AZIMIO LA KAZI YA KISWAHILI GREDI 6 MUHULA 3 |
NAME |
|
TSC NO. |
|
SCHOOL |
Wiki | Kipindi | Mada kuu | Mada ndogo | Matokeo maalum yanayotarajiwa | Shughuli za ujifunzaji | Maswali dadasi | Nyenzo | Mapendekezo ya tathmini | Maoni |
1 | 1 | Wanyama wa Majini | Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutendeana | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana. c) Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana. d) Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendeana katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuzileta maana mbalimbali? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 139-141
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
|
2 | Wanyama wa Majini | Kauli ya kutendesha | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendesha c) Kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha d) Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendesha katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendesha
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha |
Kauli ya kutendesha inahusu nini? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 142-144
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Wanyama wa Majini | Kauli ya kutendua | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua c) Kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua d) Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua |
Je, mmegundua nini kuhusu kauli ya kutendua? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 145-147
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Afya ya Akili | Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo ya kimuktadha | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. c) Kuigiza mazungumzo ya muktadha wowote rasmi. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo |
Je, ni wapi katika shughuli za kila siku watu huitumia lugha rasmi na lugha isiyo rasmi? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 148-151
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
d) Kufurahia matumizi ya lugha rasmi. | ya muktadha wowote rasmi | Vifaa vya kidijitali | |||||||
2 | 1 | Afya ya Akili | Kusoma kwa mapana; Matini | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma matini, ‘Kusudi na Unga wa Ajabu’ b) Kutambua msamiati mpya uliotumika katika matini. c) Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali. |
Wanafunzi wakiwa wawili waweze kusoma matini, ‘Kusudi na Unga wa Ajabu’
Mwanafunzi aweze kutambua msamiati mpya uliotumika katika matini |
Je, ni habari zipi unazopenda kuzisoma kwenye vyanzo mbalimbali vya matini? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 151-153
Kapu maneno Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
|
2 | Afya ya Akili | Kuandika insha; Insha ya maelezo | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali. b) Kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo. c) Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha. d) Kuchangamkia utunzi mzuri w insha ili kuimarisha uandishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha. |
Je, ni mada gani zinazoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
Je, insha nzuri ya maelezo ina muundo gani? |
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 154-157
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Afya ya Akili | Kuandika insha; Insha ya maelezo | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi. b) Kusoma insha ya maelezo, ‘Faida za Afya ya Akili’ c) Kufurahia kuandika insha ya maelezo. |
Mwanafunzi aweze kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi
Mwanafunzi aweze kusoma insha ya maelezo, ‘Faida za Afya ya Akili’ |
Je, ni mawazo yapi yanayojitokeza katika insha ya maelezo mlioisoma? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 154-157
Kapu maneno Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Afya ya Akili | Sarufi; Vinyume vya vivumishi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutaja vivumishi ambavyo anaweza kutaja vinyume vyake. b) Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vinyume vya vivumishi. c) Kuonea fahari matumizi ya vinyume vya vivumishi. |
Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja vivumishi ambavyo anaweza kutaja vinyume vyake
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi akivitumia vinyume vya vivumishi. |
Je, umegundua nini kuhusu vinyume vya vivumishi? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 157-159
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | 1 | Kukabiliana na Ugaidi | Kusikiliza na Kuzungumza; Sitiari za tabia | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kueleza maana ya neno sitiari. b) Kutaja viumbe wanaowajua na kueleza tabia zinazowafanya wajulikane. c) Kusoma kifungu, ‘Ushauri wa Nyanya’ d) Kutambua Sitiari za tabia katika sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. e) Kuchangamkia matumizi ya sitiari |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno sitiari.
