ASILIA

  1. KLB
  2. Mwongozo wa Mwalimu
  3. Oxford
  4. Kamusi
JUMA KIPINDI  

SOMO

SHABAHA

MBINU

VIFAA

ASILIA

MAONI

1 4-6 KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO  
2 5-6 Fasihi

Hadithi fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha

Majadiliano

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

3 1 Kusikiliza na kuzungumza

Fasihi simulizi na fasihi andishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuweza kubainisha sifa za fasihi simulizi na fasihi andishi pamoja na tofauti, aidha tanzu zake

Majadiliano

Kuuliza na kujibu maswali

Jedwali

Utendaji wa wanafunzi

C. Kuhenga

Fasihi simulizi na tamathali za usemi

KLB BK 4 UK 4-19

Chem BK 4 UK 4

  2 Isimu Jamii

Maana, lugha na mawasiliano

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya isimu jamii, umuhimu wake, maana ya lugha, dhima na uhusiano kati ya mawasiliano na lugha

Kujadiliana

Kusikiliza

Kuuliza maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

I.I Odeon a M. Geoffrey

Fani ya isimu jamii UK 1-8

  3 Sarufi

Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi

Kuuliza

Kusikiliza

Kujibu maswali

Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi

Chem BK4 UK 102

KLB BK4 UK 26-27

Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28

  4 Kusoma

Matangazo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa sauti matangazo kwa ufasaha na utaratibu tofauti

Kuyatofautisha matangazo hayo

Kutafuta matangazo mbalimbali

Kubainisha sifa zake

Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa

Chem. UK 102

KLB BK4 UK 26

  5 Kuandika

Barua rasmi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua sehemu muhimu za kuzingatia na kuzitilia maanani ili kuweza kutunga barua nzuri ipasavyo

Maelezo, kujadiliana na kuandika barua

Nakala za barua rasmi

Chem. UK 32

KLB BK4 UK 8-15

Mwongozo wa uandishi wa insha

  6 Fasihi

Hadithi Fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi

Kujadiliana

Kuuliza

Kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

4 1 Kuandika insha ya methali Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha maana bayana na batini, visa katika kubuni insha inavyostahiki

Utendaji wa wanafunzi

Mifano ya insha za methali

Chem. UK 66

KLB BK4 UK 28-29,

16-17

  2 Kusikiliza na kuzungumza Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuelewa taarifa, kudondoa mambo muhimu kwa kuzingatia matamshi bora na lugha

Utendaji wa wanafunzi

Kuuliza na kujibu maswali

Majadiliano

Vifaa halisi

Picha na michoro

Tuki: kamusi sanifu

KLB BK4 UK30-32

  3 Sarufi

Nomino/jina

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi

Kusikiliza

Kuuliza

Kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 5

KLB BK4 UK 32-35

F.V. Nkwera

  4 Kusoma kwa mapana

Magazeti

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuwa staid katika usomaji

Kuzingatia matamshi bora

Kudondoa hoja za kitaifa na kimataifa na zinazohusiana na janga la ukimwi

Majadiliano na usomaji wa magazeti

Taifa Leo

Majira

Majarida Ya Kiswahili

Katika maktaba

Magazeti ya magktaba

KLB BK4 UK 35-37

  5-6 Fasihi

Hadithi Fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi

Kujadiliana

Kuuliza

Kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

5 1 Kuandika

Muhtasari

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Uzingativu wa kanuni za muhtasari

Kudondoa hoja muhimu bila kubadili maana na kuandika muhtasari

Kusoma makala

Kudondoa hoja muhimu na kuandika muhtasari

Fungu la ufupisho

KLB BK4 UK 37-38

Tuki

Kamusi sanifu

  2 Kusikiliza na kuzungumza:

Mtandao

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuweza kuwasiliana kwa mtandao na kutambua istilahi zinazohusiana na mtandao

Majadiliano

Kuuliza

Kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 137

KLB BK4 UK 39-41

Tuki

Kamusi sanifu

  3 Sarufi

Vitenzi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi

Kutambulisha vitenzi

Kuuliza

Kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 39

KLB BK4 UK 43-46

  4 Kuandika

Memo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambulisha aina mbalimbali za meme na kuandika ujumbe kwa kutumia meme

