Educationnewshub.co.ke

SILABASI YA KISWAHILI

 

* KIDATO CHA KWANZA

  1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
  2. Matamshi bora
    1. Kiimbo
    2. Shadda
    3. Irabu/vokali-/a/,/e/,/i/,/o/,/u/
    4. Konsonanti-/b/,/ch/,/d/,/dh/,/f/,/g/,/gh/,/h/,/j/,/k/
    ,/l/,/m/,/n/,/ng/,/ny/,/p/,/r/,/s/,/sh/,/t/,/th/,/v/,/w/,/y/,/z/
    5. Ala za sauti/kutamkia
    6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m
    ghuna,sighuna/hafifu,vipasuo,vikwamizo n.k
    7. Silabi
    8. Maneno
    9. Vitate k.m baba,papa
    10. Vitanza ndimi

    2. Maamkizi na mazungumuzo
  3. Maamkizi na mazungumuzo ya: (i)Nyumbani (ii)Dukani
    (iii)Mtaani (iv)Sokoni (v)Shuleni
    2. Mahojiano k.m mwalimu na mwanafunzi
    3. Mijadala k.m umoja na utangamano katika familia
    4. Hotuba

    3. Ufahamu wa kusikiliza
    1. Ufahammu wa taarifa za kusikiliza

    4. Kusikiliza na kudadisi
    1. Utangulizi wa fasihi:(i)Maana (ii)Aina
    2. Fasihi simulizi (i)Hadithi (ii)Semi (iii)Ushairi
    3. Maigizo:Yategemee shabaha na muktadha k.m
    jandoni,sherehe za arusi n.

  4. SARUFI ZA MATUMIZI YA LUGHA
  5. Lugha
    1. Maana ya dhima ya lugha
    2. Sauti (i)Irabu/vokali (ii)Konsonanti (iii)Mpangilio
    wa sauti katika silabi na maneno
    3. Vipasho vya lugha:sauti-silabi-neno-sentensi

    2. Aina za maneno
    1. Aina za maneno(i)Nomino-N (ii)Vitenzi-T
    (iii)Viwakilishi-W (iv)Vivumishi-V
    (v)Vielezi-E(vi)Viunganishi-U(vii)Vihusishi-U(viii)Vihusishi-I
    2. Kubainisha maneno katika tungo k.m Mtoto analia
    3. Ngeli za nomino
    1. A-WA,U-I,U-YA-YA-YA,LI-YA,KI-VI,I-ZI,I-I,U-ZI,U-U,KU,
    PA-KU-MU
    4. Viambishi
    1. Maana
    2. Aina-awali -Tamati
    5. Nyakati na hali
    1. Nyakati
    2. Hali
    3. Ukanushaji kutegemea
    6. Mnyambuliko wa vitenzi
    1. Viambishi vya mnyambuliko
    2. Kauli Za vitenzi (i)Kutenda
    (ii)Kutendewa(iii)Kutendeka(iv)Kutendana(v)Kutendea(vi)Kutendwa(
    vii)Kutendesha

    7. Sentensi ya kiswahili
    1. Maana ya sentensi
    2. Mpangilio na uhusiano wa maneno kimantiki katika
    sentennsi ya kiswahili
    3. Muundo wa sentensi
    4. Sentensi sahili -Upambanuzi wa sentensi sahili
    kuonysha muundo wake kwa njia ya mstari

    8. Uakifishaji
    1. Alama za kuakifisha: 1.Nukta/kitone/kikomo(.) 2.
    Mkato/kipumuo/kituo/koma(,) 3. Nukta mkato/semi koloni(;)
    4.Nukta pacha/nukta mbili/koloni 5.Kiulizi/kiulizo(?) 6. Alama
    hisi(!) 7.Alama mtajo/za kunukuu/za usemi(\”\”)
    8.Mkwaju/mshazari(/) 9.Kistari kifupi(-) 10. Kistari (_)
    11.Mstari 12.Ritifaa/kibainisha(\’)
    13.Mabano/vifungo/Parandesi(),[] 14..Herufi kubwa (H) na
    herufi ndogo(h) 15. Herufi nzito (Hh) 16.Herufi
    mlazo/italiki(Hh) 17.Nukta za dukuduku/mdikezo(…) 18.
    Kinyota(*)
    9. Ukubwa na udogo

