Educationnewshub.co.ke

Form 3 Kiswahili Exams and Marking Schemes Free

KISWAHILI

FASIHI (102/3)

KIDATO CHA TATU

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU  

 

Jina ………………………………………………………Jina la shule ………………………..

Sahihi …………………………….Kidato…………Tarehe ………………………………

            Maagizo

(a)           Andika jinalakonanambariyakoyamtihanikatikanafasiulizoachiwahapojuu.

(b)           Tia sahihiyakokishauandiketareheyamtihanikatikanafasiulizoachiwahapojuu.

(c)           Jibu maswali Matatu pekee.

(d)           Swali la kwanza ni la lazima.

(e)           Maswali hayo mengine yachaguliwe kutoka sehemu nne zilizobaki: yaani; Tamthilia, Ushairi na Hadithi Fupi.

(f)            Majibu yote lazima yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.

(g)           Majibu yote sharti yaandikwe kwenye nafasi ulizoachiwa katika kijitabu hiki cha maswali.

(h)          Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

Kwa matumiziyamtahinipekee

SWALI 1 2 3 4 5 6 JUMLA
ALAMA              
UPEO 20 20 20 20 20 20 80

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

SEHEMU YA A: FASIHI SIMULIZI

  1. Soma kifungukifuatachokishaujibumaswali

Mfalme ana watotowawiliwakiumenaanatakammojawaoamrithi. Kwa sababuhatakikupendeleayeyote, anawapachangamotoyakukimbiahadimjiwambalikwafarasiwao. Yule ambayefarasi wake atafikamwishondiyeatakayemrithi. Nduguhawawanazembeajangwanikwa siku kadhakwasababukilammojaanatakakufikawamwisho. Hatimayewanakutanana mzee mwenyebusaraambayeanawapawosia. Wanapandafarasiupesinakutokambioiliwafikekwenyemjiwambaliwalioagizwana baba yao. Je, Mzee mwenyebusaraaliwaambianini?

  1. i) Tambuakijipera                                                                           (alama 1)
  2. Taja sifa za kijiperahiki                                                       (alama 4)
  • Wewe nimmojawanaowasilishiwakiperahiki. Taja mambo Matano utakayoyafanyaufanikisheuwasilishajihuu. (alama 5)
  1. Soma utungoufuataokishahujibumaswaliyanayofuata             Mtotonikitomzigomzito
  2. Tambuakijitanzu (alama 1)
  3. Eleza manufaayakukirithishakijitanzuhikikwavizazivijavyo (alama 4)
  • (alama 5)

SEHEMU B :Tamthilia  – BEMBEA YA MAISHA – Timothy Arege

Jibuswali la 2 au 3.

  1. Maisha yasasahayana fundi. Yanamwendeshakilamtukamatawilililosukumwahadilikang’okakutokataaganinakupeperushwanaupepo….Ulimwenguwasasahaubagui. Wadogokwawakubwa…..
  2. Eleza mkutadha wa nukuu  (alama 4)
  3. Changanua vipengele vitano vya kimtindo katika nukuu (alama 5)
  4. Fafanua mbinu nne za kutambua hulka za mneneji  (alama  4)
  5. ‘Maisha yasasahayana fundi.’ Fafanuambinuishiwanazotumiawahusikatamthilianikukabiliananahalizao. (alama 7)

 

  1. (a) Changanua mtindo katika kifungu kifuatacho. (alama 4)

Naam, bembea! Hata bembea ikiwa ya kamba au chuma hatimaye hulika. Wanasema papo kwa papo kamba hukata jiwe. Bembea inapolika na kukatika haiwi mwisho wa mchezo. Huungwa na mchezo kuanza tena.

(b) Eleza toni katika dondoo hili.                                                                                  (alama 2)

(c)Jadili umuhimu wa mandhari katika tamthilia hii                                     (alama 6)

(d) (i) Fafanua kinaya katika kauli iliyopigiwa mstari                                              (alama 1)

(ii) Dhihirisha kinaya katika kauli iliyopigiwa mstari  kwa kurejelea tamthilia (alama 7)

 

SEHEMU YA C: USHAIRI

Jibu swali la 4 au 5.

