AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA NNE
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI |
SOMO |
SHABAHA |
MBINU |
VIFAA |
ASILIA |
MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 5-6 | Fasihi
Hadithi fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
|
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi na fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuweza kubainisha sifa za fasihi simulizi na fasihi andishi pamoja na tofauti, aidha tanzu zake |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Jedwali Utendaji wa wanafunzi |
C. Kuhenga
Fasihi simulizi na tamathali za usemi KLB BK 4 UK 4-19 Chem BK 4 UK 4 |
|
2 | Isimu Jamii
Maana, lugha na mawasiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya isimu jamii, umuhimu wake, maana ya lugha, dhima na uhusiano kati ya mawasiliano na lugha |
Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I.I Odeon a M. Geoffrey Fani ya isimu jamii UK 1-8 |
||
3 | Sarufi
Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi |
Kuuliza Kusikiliza Kujibu maswali |
Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi |
Chem BK4 UK 102 KLB BK4 UK 26-27 Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28 |
||
4 | Kusoma
Matangazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa sauti matangazo kwa ufasaha na utaratibu tofauti Kuyatofautisha matangazo hayo |
Kutafuta matangazo mbalimbali Kubainisha sifa zake |
Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa |
Chem. UK 102 KLB BK4 UK 26 |
||
5 | Kuandika
Barua rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua sehemu muhimu za kuzingatia na kuzitilia maanani ili kuweza kutunga barua nzuri ipasavyo |
Maelezo, kujadiliana na kuandika barua |
Nakala za barua rasmi |
Chem. UK 32 KLB BK4 UK 8-15 Mwongozo wa uandishi wa insha |
||
6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi
|
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
4 | 1 | Kuandika insha ya methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha maana bayana na batini, visa katika kubuni insha inavyostahiki |
Utendaji wa wanafunzi |
Mifano ya insha za methali |
Chem. UK 66 KLB BK4 UK 28-29, 16-17 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuelewa taarifa, kudondoa mambo muhimu kwa kuzingatia matamshi bora na lugha |
Utendaji wa wanafunzi Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: kamusi sanifu KLB BK4 UK30-32 |
||
3 | Sarufi
Nomino/jina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi |
Kusikiliza Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 5 KLB BK4 UK 32-35 F.V. Nkwera |
||
4 | Kusoma kwa mapana
Magazeti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuwa staid katika usomaji Kuzingatia matamshi bora Kudondoa hoja za kitaifa na kimataifa na zinazohusiana na janga la ukimwi |
Majadiliano na usomaji wa magazeti |
Taifa Leo Majira Majarida Ya Kiswahili Katika maktaba |
Magazeti ya magktaba KLB BK4 UK 35-37 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
5 | 1 | Kuandika
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Uzingativu wa kanuni za muhtasari Kudondoa hoja muhimu bila kubadili maana na kuandika muhtasari |
Kusoma makala Kudondoa hoja muhimu na kuandika muhtasari |
Fungu la ufupisho |
KLB BK4 UK 37-38 Tuki Kamusi sanifu |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza:
Mtandao |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuweza kuwasiliana kwa mtandao na kutambua istilahi zinazohusiana na mtandao |
Majadiliano Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 137 KLB BK4 UK 39-41 Tuki Kamusi sanifu |
||
3 | Sarufi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi |
Kutambulisha vitenzi
Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 39 KLB BK4 UK 43-46
|
||
4 | Kuandika
Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambulisha aina mbalimbali za meme na kuandika ujumbe kwa kutumia meme |
Maswali Majadiliano Kujibu maswali |
Tarakilishi Rununu Nukilishi |
Chem. UK 78 KLB BK4 UK 46-50 |
||
5 | Isimu Jamii
Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuweza kuelewa hadhi ya lugha ya Kiswahili na chimbuko la lugha hii katika upwa wa pwani ya Afrika mashariki |
Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 9-21 |
||
6 | Fasihi
Hadithi fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
