MIPANGILIO YA VIPINDI/MASOMO MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA PILI
JINA LA MWALIMU: …
NAMBARI LA TSC:
SHULE : MWAKA:
KIDATO CHA PILI SOMO LA KISWAHILI
MADA KUU: KUSOMA(UFAHAMU) MADA NDOGO :Ndugu majuu na wakazi wa kibabuu
WIKI: 2 NAMBARI LA SOMO:1
TAREHE : ..WAKATI: DAKIKA 40
SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
- kusoma kwa matamshi
- kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha
- kujibu maswali kwa usahihi.
HATUA NA MUDA |
YALIYOMO |
SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI |
NYENZO |
UTANGULIZI (DAK.5) |
Maamkizi
Kupitia somo lililopita |
Mwalimu na wanafunzi kuamkiana
Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopita |
Wanafunzi wenyewe
Matini ya mwalimu |
MWENDELEZO
(DAK.30) |
Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma ufahamu, kutambua misamiati,misemo,methali na nahau na kuyapa maana kamili kulingana na ufahamu kisha wanafunzi kuyatumia katika utunzi wa sentensi ili kubainisha maana zao kikamilifu
|
Kusoma ufahamu kwa kina na mantiki
Maswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu ufahamu Majadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi Utunzi wa sentensi |
Chemi chemi za Kiswahili 2
(uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe |
HITIMISHO
(DAK.5) |
Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo
Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somo |
Maelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo
Wanafunzi kufanya zoezi |
Chemi chemi za Kiswahili 2
(uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe |
JINA LA MWALIMU: ..
.NAMBARI LA TSC:
SHULE : MWAKA:
KIDATO CHA PILI SOMO LA KISWAHILI
MADA KUU: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA MADA NDOGO : Isimu jamii;
Majadiliano baina ya mwanafunzi na mwalimu
WIKI: 2 NAMBARI LA SOMO:2
TAREHE : .WAKATI: DAKIKA 40
SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
- kuelezea sifa za mazungumzo shuleni
- kuweza kuigiza mazungumzo baina ya mwalimu na mwanafunzi
HATUA NA MUDA |
YALIYOMO |
SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI |
NYENZO |
UTANGULIZI (DAK.5) |
Maamkizi
Kupitia somo lililopita |
Mwalimu na wanafunzi kuamkiana
Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopita |
Wanafunzi wenyewe
Matini ya mwalimu |
MWENDELEZO
(DAK.30) |
Isimu jamii;
Majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi; Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya isimu jamii na sifa za majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi Mwalimu kuwaelekeza wanafunzi kusoma majadiliano baina ya mwalimu na mwanafunzi na wanafunzi kuweza kuigiza darasani. |
Majadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi kuhusu sajili ya darasani
Maelezo kutoka kwa mwalimu Majibu na maswali baina ya mwalimu na wanafunzi Kusoma mazungumzo baina mwalimu na mwanafunzi Uigizaji wa mazungumzo hayo |
Chemi chemi za Kiswahili 2
(uk 4-5) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe |
HITIMISHO
(DAK.5) |
Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo
Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somo |
Maelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo
Wanafunzi kufanya zoezi |
Chemi chemi za Kiswahili 2
(uk 4-5) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe |
JINA LA MWALIMU: ..
.NAMBARI LA TSC:
SHULE : MWAKA:
KIDATO CHA PILI SOMO LA KISWAHILI
MADA KUU: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA MADA NDOGO : Mofimu
WIKI: 2 NAMBARI LA SOMO:3
TAREHE : ..WAKATI: DAKIKA 40
SHABAHA : Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
- kueleza maana ya mofimu na aina zake
- kuweza kutambua mofimu katika maneno
- kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu
HATUA NA MUDA |
YALIYOMO |
SHUGHILI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI |
NYENZO |
UTANGULIZI (DAK.5) |
Maamkizi
Kupitia somo lililopita |
Mwalimu na wanafunzi kuamkiana
Maelezo mafupi,maswali na majibu kuhusu somo lililopita |
Wanafunzi wenyewe
Matini ya mwalimu |
MWENDELEZO
(DAK.30) |
Mofimu;
Mwalimu kutoa maelezo ya maana ya mofimu, aina za mofimu, kuonyesha mofimu katika maneno na kutaja maana mbalimbali zinazowakilishwa na mofimu Wanafunzi kusikiliza kwa makini na kuandika maelezo ya mwalimu |
Majadiliano baina ya mwalimu na wanafunzi
Maelezo kuhusu somo kutoka kwa mwalimu Mazungumzo baina ya mwalimu na wanafunzi Maswali na majibu baina ya mwalimu na wanafunzi Wanafunzi kuandika maelezo ya mwalimu
|
Chemi chemi za Kiswahili 2
(uk 6-8) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe |
HITIMISHO
(DAK.5) |
Mwalimu kutoa maelezo mafupi kuhusu somo
Zoezi kwa wanafunzi kuhusu somo |
Maelezo mafupi, maswali na majibu kuhusu somo
Wanafunzi kufanya zoezi |
Chemi chemi za Kiswahili 2
(uk 6-8) Matini ya mwalimu Wanafunzi wenyewe |