 

Ijaribu UK 155

Fasihi simulizi

UK 34

 

 
13 1 Kuandika

Onyo/ilani

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza miundo ya ilani

Kuandika onyo kikamilifu

 

Kueleza

Kujadili

Kuandika

 

Chati

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 147

Oxford UK 91

Mwongozo UK 76

 
  2 Kusikiliza na Kuzungumza Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za majadiliano

Kuandika majadiliano

 

Kujadili kwa makundi

Kujibu maswali

 

Ubao

Wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 149

Chemichemi UK 156

Mwongozo UK 143

 
  3 Kusoma

Maktaba

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja na kueleza aina za maktaba

Kueleza umuhimu wa maktaba

 

Kutaja

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Chati

Vifaa halisi

 

KLB BK 1

UK 149-152

Mwongozo UK 77

 
  4 MTIHANI  
  5-6 Sarufi

Udogo

Ukubwa wa nomino

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja nomino mbalimbali

Kubainisha nomino kutoka kawaida hadi ukubwa na udogo

 

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Chati

Vifaa halisi

Ubao

 

KLB BK 1

UK 152-154

Chemichemi

UK 115-117

 

 

 

 
14 1-2 Sarufi

Kirejeshi – amba

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua matumizi ya ‘amba’ pamoja na nomino za ngeli

Kujibu maswali ya ‘amba’ kwa usahihi

 

Kuandika

Kujibu maswali

Kusahihisha

 

Ubao

Wanafunzi

 

Vitabu vya wanafunzi

 
  3-4 Sarufi

Kudurusu sarufi

Ngeli na sentensi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma maswali na kujibu kwa ufasaha

 

Kuandika

Kujibu maswali

Kusahihisha

 

Ubao

Wanafunzi

 

Vitabu vya wanafunzi

 
  5-6 Sarufi

Ngeli na nomino

PA-KU-MU

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Nomino za ngeli ya PA-KU-MU sentensini

Kujibu maswali

 

Kuandika

Kujibu maswali

Kusahihisha

 

Ubao

Wanafunzi

 

Vitabu vya wanafunzi

 
15   MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA  

 

AZIMIO LA KAZI

KIDATO CHA KWANZA

MUHULA WA III

 

            ASILIA

  1. KLB
  2. Mwongozo wa Mwalimu
  3. Oxford
  4. Kamusi

 

 

JUMA KIPINDI  

SOMO

 

SHABAHA

 

MBINU

 

VIFAA

 

ASILIA

 

MAONI

1 1-4 KUFUNGUA  
2 1 Sarufi

Kiwakilishi ‘amba’

Marudio

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuelewa maswali

Kujibu maswali kwa ufasaha

 

Kusoma ghibu kitabuni

Kuandika majibu

Kujadili majibu

 

Ubao

Wanafunzi wenyewe

KLB BK 1

UK 135-137

Oxford UK 74

Mwongozo wa mwalimu

 
  2 Marudio

Tathmini ya kwanza

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika majibu kulingana na maswali

 

Kuandika

Kujadili

Kufanya masahihisho

 

Ubao

Maswali

 

Mwongozo wa mwalimu

 
  3 Kuandika Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kupambanua miundo ya barua rasmi na sifa zake

Kuandika barua rasmi

 

Kujadili

Kuandika madaftarini

 

Nakala za barua rasmi

Ubao

 

KLB BK 1 UK 154

Oxford UK 115

Chemichemi

UK 9-13

 
  4 Methali Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya methali

Kujibu maswali

 

Kueleza

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

KLB BK 1

UK 155-157

Oxford UK 69

Chemichemi

UK 113-114

 
  5 Riwaya

Mikono juu inspekta

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kueleza misamiati iliyomo kifunguni

Kusoma kwa kupokezana

Kujadili ujumbe

Kuandika

 

Vifaa halisi

Ubao

Kufungu

 

KLB BK 1

UK 158-159

Mwongozo UK 84

 
  6 Sarufi

Mnyambuliko wa vitenzi

Kutenda, Kutendea,

Kutendeka

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja vitenzi mbalimbali

Kunyambua vitenzi katika kauli zote

 

Kusoma

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

KLB BK 1

UK 160-162

Oxford UK 110

Chemichemi

UK 69-72

 
3 1 Sarufi

Mnyambuliko

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja vitenzi mbalimbali

Kunyambua vitenzi – kutendwa na kutendewa

 

Kueleza

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 166

Fasaha UK 110

Chemichemi

UK 92-93

 
  2 Kuandika Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja sifa za masimulizi

Kuandika masimulizi kwa mtiririko

 

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 167

Oxford UK 28

Mwongozo UK 87

 
  3 MTIHANI  
  4 Kusikiliza na Kuzungumza Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kujadili maadili kutoka kifungu