6 | 1 | Kusikiliza na kuongea
Methali na misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi sahihi, kuelewa maana, methali zilizo sawa na zenye maaana kinzani |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vinasa sauti Picha na michoro |
Kamusi ya methali Kamusi ya misemo |
|
2 | Kusoma kwa ufahamu
Haki za binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Matamshi sahihi, kuelewa maana, msamiati ili kuweza kujibu maswali ipasavyo |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 56-58 |
||
3 | Sarufi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 17 KLB BK4 UK 58-60 Oxford BK4 UK |
||
4 | Isimu Jamii
Dhana ya lahaja za Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa dhana ya lahaja za Kiswahili, zinakotumika na lafudhi zake ipasavyo |
Majadiliano
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 27-32 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
7 | 1 | Kuandika
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Utambuzi wa vipengele vya tahakiki na kuvitumia ipasavyo katika zoezi la kutahakiki taarifa |
Kusikiliza Kuuliza maswali Kujadiliana |
Tamthilia Riwaya Diwani ya ushairi na hadithi fupi |
KLB BK4 UK 75-78 Rejea zote |
|
2-3 | Fasihi
Hadithi fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
4 | Kusikiliza na kuongea
Mafumbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimarisha matamshi bora Kunoa akili Kumakinika katika ufumbuzi na utatuzi wa matatizo/mafumbo |
Kushiriki katika ufumbuzi Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 71 KLB BK4 UK 79-81 |
||
5 | Fasihi simulizi
Lakabu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi bora Kuwa watambuzi na wachunguzi ili kuweza kuunda na kutumia lakabu ipasavyo |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na bango lenye picha |
Chem. UK 60 KLB BK4 UK 79-81 |
||
6 | Kusoma
Viwanda |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo Kujibu maswali ipasavyo |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 84-88 |
||
8 | 1 | Sarufi
Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitambua na kuvitumia kwa usahihi katika mazungumzo na pia kwenye sentensi ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Jedwali Vifaa halisi Picha na bango lenye picha |
F.V Nkwera Sarufi na Fasihi Chem. UK 97 KLB BK4 UK 88-89 |
|
2 | Kusoma
Wavuti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora Kutambua maana ya wavuti na istilahi zake na kuzitumia ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 89-91 |
||
3 | Kuandika
Simu na Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kutunga mtungo |
Vifaa halisi Picha na bango lenye picha |
Chem. UK 193 KLB BK4 UK 91-93 Mwongozo wa insha |
||
4 | Isimu Jamii
Usanifishaji wa Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa sababu na jinsi Kiswahili kilivyosanifishwa baada ya kumaizi maana ya usanifishaji Kujadiliana |
Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 33-37 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
9 | 1 | Kusikiliza na kuongea
Bungeni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi bora Kustawisha mawasiliano na itifaki, aidha istilahi sahihi za bunge |
Kusoma kwa sauti © Education Plus Agencies Kujadiliana Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 61 KLB BK4 UK 94-97 |
|
2 | Kusoma
Kumbukumbu za mkutano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Nakala za kumbukumbu za mkutano |
Chem. UK 169 KLB BK4 UK 97-99 |
||
3 | Sarufi
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina mbalimbali za vielezi na kuvitumia katika sentensi na mawasiliano |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Chati ya vielezi Utendaji wa wanafunzi |
Chem. UK 75-76 KLB BK4 UK 100-101 Nkwera 24-26 |
||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
10 | 1-2 | LIKIZO FUPI | |||||
3 | Kusoma
Riwaya teule |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuelewa mambo yahusuyo riwaya, kujadili maudhui, kiini, wahusika na mbinu za kisanaa na za lugha |
Kusoma Kujadiliana |
Vitabu vya riwaya (hadithi) |
Chem. UK 55, 65 KLB BK4 UK 102 |
||
4 | Isimu Jamii
Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 38-51 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
11 | 1 | Sarufi
Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 |
|
2 | Sarufi
Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 |
||
3 | Isimi Jamii
Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58 |
||
4 | Isimi Jamii

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
12 | 1 | Kusoma
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha tofauti ya mashairi, arudhi na huru Kuyachambua bila utatanishi |
Kukariri shairi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Makala ya majarida ya kiswahili |
Chem. UK 113, 173 KLB BK4 UK 114 Tuki: Kamusi sanifu |
|
2 | Kuandika
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui |
Mifano ya mashairi huru |
Chem. UK 173 KLB BK4 UK 114 Mwongozo wa utunzi |
||
3 | Sarufi
Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina mbalimbali za vihisishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 213 KLB BK4 UK 110-111 Nkwera |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Mada ya mjadala Kuigiza mazungumzo na kuweza kuwasilisha hoja kwa ufasaha |
Kujadiliana na kuelekezwa |
Chati Mchoro na picha |
KLB BK4 UK 115-117 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
13 | 1 | Kusoma
Utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Ramani ya ulimwengu Michoro na picha |
Chem. UK 160 KLB BK4 UK 117-119 Tuki: Kamusi sanifu |
|
2 | Sarufi
Mwingiliano wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha |
Kuitunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Chati na michoro |
KLB BK4 UK 76-77 |
||
3 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi |
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali Kushiriki kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi |
||
4 | Ushairi
Bahari/aina za ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Mashairi |
E. Kezilahabi Kunga za Ushairi Malenga wa Ziwa kuu |
||
5-6 | Isimu Jamii
Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-55 |
||
14 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi bora (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha |
Kutamka
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi bora (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha ala za kutamkia, irabu zinakotamkwa hali kadhalika konsonanti Kutambulisha aina za konsonandi
|
Kutunga sentensi sahihi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 |
||
3 | Sarufi
Kuakifisha (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi |
Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138, 180,196 KLB BK1 UK 22-23 |
||
4 | Isimu Jamii
Sajili katika muktadha isiyo rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kuelewa Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali, sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
15 | MITIHANI |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA NNE 2017
MUHULA WA II
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI |
SOMO |
SHABAHA |
MBINU |
VIFAA |
ASILIA |
MAONI |
1 | 3-6 | KUFUNGUA | |||||
2 | 1 | Kusoma kwa Mapana | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha na kueleza nafasi ya Kiswahili katika utandawazi |
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Ramani ya dunia Makala yanayohusu utandawazi |
KLB BK 2
UK 121-123 Makala magazetini Tuki: Kamusi sanifu |
|
2 | Kuandika
Utungaji wa kuiamilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua sehemu muhimu za hotuba na kuweza kutunga insha kwa kuzizingatia |
Kuhotubia Kujadiliana Kufanya zoezi |
Nakala za hotuba Vinasa sauti |
KLB BK4 UK 123-124 Mwongozo wa mwalimu |
||
3 | Sarufi
Mwingiliano wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua istilahi ziundazo sentensi na kutambua nafasi zake katika sentensi pia kuzitumia kwa ufasaha |
Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Chati na michoro |
KLB BK4 UK 76-77 Chem BK4 UK 76-77 |
||
4 | Kusikiliza na kuzungummza
Miriga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi bora ya lugha, kutaja miriga, umuhimu wake na mafunzo katika jamii |
Kusikiliza Kuuliza maswali na kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I. Ikarabati KLB BK4 UK 80 |
||
5 | Isimu Jamii
Mazungumzo ya kawaida nay a biashara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa sifa, lugha na matumizi ya sajili ya mazungumzo ya kawaida nay a biashara |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK I. Ikarabati UK 77-82 |
||
6 | Fasihi simulizi