    10. Umoja na udogo

    3. KUSOMA

  6. Kusoma kwa sauti
    1. Sauti mwambatano k.m/kw/mb/mw/ng/nj/nd/n.k
    2. Sentensi
    3. Vifungu vya maneno na aya
    2. Kusoma kwa ufahamu
    3. Kusoma kwa kina
    1. Riwaya
    2. Tamthilia
    3. Ushairi
    4. Kusoma kwa mapana
    5. Matunizi ya maktaba
    6. Matumizi ya kamusi

    4. KUANDIKA

  7. Uandishi wa kawaida
    1. Majibu ya ufahamu
    2. Muhtasari
    3. Imla
    4. Uchambuzi wa maandishi mbalimbali

    2. Utungaji wa kiuamilifu
    1. Maana na dhima ya utungaji
    2. Barua (i )Kirafiki (ii)Ramsi
    3. Ratiba kama vile ya sherehe ya kuzaliwa
    4. Tahadhari (i)Onyo (ii)Ilani
    5. Matangazo
    6. Maagizo/maelekezo
    7. Kujaza fomu,stakabadhi na orodha
    8. Taarifa
    9. Mahojiano na dayolojia

    3. Uandishi wa insha

  8. Maana na aina za insha (a)Picha (b)Mdokezo
    (c)Maelezo (d)Masimulizi
    4. Utungaji wa kisanii
    1. Mashairi mepesi
    2. Hdithi fupi
    3. Vitendawili,mafumbo na chemsha bongo

    * KIDATO CHA PILI

  9. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMUZA
  10. Matamshi bora
    1. Silabi tatanishi km
    pa/ba,sa/sha,la/ra,cha/sha,za/sa n.k
    2. Sauti tatanishi k.m b/mb,d/nd,g/ng,n.k
    3. Vitate k.m kua/kuwa
    4. Vitanza ndimi

    2. Maamkizi na mazungumzo
    3. Ufahamu wa kusikiliza
    4. Kusiliza na kudadisi

    2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

  11. Misingi ya maneno
    2. Aina za maneno na migawanyo yake

    1. Aina za maneno
    2. Vivumishi
    3. Vitenzi
    4. Viwakilishi
    5. Vielezi

    3. Vinyume
    4. Nyakati na hali
    5. Sentensi ya kiswahili
    6. Mnyambuliko wa vitenzi
    7. Uakifishaji
    8. Usemi halisi na usemi wa taarifa
    9. Uundaji wa maneno
    10. Ukubwa na udogo
    11. Ukanushaji
    12. Umoja na wingi

    3. KUSOMA

  12. Kusoma kwa sauti
    1. Sauti na maneno tatanishi k.m
    p/b,s/sh,l/r,ch/sh,s/z(papa /baba,tata/dada,susu/zuzu)
    2. Vitate k.m kua/kuwa,pua/bua,vua/fua
    3. Maneno tatanishi yenye sauti mwambatano k.m
    mbali/bali,kindani/kidani,buni/mbuni
    4. Sentensi zenye maana tatanishi

    2. Kusoma kwa ufahamu

    3. Kusoma kwa kina
    1. Riwaya
    2. Ushari
    3. Tamthilia
    4. Kusoma kwa mapana
    5. Kusoma maktabani
    6. Matumizi ya kamusi