Mwanafunzi aweze kutaja viumbe wanaowajua na kueleza tabia zinazowafanya wajulikane
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu, ‘Ushauri wa Nyanya’
Mwanafunzi aweze kutambua Sitiari za tabia katika sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. |
Je, ni maneno gani ambayo mnaweza kuyatumia kukilinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 161-163
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
2 | Kukabiliana na Ugaidi | Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali. b) Kujadiliana kuhusu majina ya misimu. c) Kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu. d) Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali. |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali
Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Mwanafunzi aweze kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu |
Ni hatua gani za kiusalama mnazozingatia mnapotafuta habari mtandaoni? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 164-165
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Kukabiliana na Ugaidi | Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma matini, ‘Tabuleti ya Najuta’ b) Kutambua msamiati mpya alioisoma. c) Kuchangamkia hatua za kiusalama anaposoma matini za kidijitali |
Mwanafunzi aweze kusoma matini, ‘Tabuleti ya Najuta’
Mwanafunzi aweze kutambua msamiati mpya alioisoma. |
Je, mnazikumbuka habari gani mlizisoma mtandaoni? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 165-167
Kapu maneno Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Kukabiliana na Ugaidi | Kuandika insha; Insha za masimulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kueleza sifa za insha ya masimulizi. b) Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali. c) Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali |
Insha ya masimulizi ina sifa gani? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 167-168
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | 1 | Kukabiliana na Ugaidi | Kuandika insha; Insha za masimulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma insha, ‘Safari ya kesho hupangwa leo’ b) Kujadili kuhusu uhusiano wa vidokezo na maudhui ya insha alioisoma. c) Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake. |
Mwanafunzi aweze kusoma insha, ‘Sarufi ya kesho hupangwa leo’
Mwanafunzi aweze kujadili kuhusu uhusiano wa vidokezo na maudhui ya insha alioisoma. |
Je, unazingatia mambo gani ili kuandika insha nzuri ya masimulizi? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 168-170
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
|
2 | Kukabiliana na Ugaidi | Kuandika insha; Insha za masimulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia. b) Kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho. c) Kuonea fahari umuhimu wa insha za masimulizi. |
Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho |
Insha ya masimulizi inahusu nini? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 170-171
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Kukabiliana na Ugaidi | Sarufi; Matumizi ya lugha: Hali ya
masharti -nge |
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze: | Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kutambua viambishi | Je, mnaeleza vipi iwapo hamkulifanya
jambo fulani |
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha
Mwanafunzi |
Kutunga sentensi Kujibu
maswali |
a) Kutambua viambishi vya hali ya masharti nge katika sentensi.
b) Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti – nge c) Kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –nge d) Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -nge |
vya hali ya masharti nge katika sentensi
Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti –nge
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –nge |
kutokana na Ukosefu wa kitu, jambo au mtu? | Gredi ya 6,
Uk. 171-173
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
|||||
4 | Kukabiliana na Ugaidi | Hali ya masharti – ngali | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua kiambishi cha hali ya masharti ngali katika sentensi. b) Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti – ngali c) Kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ngali d) Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -ngali |
Mwanafunzi aweze kutambua kiambishi cha hali ya masharti ngali katika sentensi
Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti –ngali wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ngali |
Je, mmegundua nini kuhusu kiambishi cha hali ya masharti ngali? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 173-175
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
5 | 1 | Kukabiliana na Ugaidi | Hali ya masharti -ki | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua kiambishi cha hali ya masharti – ki katika sentensi. b) Kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti – ki c) Kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ki d) Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -ki |
Mwanafunzi aweze kutambua kiambishi cha hali ya masharti -ki katika sentensi
Mwanafunzi aweze kubadilisha sentensi ili ziwe na kiambishi cha hali ya masharti –ki wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi zilizo na vitenzi katika hali ya masharti –ki |
Kiambishi cha hali ya masharti
–ki ina umuhimu gani? |
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 176-178
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
|
2 | Kukabiliana na Ugaidi | Hali ya masharti -ki | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama. b) Kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti. c) Kutathmini matumizi ya hali ya masharti. |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama
Mwanafunzi aweze kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti |
Ni masomo yapi mengine huzishughulikia hali ya masharti? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 178
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Ushuru | Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kujadiliana mambo yanayoendelea katika picha zilizopo katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kushirikiana kubuni na kusimuliza kwa zamu visa mbalimbali. c) Kufurahia kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana mambo yanayoendelea katika picha zilizopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi wakiwa wawili waweze kushirikiana kubuni na kusimuliza kwa zamu visa mbalimbali |
Je, ni masimulizi gani mmewhi kuyasikiliza yakisimuliwa? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 179-180
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Ushuru | Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
a) Kusikiliza masimulizi, ‘Ukombozi wa Nchi |
Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi, ‘Ukombozi wa Nchi ya
Pepe’ yakisimuliwa na mwalimu |
Je, masimulizi ya Ushuru yana umuhimu gani? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi | Kutunga sentensi Kujibu
maswali Kujaza pengo |
ya Pepe’ yakisimuliwa na mwalimu.
b) Kujadili namna mwalimu amezitumia ishara zifaazo ili kuimarisha usimulizi wake. c) Kufurahia kutoa masimulizi. |
Mwanafunzi aweze kujadili namna mwalimu amezitumia ishara zifaazo ili kuimarisha usimulizi wake. |
Je, ni mada gani mnazoweza kuzitolea masimulizi? | Gredi ya 6,
Uk. 180-181
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika tungo
Kazi mradi |
|||||
6 | 1 | Ushuru | Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze;
a) Kutoa masimulizi kuhusu masuala ya kiuchumi na rasilimali. b) Kujadili ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali. c) Kuchangamkia kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aweze kutoa masimulizi kuhusu masuala ya kiuchumi na rasilimali. wakiwa katika vikundi.