Utani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kwa kuzingatia matamshi bora kueleza ain za utani na kuweza kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo |
Kusimilia visa Kuigiza na kufanya zoezi |
Kinasa sauti |
KLB BK4
UK 158-160 Hellenistic Publishers Mwongozo wa fasihi simulizi |
||
3 | 1 | Isimu Jamii
Kusoma kwa mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya madukani nay a sokoni Kubainisha tofauti ya sajili hizo |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK I. Ikarabati UK 82-86
|
|
2 | Fasihi Simulizi
Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa, kueleza na kutaja mighani mbalimbali na mafunzo yake katika jamii |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 125 Chem BK4 UK 162 |
||
3 | Kusoma
Vinyago vya Bosi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno ipasavyo Kuelewa msamiati Kushiriki katika mjadala na kutumia msamiati huu kwa ufasaha |
Kusoma Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: kamusi sanifu Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 125-129 |
||
4 | Sarufi
Miundo ya sentensi za Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya sentensi, KN, KT na kuweza kuzingatia sehemu hizo za sentensi |
Maelezo Kuuliza na kujibu maswali |
Jedwali Michoro Makala mbalimbali |
F.V Nkwera KLB BK4 UK 131 Chem BK4 UK 188-189 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
4 | 1 | Isimu Jamii
Sajili ya nyumbani na hospitalini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya nyumbani na hospitalini Kubainisha tofauti za kipekee za sajili hizo |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92
|
|
2 | Fasihi Simulizi
Visakale |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa, kueleza na kutaja visakale mbalimbali na mafunzo yake, umuhimu wake katika jamii |
Masimulizi Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro Kanda za kunasia sauti |
KLB BK4 UK 125 Chem BK4 UK 164 I. Ikarabati UK
|
||
3 | Kusoma
Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kujadili na kutaja nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kitaifa na kimataifa |
Kusoma Kusikiliza Kujibu maswali |
Makala mbalimbali na vinasa sauti |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 131-134 |
||
4 | Kuandika
Insha ya masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika kwa unadhifu masimulizi kwa kuzingatia mantiki katika kufafanua vipengele vya insha |
Kusikiliza Kusimulia Kuchambua vipengele Kufanya zoezi |
Nakala za masimulizi mbalimbali |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 134 Chem BK4 UK 219
|
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
5 | 1 | Isimu Jamii
Maabadini na mahakamani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya maabadini na mahakamani Kubainisha tofauti za kipekee za sajili hizo |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 95-98
|
|
2 | Kusikiliza na Kuzungumza
Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzitambulisha na kujadili sehemu za hotuba kwa kuzingatia matamshi bora |
Majadiliano Maigizo Kufanya zoezi |
Itendaji wa wanafunzi darasani |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 135-136 Chem BK4 UK 90 |
||
3 | Kusoma
Uvumbuzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kukuza staid za kusoma kwa matamshi bora Kujadiliana msamiati na kutumia ipasavyo katika sentensi |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi katika vikundi |
Utendaji wa wanafunzi |
F. Nkwera KLB BK4 UK 136 Chem BK4 UK |
||
4 | Sarufi
Yambwa na chagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa maana ya istilahi hizo na kuzitumia ipasavyo kimazungumzo na katika sentensi |
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi katika vikundi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
F. Nkwera KLB BK4 UK 141-143 Chem BK4 UK 189 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
6 | 1 | Fasihi Simulizi
Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Tamthilia teule |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 143 Chem BK4 UK 100 |
|
2 | Isimu Jamii
Sajili ta darasani na muktadha wa kituo cha polisi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na lueleza sifa za sajili hizo Kubainisha sifa za kipekee katika kujibu maswali
|
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 100-102
|
||
3 | Kuandika
Matangazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika na kutoa matangazo kwa kuzingatia kaida zake Kuandaa matangazo mazuri |
Kutaja Kuandaa Kuandika |
Matangazo Mabango Vifaa halisi |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 143 |
||
4 | Kusikiliza na Kuzungumza
Ulumbi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimarisha msamiati bora na kukuza ukakamavu wa kuzungumza hadharani |
Kutoa mifano ya ulumbi |
Utendaji wa wanafunzi |
Mwongozo wa fasihi simulizi
KLB BK4 UK 146-150 Chem BK4 UK 197 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
7 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
Soga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimarisha matamshi bora kwa kuzingatia matamshi mwafaka na kuweza kumakinika kikakamavu |
Kutoa mifano ya soga |
Utendaji wa wanafunzi |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 146-150 Chem BK4 UK 82 |
|
2 | Kuandika
Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja matukio Kujadili na kuweza kuandika ratiba kwa kuzingatia kanuni zake mwafaka |
Kujadili Kuuliza na kujibu maswali Kuandaa ratiba |
Nakala za ratiba mbalimabli |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 143-145 Chem BK4 UK 216 |
||
3 | Kusoma
Ufisadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimarisha matamshi bora Kujadili msamiati Kutunga sentensi na kutanmbua athari za ufisadi katika jamii |
Kutaja visa Kuuliza na kujibu maswali Kujadiliana |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 150-153 Mwongozo wa mwalimu |
||
4 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
5-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
8 | 3 | Sarufi
Virai |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua kirai na aina za virai Kutunga sentenzi sahihi kwa kuvitumia kwa ufasaha bila tatizo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi
|
Jedwali Picha na vifaa halisi |
F. Nkwera KLB BK4 UK 153-154 Chem BK4 UK 176 |
|
4 | Kuandika
Insha ya mawazo na maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua sifa zake na kuweza kuandika insha hiyo kikamilifu |
Kutaja kanuni zihusikanazo na insha hizo |
Nakala za insha za mawazo |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 157 Chem BK4 UK 181, 135 |
||
5-6 | Fasihi Simulizi
Malumbano ya utani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kwa kuzingatia matamshi kueleza aina za utani na kuutumia ipasavyo katika mazungumzo |
Kusimulia visa Kuigiza na kufanya zoezi |
Kinasa sauti |
Mwongozo wa fasihi simulizi KLB BK4 UK 158-160 |
||
9 | 1 | Kusoma
Haki za watoto |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa sauti na kwa ufasaha Kuutumia msamiati Kujibu maswali kawa ufasaha |
Kujadiliana Kusoma na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 161-162 Mwongozo wa mwalimu |
|
2 | Sarufi
Vishazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa maana na kuvitumia ipasavyo katika sentensi na kufanya zoezi |
Kutoa mifano Kusikiliza Kuuliza maswali Kufanya zoezi |
Michoro ya mtawi kwenye chati |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 163-164 Chem BK4 UK 177 |
||
3 | Fasihi Simulizi
Mashairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha mashairi ya arudhi na huru, kuyaghani kwa mahadhi mbalimbali na kueleza maudhui yaliyomo |
Kughani mashairi Utendaji wa wanafunzi Kujadiliana Kujibu maswali |
Shairi la arudhi na huru |
Hellenistic E.P Mwongozo wa fasihi simulizi Sikate tamaa |
||
4 | Kuandika
Maelezo na maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua sifa zake na kuweza kuandaa na kutunga maelekezo mazuri yasiyopotosha |
Kubainisha kanuni za maelezo Kutunga insha nzuri ufaayo |
Mifano ya insha |
Kiswahili Fasaha BK4 UK 166 Chem BK4 UK 101 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
10 | 1 | Isimu Jamii
Sajili ya viwandani nay a bungeni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kueleza sifa za sajili hizo Kubainisha sifa za pekee katika kujibu maswali
|
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 104-105
|
|
2 | Fasihi Simulizi
Mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa maana ya mawaidha, umuhimu wake na kuweza kutoa mawaidha kwa hadhira bila utatanishi |
Kuigiza Maelezo Kuuliza na kujibu maswali |
Waalikwa kutoa mawaidha |
Mwongozo wa fasihi simulizi
KLB BK4 UK 168-169 Chem BK4 UK 209 |