    4. KUANDIKA

  13. Uandishi wa kawaida
    1. Majibu ya ufahamu ya maandishi
    2. Muhtasari
    3. Imla

    2. Utungaji wa kiuamilifu
    1. Barua (i)Rasmi (ii)Mialiko (iii)Risala (iv)Simu
    2. Hotuba
    3. Ratiba k.m siku ya wazazi shuleni
    4. Matangazo
    5. Tahadhari (i)Ilani (ii)Onyo
    6. Maagizo/maelekezo
    7. Shajara
    8. Resipe
    9. Orodha ya mambo
    10. Taarifa
    11. Mahojiano
    12. Dayolojia

    3. Uandishi wa insha
    1. Maelezo
    2. Mazungumzo
    3. Mdokezo
    4. Methali

    4. Utungaji wa kisanii

    1. Hadithi fupi
    2. Mashairi
    3. Michezo ya kuigiza

    * KIDATO CHA TATU

  14. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
    1. Maamkizi na mazungumzo
    1. Maamkizi ya heshima na mazungumzo katika mazingira
    2. Mahojiano kama vile baina ya watu wawili
    3. Mjadala kama vile umoja wa kitaifa
    4. Hotuba

    2. Ufahamu wa kusikiliza
    3. Kusikiliza na kudadisi

    1. Dhima ya fasihi kwa jumla
    2. Umuhimu wa fasihi simulizi
    3. Muainisho wa fasihi simulizi

    2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

  15. Umoja na wingi
    1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa
    mintaarafu ya: (a)Viulizi (b)Idadi (c)-A-unganifu (d)Virejeshi
    \’O\’ na \’amba-\'(e)Visisitizi (f)Pekee (i)-enye (ii)-enyewe
    (iii)-ote (iv)-o-ote (v)-ingine (vi)-ingineo
    2. Vielezi
    1. Vielezi vya: (a)Namna (b)Wakati (c)Idadi/kiasi
    (d)Mahali
    3. Viwakilishi
    4. Mwingiliano wa maneno
    5. Vitenzi
  16. Mzizi wa kitenzi
    2. Viambishi awali katika vitenzi
    3. Viambishi tamati katika vitenzi
    4. Vinyume vya vitenzi
    5. Hali ya kuamrisha
    6. Uundaji wa nomino
    7. Sentensi ya kiswahili
  17. Aina za (i)Virai (ii)Vishazi
    2. Muundo wa sentensi
    3. Aina za sentensi
    4. Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya: (i)jedwali
    (ii)mchoro wa matawi (iii)mstari

    8. Nyakati na hali

    1. Nyakati -LI-,-NA-,-TA-
    2. Hali ya,-KI-,-KA-,-A-,-PO-,-KU-
    3. Ukanushaji
    4. Uakifishaji
    5. Mnyambulik wa vitenzi

    3. KUSOMA

  18. Kusoma kwa sauti
    2. Kusoma kwa ufahamu
    3. Kusoma kwa kina
    4. Kusoma kwa mapana

    4. KUANDIKA

  19. Uandishi wa kawaida
    1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi
    2. Muhtasari
    3. Tahakiki za kazi za kisanii

    2. Utungaji wa kiuamilifu

    1. Barua
    2. Ratiba k.m sherehe za arusi
    3. Taharadhi (i)Ilani (ii)Onyo
    4. Matangazo
    5. Maagizo/maelekezo
    6. Tawasifu
    7. Wasifu
    8. Resipe
    9. Kumbukumbu
    10. Ripoti
    11. Mahojiano na dayolojia
    12. Kujaza fomu na hojaji
    13. Insha za kitaaluma k.m makala ya redio na runinga
    3. Uandishi wa insha
    4. Utungaji wakisanii
    1. Michezo ya kuigiza
    2. Mikusanyiko ya kazi za fasihi simulizi
    3. Mashairi

    * KIDATO CHA NNE

  20. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
  21. Maamkizi na mazungumzo
    2. Ufahamu wa kusikiliza
    3. Kusikiliza na kudadisi