Wanafunzi waweze kujadili ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali |
Ni masomo yapi mengine huyafundisha masuala ya kiuchumi na rasilimali? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 181-182
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
|
2 | Ushuru | Kusoma kwa ufahamu; Kifungu | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu. b) Kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. c) Kuchangamkia kutumia msamiati wa Ushuru. |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu
Mwanafunzi aweze kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi |
Je, ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 182
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Ushuru | Kusoma kwa ufahamu; Kifungu | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma kifungu, ‘Nguzo ya Ufanisi’ b) Kutunga maswali kwa zamu kutokana na kifungu. c) Kujadiliana maana ya msamiati kutokana na kifungu. d) Kutaja faida za kulipa Ushuru e) Kutathmini faida za kulipa Ushuru. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu, ‘Nguzo ya Ufanisi’
Mwanafunzi aweze kutunga maswali kwa zamu kutokana na kifungu.
Wanafunzi wakiwa wawili waweze kujadiliana maana ya msamiati kutokana na kifungu
Mwanafunzi aweze kutaja faida za kulipa Ushuru |
Je, mnafanya nini ili kujua maana za msamiati uliotumiwa katika vifungu? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 183-185
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Ushuru | Kuandika barua; Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kueleza maana ya barua rasmi. b) Kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi. c) Kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo. d) Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya barua rasmi.
Mwanafunzi aweze kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Unazingatia nini unapoandika barua rasmi? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 185-186
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
7 | 1 | Ushuru | Kuandika barua; Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi |
Katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi
zilizochapishwa |
Barua rasmi ina umuhimu gani katika mawasiliano? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 186-188 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo |
zilizochapishwa kwenye vitabu au magazeti.
b) Kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. c) Kuonea fahari umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
kwenye vitabu au magazeti.
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kuandika tungo
Kazi mradi |
||||||
2 | Ushuru | Sarufi; Ukanushaji wa maneno: Kiambishi cha hali ya masharti nge | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. c) Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti nge. d) Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti nge |
Mwanafunzi aweze kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi Mwanafunzi aweze Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti nge |
Je, mnavitumia viambishi gani wakati wa kuvikanusha vitenzi? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 189-191
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Ushuru | Kiambishi cha hali ya masharti ngali | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. c) Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ngali. d) Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti ngali. |
Mwanafunzi aweze kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi Mwanafunzi aweze Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ngali. |
Je, umegundua nini kuhusu kiambishi cha hali ya masharti ngali? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 192-194
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Ushuru | Kiambishi cha hali ya masharti ki | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kusikiliza sentensi zenye viambishi vya masharti ki zikisomwa kupitia kifaa cha kidijitali. c) Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ki d) Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti ki. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kusikiliza sentensi zenye viambishi vya masharti ki zikisomwa kupitia kifaa cha kidijitali.
Mwanafunzi aweze kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti ki |
Je, ni viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi vipi? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 1194-197
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
8 | 1 | Ushuru | Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za ukubwa. b) Kutambua ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi. c) Kuonea fahari matumizi ya ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- |
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za ukubwa
Mwanafunzi aweze kutambua ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi. |
Je, mmegundua nini kuhusu viambishi vya nomino? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 197-199
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
2 | Ushuru | Udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za udogo. b) Kutambua udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi. c) Kuonea fahari matumizi ya udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- |
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi na kuzipigia mstari nomino za udogo
Mwanafunzi aweze kutambua udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- katika sentensi. |
Je, unajua nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ki- katika hali ya udogo? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 199-201
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
3 | Ushuru | Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kutaja nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- b) Kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. c) Kutambua viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa. d) Kuonea fahari matumizi ya ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- |
Mwanafunzi aweze kutaja nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- wakiwa katika vikundi.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa |
Je, unajua nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji-? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 202-204
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
4 | Ushuru | Udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
a) Kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. b) Kutambua viambishi vya nomino katika hali ya udogo. c) Kuandika sentensi zilizo na nomino za udogo ambazo huanza kwa kiambishi ji- katika hali ya wastani. d) Kuonea fahari matumizi ya udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- |
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kusoma sentensi zilizoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nomino katika hali ya udogo.
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi zilizo na nomino za udogo ambazo huanza kwa kiambishi ji- katika hali ya wastani. |
Je, unajua nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji- katika hali ya udogo? | Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6,
Uk. 204-206
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo
Kazi mradi |
||
9 | TATHMINI YA MWISHO WA MUHULA |