||
3 | Bahari za Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa maana na miundo mbalimbali ya ushairi Kuchambua muundo na mtindo, sanaa na uhuru wa ushairi |
Kughani Kuuliza na kujibu maswali |
Kunga za ushairi |
A Mohamed Kunga za Ushairi Sikate Tamaa |
||
4 | Kusoma kwa ufahamu
Sokoni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika Kujibu maswali |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 169-171 Mwongozo wa mwalimu |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
11 | 1 | Sarufi
Uchanganuzi wa sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchanganua sentensi kwa kuzingatia aina za maneno, kishazi, kirai, kundu nomino na kundi tenzi Kufanya zoezi |
Kupambanua sentensi kwa: – Mistari – Michoro/jedwali – Matawi |
Utendaji wa wanafunzi Michoro na majedwali |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 171-174 Chem BK4 UK 198 |

3 | Kusoma kwa mapana
Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua jinsi lugha ilivyo na mawasiliano ya kisayansi na kiteknolojia Kutumia msamiati wake ipasavyo |
Kusoma Kujadiliana Kutoa mapendekezo Kuhakiki hoja |
Majarida Magazeti Utendaji wa wanafunzi |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 174-175 Mwongozo wa mwalimu |
||
4 | Kuandika
Tahadhari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana na umuhimu wa tahadhari/onyo/ilani kwa kuzingatia kanuni zake Kuandika tahadhari ipasavyo |
Kujadilaiana Kutaja aina Kufanya zoezi |
Picha, michoro, mabango, magazeti, vifaa halisi |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 175-176 Chem BK4 UK 103 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
12 | 1 | Isimu Jamii
Sajili ya lugha ya kiutawala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kueleza sifa za sajili ya kiutawala Kubainisha sifa zake za pekee Kujibu maswali |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 107
|
|
2 | Sarufi
Kipozi na kitondo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha maana ya istilahi hizo na kuweza kuzionyesha na kuzitumia ipasavyo |
Kueleza
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I. Ikarabati
UK 99-100 KLB BK4 UK 168-170 Chem BK4 UK |
||
3 | Kusoma
Usanifishaji wa Kiswahili (Kenya) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kuelewa na kuzieleza hatua zilizopitiwa hadi lugha ya Kiswahili kusanifishwa nchini Kenya |
Kujadiliana
Kusikiliza Kuuliza maswali Kufanya utafiti Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
K.W. Wamitila Chem BK4 UK 293 |
||
4 | Fasihi
Lakabu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa maana na matumizi ya lakabu Kubainisha umuhimu wake katika jamii |
Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Ngure: Fasihi Simulizi KLB BK4 UK 80 Chem BK4 UK 169 |
||
5-6 | Kuandika
Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika kwa unadhifu kumbukumbu kwa kuzingatia kanuni zake ipasavyo kama namna ya kudurusu |
Kusikiliza Kuuliza maswali Kufanya zoezi |
Mifano ya nakala za kumbukumbu |
Mwongozo: Kamusi sanifu Chem BK4 UK 169 |
||
13 | 1 | Sarufi
Uchanganusi wa sentensi (Kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchanganua sentensi kwa kutambulisha KN + KT na vipashio vyake kwa matawi, mistari na jedwali ipasavyo |
Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I. Ikarabati UK 98-107 KLB BK4 UK 171 Chem BK4 UK 196 |
|
2 | Sarufi
Uchanganusi wa sentensi (Kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchanganua sentensi kwa kutambulisha KN + KT na vipashio vyake kwa matawi, mistari na jedwali ipasavyo |
Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I. Ikarabati UK 98-107 KLB BK4 UK 171 Chem BK4 UK 196 |
||
3 | Fasihi Simulizi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudurusu ulumbi, soga, malumbano ya utani, mawaidha, maigizo, ngomezi, nyimbo, mighani, majigambo, tondozi na pembezi |
Kujadiliana maana, siaf na umuhimu Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
KLB BK4 UK 96,102, 108,116,130,137,144 Jarida la fasihi simulizi |
||
4-6 | MITIHANI |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA NNE 2017
MUHULA WA III
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI |
SOMO |
SHABAHA |
MBINU |
VIFAA |
ASILIA |
MAONI |
1 | 3-6 | KUFUNGUA NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | Kusoma