    1. Sifa bainifu za fasihi simulizi na fasihi andishi
    2. Muanisho wa fasihi simulizi (i)semi (ii)Masimulizi
    ya hadithi (iii)Mazungumzo
    3. Maigizo kutegemea shabaha na miktadha
    4. Ngomezi
    5. Ushairi

    2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

  22. Ngeli za nomino
    1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa
    mintarafu ya: (i)Virejeshi \’O\’ na \’amba\’ (ii)Vivumishi
    2. Aina mbalimbali za maneno
    1. Viunganishi
    2. Nomino
    3. Vitenzi
    4. Viwakilishi
    5. Vivumishi
    6. Vielezi
    7. Vihusishi
    8. Vihisishi

    3. Mwingiliano wa aina mbalimbali za maneno k.m kivumishi
    kuwa nomino

    4. Muundo wa sentensi ya kiswahili
    5. Mnyamuliko wa vitenzi vya:
    1. Asili ya kigeni
    2. Silabi moja
    3. Asili ya kibantu

    6. Nyakati na hali
    1. Nyakati: LI,NA.TA
    2. Hali:ME,HU,NGE,NGELI,NGALI,PO,A,KA,KI,KU
    3. Hali ya kuamuru
    4. Ukanushaji kutegemea nafsi

    7. Uakifishaji
    8. Uundaji wa maneno
    1. Nomino kutokana na mzizi wa nomino
    2. Nomino kutokana na mzizi wa kitenzi
    3. Kitenzi kutokana na mzizi wa nomino
    4. Kivumishi kutokana na mzizi wa nomino
    5. Nomino kutokana na mzizi wa kivumishi
    6. Kivumishi kutokana na mzizi wa kitenzi
    7. Kitenzi kutokanan na mzizi wa kivumishi
    9. Matumizi ya maneno na viambishi maalum
    10. Umoja na wingi

    3. KUSOMA

  23. Kusoma kwa sauti
    2. Kusoma kwa ufahamu
    3. Kusoma kwa kina
    4. Kusoma kwa mapana

    4. KUANDIKA

  24. Uandishi wa kawaida
    1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi
    2. Muhtasari
    3. Tahakiki za kazi za kisanii

    2. Utungaji wa kiuamilifu
    3. Uandishi wa insha
    1. Masimulizi
    2. Mazungumzo
    3. Mawazo
    4. Maelezo

See also  Words used to describe Tone in Poetry; Best High School English Poetry Notes

Comments

One response to “Knec Kiswahili Syllabus Free”

  1. BryanJoino Avatar
    BryanJoino

    Our premium databases for XRumer and GSA Search Engine Ranker are just what you need!
    What do our databases include?
    • Active links: Get access to constantly updated lists of active links from profiles, posts, forums, guestbooks, blogs, and more. No more wasting time on dead links!
    • Verified and identified links: Our premium databases for GSA Search Engine Ranker include verified and identified links, categorized by search engines. This means you get the highest quality links that will help you rank higher.
    • Monthly updates: All of our databases are updated monthly to ensure you have the most fresh and effective links.

    Choose the right option for you:
    • XRumer premium database:
    o Premium database with free updates: $119
    o Premium database without updates: $38

    • Fresh XRumer Database:
    o Fresh database with free updates: $94
    o Fresh database without updates: $25

    • GSA Search Engine Ranker Verified Links:
    o GSA Search Engine Ranker activation key: $65 (includes database)
    o Fresh database with free updates: $119
    o Fresh database without updates: $38

    Don’t waste time on outdated or inactive links. Invest in our premium databases and start seeing results today!
    Order now!
    P.S. By purchasing GSA Search Engine Ranker from us, you get a high-quality product at a competitive price. Save your resources and start improving your SEO rankings today!
    To contact us, write to telegram https://t.me/DropDeadStudio promocode “DD50%”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *