Tag: form 2 exams 2022
-
KISWAHILI FORM 2 OPENER EXAM PLUS MARKING SCHEMES
MUDA: SAA 2 JINA:____________________________________NAMBARI:________DARASA:_______ 1.INSHA (alama 20) Uhalifu umejaa kitongojini mwenu,andika hotuba ya chifu wa eneo lenu kwa wanakijiji. 2.UFAHAMU SOMA TAARIFA IFUATAYO KISHA UJIBU MASWALI YANAYOFUATA Wanasayansi wengi wameshidnwa kuelewa ni kwa nini watu huvuta sigara jambo hili kuwa moshi wa sigara huathiri wavutaji wa sigara na watu walio karibu nao…