Haki za binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimarisha staid za matamshi bora, kujadili msamiati, kutunga sentensi na kutambua haki za binadamu |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu Chem BK4 UK 185 Mwongozo wa mwalimu |
|
2 | Fasihi Simulizi
Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kwa kuzingatia matamshi bora, kughani na kubainisha umuhimu wa mighani |
Majadiliano Kughani |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mwongozo wa fasihi sanifu
Chem BK4 UK 150 I. Ikarabati UK 164-167 |
||
3 | Sarufi
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha alama za kuakifisha na kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo au dayalojia |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
KLB BK4 UK 203 Chem BK4 UK 156 |
||
4 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudurusu maswali ya fasihi simulizi, riwaya, tamthilia na ushairi |
Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano |
Nakala za maswali |
Nakala za vitabu teule vya fasihi |
||
5 | Kuandika
Meme na barua meme |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha nukulishi au kipepesi/faksi, mdahalishi na barua za rununu Kubainisha faida za huduma hizo |
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I. Ikarabati UK 4 KLB BK4 UK 50 Chem BK4 UK 214 |
||
6 | Isimu Jamii
Sajili ya kitaaluma |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika sajili ya kitaaluma na kuweza luutumia ipasavyo katika mawasiliano |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 111 Tuki: kamusi sanifu |
||
3 | 1 | Fasihi simulizi Maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kwa kuzingatia matamshi bora, kuigiza vipera vya maigizo ipasavyo na kuweza kubainisha umuhimu wake |
Kujadiliana Kuigiza |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mwongozo wa fasihi sanifu
Chem BK4 UK 175 I. Ikarabati UK 164-167 |
|
2 | Sarufi
Mzizi wa kitenzi na viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudurusu tena – mzizi wa kitenzi na viambishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi |
Kusikiliza Kuuliza maswali Majadiliano |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem BK4 UK 204-206 I. Ikarabati UK 8 KLB BK4 UK 43 |
||
3 | Kusikiliza na Kuongea
Maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika maigizo na kushiriki ipasavyo kuigiza |
Kusikiliza Kuigiza Kujadiliana |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem BK4 I. Ikarabati UK KLB BK4 UK 177-179 |
||
4 | Kusoma
Katiba ya wanyama |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutungia sentensi ipasavyo |
Kusoma taarifa Kujadiliana Kutunga sentensi |
Picha za wanyama Viungo vya miili yao |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 180-183 |
||
5 | Fasihi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mbinu za lugha na wahusika bila utatanishi |
Kusoma Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Mazingira ya shule Maleba Vifaa vya bandia |
Malenga wa ziwa kuu Kunga za ushairi Sikate Tamaa |
||
6 | Kuandika
Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana, kujadili aina na mambo muhimu yazingatiwayo na kuweza kuandika mtungo mzuri |
Kusikiliza Kujadiliana Kuandika wasifu |
Nakala za wasifu |
Chem BK4 UK 122 I. Ikarabati UK KLB BK4 UK 187 |
||
4 | 1 | Sarufi
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua vitenzi vya asili ya kigeni Kuvinyambua katika hali mbalimbali na katika sentensi |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem BK4 UK 39 I. Ikarabati UK 8 KLB BK4 UK 183-185 |
|
2 | Isimu Jamii
Daktari na mgonjwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika muktadha wa mahojiano kati ya daktari na mgonjwa na kueleza |
Kujadiliana Kuigiza Kuuliza na kujibu maswali |
Maleba Mahambo Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 112 |
||
3 | Fasihi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mtindo, muundo na bahari za ushairi ipasavyo |
Kusoma Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Ushairi Vifaa halisi Picha na michoro |
Malenga wa ziwa kuu Kunga za ushairi Sikate Tamaa |
||
4 | Kusikiliza na Kuzungumza
Ulevi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora Kutambulisha madhara ya ulevi na kupendekeza njia za kukabiliana na uraibu huo |
Maelezo Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 188-190 |