Maswali

Majadiliano

Kujibu maswali

Tarakilishi

Rununu

Nukilishi

Chem. UK 78

KLB BK4 UK 46-50

  5 Isimu Jamii

Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuweza kuelewa hadhi ya lugha ya Kiswahili na chimbuko la lugha hii katika upwa wa pwani ya Afrika mashariki

Majadiliano

Kusoma

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 9-21

  6 Fasihi

Hadithi fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

6 1 Kusikiliza na kuongea

Methali na misemo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuzingatia matamshi sahihi, kuelewa maana, methali zilizo sawa na zenye maaana kinzani

Majadiliano

Kuuliza na kujibu maswali

Vinasa sauti

Picha na michoro

Kamusi ya methali

Kamusi ya misemo

  2 Kusoma kwa ufahamu

Haki za binadamu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Matamshi sahihi, kuelewa maana, msamiati ili kuweza kujibu maswali ipasavyo

Majadiliano

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Tuki

Kamusi sanifu

KLB BK4 UK 56-58

  3 Sarufi

Viwakilishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 17

KLB BK4 UK 58-60

Oxford BK4 UK

  4 Isimu Jamii

Dhana ya lahaja za Kiswahili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuelewa dhana ya lahaja za Kiswahili, zinakotumika na lafudhi zake ipasavyo

Majadiliano

Kusoma

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 27-32

  5-6 Fasihi

Hadithi Fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

7 1 Kuandika

Tahakiki

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Utambuzi wa vipengele vya tahakiki na kuvitumia ipasavyo katika zoezi la kutahakiki taarifa

Kusikiliza

Kuuliza maswali

Kujadiliana

Tamthilia

Riwaya

Diwani ya ushairi na hadithi fupi

KLB BK4 UK 75-78

Rejea zote

  2-3 Fasihi

Hadithi fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi

Kujadiliana

Kuuliza

Kujibu maswali baada ya hadithi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

  4 Kusikiliza na kuongea

Mafumbo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuimarisha matamshi bora

Kunoa akili

Kumakinika katika ufumbuzi na utatuzi wa matatizo/mafumbo

Kushiriki katika ufumbuzi

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 71

KLB BK4 UK 79-81

  5 Fasihi simulizi

Lakabu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuzingatia matamshi bora

Kuwa watambuzi na wachunguzi ili kuweza kuunda na kutumia lakabu ipasavyo

Kujadiliano

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na bango lenye picha

Chem. UK 60

KLB BK4 UK 79-81

  6 Kusoma

Viwanda

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo

Kujibu maswali ipasavyo

Kusoma

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Tuki

Kamusi sanifu

KLB BK4 UK 84-88

8 1 Sarufi

Viunganishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuvitambua na kuvitumia kwa usahihi katika mazungumzo na pia kwenye sentensi ipasavyo

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Jedwali

Vifaa halisi

Picha na bango lenye picha

F.V Nkwera

Sarufi na Fasihi

Chem. UK 97

KLB BK4 UK 88-89

  2 Kusoma

Wavuti

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora

Kutambua maana ya wavuti na istilahi zake na kuzitumia ipasavyo

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Tuki

Kamusi sanifu

KLB BK4 UK 89-91

  3 Kuandika

Simu na Memo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Kutunga mtungo

Vifaa halisi

Picha na bango lenye picha

Chem. UK 193

KLB BK4 UK 91-93

Mwongozo wa insha

  4 Isimu Jamii

Usanifishaji wa Kiswahili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuelewa sababu na jinsi Kiswahili kilivyosanifishwa baada ya kumaizi maana ya usanifishaji

Kujadiliana

Majadiliano

Kusoma

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 33-37

  5-6 Fasihi

Hadithi Fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

9 1 Kusikiliza na kuongea

Bungeni

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuzingatia matamshi bora

Kustawisha mawasiliano na itifaki, aidha istilahi sahihi za bunge

Kusoma kwa sauti

© Education Plus Agencies

Kujadiliana

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 61

KLB BK4 UK 94-97

  2 Kusoma

Kumbukumbu za mkutano

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Nakala za kumbukumbu za mkutano