Kusoma kwa kupokezana

Kujadili

Kujibu maswali

 

Kifungu kitabuni

Ubao

KLB BK 1

UK 168-170

Kamusi

Mwongozo UK 58

 
  5 Tashbihi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya tashbihi

Kufanya zoezi kikamilifu

 

Kueleza

Kuandika

Kufanya zoezi

 

Chati

Ubao

KLB BK 1 UK 1170

Oxford UK 45

Chemichemi

UK 99-100

 
  6 Fasihi

Hekaya

(Marudio)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kujibu maswali kikamilifu na kwa ufasaha

 

Kujadili

Kuandika

Kusoma

 

Kielelezo kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1 UK 90

Ijaribu UK 156

 
4 1 Istiara Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya istiara

Kujibu maswali kikamilifu

 

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1

UK 171-172

Mwongozo UK 90

 
  2 MTIHANI  
  3 Kusoma

Ushairi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua sifa za ushairi

Kueleza ujumbe uliopo

Kusoma kwa sauti na kupokezana

Kujadili

Kuandika

 

Kifungu kitabuni

Ubao

KLB BK 1

UK 173-175

Oxford UK 92

Mwongozo

UK 91-92

 
  4-5 Sarufi

Mnyambuliko (2)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja vitenzi mbalimbali

Kunyambua vitenzi hivyo katika kauli mbalimbali

 

Kueleza

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Chati

 

KLB BK 1 UK 93

Chemichemi

UK 176-178

Mwongozo UK 82

 
  6 Kuandika

Mdokezo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za insha ya mdokezo

Kutunga insha kwa hati nadhifu

 

Kujadili

Kuandika

 

Ubao

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 178

Mwongozo UK 93

 
5 1-2 Sarufi

Vivumishi

‘O’ rejeshi (marudio)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kujibu maswali

Kuandika kwa hati nzuri

Kusoma ghibu

Kujibu maswali

Kusahihisha na kufanya marudio

 

Ubao

Wanafunzi

 

KLB BK 1 UK 123

Oxford UK 102

Chemichemi UK 157

 
  3-6 MAPUMZIKO YA KATIKATI YA MUHULA  
6 1 KURUDI KUTOKA LIKIZO FUPI  
  2 MTIHANI  
  3 Ufahamu Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa kina na kutambua maadili

Kujibu maswali

 

Kusoma

Kujadili

Kuandika

 

Kifungu kitabuni

Ubao

 

KLB BK 1

UK 179-181

Mwongozo UK 94

 
  4 Riwaya Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua sifa za riwaya

Kujibu maswali

Kusoma

Kueleza

Kujadili

Kufanya zoezi

 

Ubao

Wanafunzi

 

KLB BK 1

UK 181-183

Mwongozo UK 95

 
  5 Matumizi ya kamusi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja na kueleza aina za kamusi

Kueleza umuhimu wa kamusi

 

Kuandika

Kueleza

Kujibu maswali

 

 

KLB BK 1 UK 183

Chemichemi

UK 20-21

Mwongozo UK 13

 
  6 Fasihi

Khurafa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya khurafa

Kutaja umuhimu wa khurafa

 

Kueleza

Kuandika

 

Ubao

 

KLB BK 1 UK 184

 
7 1 Fasihi andishi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja vipera vya fasihi andishi

Kuchambua makala kwa misingi ya; ploti, fani, maudhui, dhamira n.k.

 

Kuandika

Kujadili

Kuhakiki

 

Chati

Ubao

 

KLB BK 1 UK 184

Chemichemi UK 99

Mwongozo UK 69

 
  2-5 MTIHANI  
 

 

6 Fasihi

visasili

         
8 1 Mnyambuliko Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja vitenzi mbalimbali na kuvinyambua kwa hali mbalimbali

 

Kutaja

Kuandika

 

Jedwali

Vifaa halisi

 

KLB BK 1 UK 18

Mwongozo UK 99

 
  2 Methali Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya methali

Kueleza matumizi ya methali

 

Kujadili

Kuandika

Kujibu maswali

 

Vifaa halisi

Ubao

 

KLB BK 1 UK 189

Chemichemi

UK 99-100

 
  3 MTIHANI  
  4 Semi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya semi

Kutaja vipera vyake

Kueleza umuhimu

 

Kutaja

Kueleza

Kuandika

 

Vifaa halisi

Ubao

Jedwali

 

KLB BK 1 UK 190

Ijaribu

 
  5-6 Fasihi

Visakale/mighani/

Ushujaa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya visakale

Sifa zake

Umuhimu

 

Kueleza

Kuandika

Kuhadithia

 

Jedwali

Ubao

Vifaa halisi

 

Ijaribu UK 155

 
9 1-6 MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA NA KUFUNGA SHULE  

 

Exit mobile version