||
5 | Kusoma
Uandishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kujadili na kutoa maana ya msamiati Kueleza hatua za shughuli za uandishi na kuweza kuandika ipasavyo |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano |
Picha na matbaa Picha za uandishi wa Kiswahili |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 190-194 Chem BK4 UK 110 |
||
6 | Fasihi Simulizi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Maana, dhima, umuhimu, tofauti na vipera vya fasihi simulizi viweze kueleweka ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Mifano ya kazi za fasihi |
H.E Facilitators Mwongozo wa fasihi simulizi Chem BK4 UK 127 |
||
5 | 1 | Sarufi
Nyakati na hali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua viambishi viwakilishi na hali Kuvitumia katika sentensi katika hali yakinishi na hali kanushi |
Maelezo Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro |
KLB BK4 UK 194-197 |
|
2 | Kuandika
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kukuza staid za kuandika kisanii |
Maelezo Kusoma na kuandika |
Makala ya mashairi ya arudhi |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 197 Chem BK4 UK 47 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza
Ngomezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua na kueleza maana na aina za ngomezi Kufafanua matumizi ya ngomezi katika jamii |
Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mwongozo wa fasihi simulizi KLB BK4 UK 199 Chem BK4 UK 221 |
||
4 | Isimu Jamii
Makosa katika matumizi ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa dhana ya makosa ya lugha, nyanzo vyake na aina za makosa katika lugha na kuyakosoa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 116-120 |
||
5 | Kusoma
Makala kutoka kwa wavuti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma makala yaliyoteuliwa kutoka kwenye wavuti kwa ufasaha na kuweza kujibu maswali |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Makala Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 204-206 Chem BK4 UK 160
|
||
6 | Fasihi Simulizi
Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana na aina mbalimbali za mazungumzo na kubainisha umuhimu wake katika jamii |
Kujadiliana Kufanya zoezi |
Aina mbalimbali za mazungumzo |
Mwongozo wa fasihi simulizi Ngure Fasihi simulizi |
||
6 | 1 | Kuandika
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika Kujibu maswali ya ufupisho bila utatanishi |
Kusoma taarifa Kujibu maswali ya ufupisho |
Makala ya ufupisho |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 199-201 |
|
2 | Sarufi
Sentensi Uundaji wa maneno, uunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudurusu – aina za sentensi, uchanganuzi na uundaji wa maneno yenye shina moja na kuyatungia sentensi sahihi |
Kisikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem BK4 UK 225 I. Ikarabati KLB BK4 UK 211-213 |
||
3 | Fasihi Simulizi
Viungo muhimu vya riwaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitambua, kuchambua riwaya teule na kukuza staid ya kusoma kwa kina – dhamira, maudhui, wahusika, mandhari na muundo |
Kujadiliana Maigizo Kuimba Kuuliza na kujibu maswali |
Riwaya teule |
Chem BK4 UK 42,55, 65, 31,22,8 I. Ikarabati KLB BK4 UK 213-215 |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza
Maghani na majigambo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha, kutambua aina zake na kughaniana kisha kutofautisha na maghani |
Kueleza Kughani Kuuliza na kujibu maswali |
Utendaji wa wanafunzi |
Mwongozo wa fasihi simulizi
NgureFasihi simulizi KLB BK4 UK 216-218 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza
Tondozi na pembezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina za tondozi na pembezi, kuweza kuzitofautisha na kufanya zoezi |
Utambuzi wa aina za tondozi na pembezi Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mwongozo wa fasihi simulizi
NgureFasihi simulizi KLB BK4 UK 216-218 |
||
6 | Kusoma
Fasihi na mazingira ya sasa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja na kutambua vipera vyake na kuvitumia kama ipasavyo kutambua umuhimu wake |
Kueleza Kuuliza na kujibu maswali |
Vitu halisi na utendaji wa wanafunzi |
Ngure: Fasihi simulizi I. Ikarabati UK 229-230 |
||
7 | 1-6 | MAANDALIZI KWA MTIHANI WA KITAIFA | |||||
8 | MTIHANI WA KITAIFA |