Chem. UK 169

KLB BK4 UK 97-99

  3 Sarufi

Vielezi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua aina mbalimbali za vielezi na kuvitumia katika sentensi na mawasiliano

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Chati ya vielezi

Utendaji wa wanafunzi

Chem. UK 75-76

KLB BK4

UK 100-101

Nkwera 24-26

  4-6 LIKIZO FUPI  
10 1-2 LIKIZO FUPI  
  3 Kusoma

Riwaya teule

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuelewa mambo yahusuyo riwaya, kujadili maudhui, kiini, wahusika na mbinu za kisanaa na za lugha

Kusoma

Kujadiliana

Vitabu vya riwaya (hadithi)

Chem. UK 55, 65

KLB BK4 UK 102

  4 Isimu Jamii

Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 38-51

  5-6 Fasihi

Hadithi Fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

11 1 Sarufi

Vihusishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano

Kusikiliza

Kutunga sentensi

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 108

KLB BK4 UK 110

  2 Sarufi

Vivumishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano

Kusikiliza

Kutunga sentensi

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 108

KLB BK4 UK 110

  3 Isimi Jamii

Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 52-58

  4 Isimi Jamii

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

12 1 Kusoma

Mashairi huru

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha tofauti ya mashairi, arudhi na huru

Kuyachambua bila utatanishi

Kukariri shairi

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Makala ya majarida ya kiswahili

Chem. UK 113, 173

KLB BK4 UK 114

Tuki: Kamusi sanifu

  2 Kuandika

Utungaji wa kisanii

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri

Kusikiliza

Kuuliza maswali

Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui

Mifano ya mashairi huru

Chem. UK 173

KLB BK4 UK 114

Mwongozo wa utunzi

  3 Sarufi

Vihisishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha aina mbalimbali za vihisishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano

Kusikiliza

Kutunga sentensi

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. UK 213

KLB BK4

UK 110-111

Nkwera

  4 Kusikiliza na kuzungumza

Mjadala

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Mada ya mjadala

Kuigiza mazungumzo na kuweza kuwasilisha hoja kwa ufasaha

Kujadiliana na kuelekezwa

Chati

Mchoro na picha

KLB BK4

UK 115-117

  5-6 Fasihi

Hadithi Fupi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine

13 1 Kusoma

Utandawazi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha

Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Ramani ya ulimwengu

Michoro na picha

Chem. UK 160

KLB BK4

UK 117-119

Tuki: Kamusi sanifu

  2 Sarufi

Mwingiliano wa maneno

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha

Kuitunga sentensi

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Chati na michoro

KLB BK4 UK 76-77

  3 Fasihi

Kudurusu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kushiriki kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi

  4 Ushairi

Bahari/aina za ushairi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi

Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Mashairi

E. Kezilahabi

Kunga za Ushairi

Malenga wa Ziwa kuu

  5-6 Isimu Jamii

Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya

Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 52-55

14 1 Kusikiliza na kuzungumza

Matamshi bora (kudurusu)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha

Kutamka

Kusikiliza

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. BK1 UK 3-8

KLB BK1 UK 16

Oxford BK1 UK 1-3

  2 Kusikiliza na kuzungumza

Matamshi bora (kudurusu)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha ala za kutamkia, irabu zinakotamkwa hali kadhalika konsonanti

Kutambulisha aina za konsonandi

Kutunga sentensi sahihi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. BK1 UK 3-8

KLB BK1 UK 16

Oxford BK1 UK 1-3

  3 Sarufi

Kuakifisha

(kudurusu)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi

Kusikiliza

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138,

180,196

KLB BK1 UK 22-23

  4 Isimu Jamii

Sajili katika muktadha isiyo rasmi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza na kuelewa

Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali,  sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida

Majadiliano

Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi

Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.

Fani ya Isimu Jamii UK 88-92

  5-6 Fasihi

Kudurusu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliana

Kuuliza na kujibu maswali

Kufanya zoezi

Vifaa halisi

Picha na michoro

Rejea zote za fasihi

15   MITIHANI  

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here