  1. Soma shairi hili kisha ujibu maswali yafuatayo;

Wangu niliyekupenda, leo nitakufukuza

Kuishi  umenishinda, waniletea mayaza

Ola vile nimekonda, jasadi nimepooza

Uwache kuniumiza,ni heri mwana kunenda

 

Ulikuwa wangu nyonda, huba nikaikoleza

Kukupendakamatunda, embelenyeuliwaza

Ukajigeuzapunda, teke umenicharaza

Uwachekuniumiza, ni herimwanakunenda

 

Nimekondakamangonda, mwandaniwanilemaza

Sautiyoyakinanda, sitakikusikiliza

Sikutaki bora kwenda, muhibuwanishangaza

Uwachekuniumiza, ni herimwanakunenda

 

 

Mengiulionitenda, si madogoyakupuza

Nalikupakilagwanda, uvae na kupendeza

Ulikula na kuwanda, kadiriulivyoweza

Uwachekuniumiza, ni herimwanakunenda.

 

Kinyumeulipokwenda, nilidhanikuteleza

Na wewehukujilinda, nyendombayakupunguza

Chakuvundakishavunda, hataukikifukiza

Uwache kuniumiza, ni heri mwana kunenda

 

Mja wewe wanishinda, kwa tama wachukiza

Kila kitu unadanda, kingawa cha kuumiza

Huwi ndani ya kibanda, huishi kujitembeza

Uwache kuniumiza, ni heri mwana kunenda

 

 

  1. Tambuanauthibitishenafsinenikatikashairi                                   (alama 2)
  2. Fafanuaumuhimuwakipokeo cha shairihili                                               (alama 1)
  3. Eleza sifa za kiarudhi katika ubeti wa tatu (alama 4)
  4. Taja methali inayodokezwa katika ubeti wa tano wa shairi hili (alama 1)
  5. Eleza maudhuiyaubetiwasita                       (alama 2)
  6. Ni jambolipizuriambalomshairiatalikosa? (alama 1)
  7. Andika ubeti wa pili wa shairi hili katika lugha nathari                       (alama 4)
  8. Fafanua mbinu alizotumia mshairi kutimiza mahitaji ya kiarudhi (alama 2)
  9. Tambua aina tatu za urudiaji katika shairi (alama 3)
  10. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.

Pana haja ya kupima, neno tuzowele -angu

Tusizowee kusema, hili ni teuo langu

Huenda huji mapema, -angu huja kuwa tungu

Ikaja kukusakama, na kukuposha kwa Mungu

Pana haja ya kupima.

 

Neno huwa ni la kwako, likiwa ndani moyoni

Lakini katu si lako, likishavuka menoni

Kwa hivyo likutokako, liweke kwenye mizani

Linaweza kuwa cheko, ama tusi kwa wendani

Pana haja ya kupima.

 

 

Vivyo hivyo kwa lebasi, huwa yako kisutuni

Hivyo nina wasiwasi, wambe yako sebuleni

Itavutiya matusi, ya wenzio insani

Wakakuchoma nafusi, kwa mishale ya lisani

Pana haja ya kupima.

 

Mwana ujuwe ni wako, punje ukiimezele

Lakini katu si wako, nde ukimletele

Akiwa yu ndani yako, ni wa duniya vivile

Ukishishila ni wako, muavye tukakuole

Pana haja ya kupima.

 

Maisha nayo si yako, utabaradi milele

Ungayaishi ja yako, ni tunu ya maumbile

Mgawa si kufu yako, mshindane hili lile

Akupapo akupako, utaishi pale pale

Pana haja ya kupima.

 

Ni chetu, chako si chako, ulimwengu huwa vile

Juhudi zingawa zako, wa kufaidi ni wale

Ikifika siku yako, nyono zikukae mbele

Ulichosema ni chako, huwabakiya wawale

Pana haja ya kupima.

See also  Latest History Form one to four notes, exams, schemes of work lesson plans, revision materials free

 

Kaseme na moyo wako, ubaini haya yale

Ukuambacho ni chako, kisikupe mageule

Kitu utajacho chako, huenda kiwe cha wale

Na usemacho si chako, kiwe chako ndicho kile

Pana haja ya kupima.

(Maanga ya Ushairi na Diwani ya Mjileo – Henry Indindi)

 

Maswali

  • Pendekeza anwani inayoafiki shairi hili. (al 1)
  • Eleza dhamira ya shairi. (al 2)
  • Fafanua maudhui yoyote matatu yanayojitokeza katika shairi. (al 3)
  • Ainisha mkondo wa shairi hili.      (al4)
  • Tambua nafsi nenewa katika shairi. (al 1)
  • Toa toni ya shairi. (al 1)
  • Andika ubeti wa nne kwa lugha ya kiriwaya.    (al 4)
  • Dhihirisha mtunzi huyu alivyofanikiwa kutumia uhuru wake.    (al 2)
  • Toa maana za maneno haya yalivyotumiwa katika shairi.                (al 2)
  • lebasi
  • punje ukiimezele

 

 

SEHEMU D : HadithiFupi – MapambazukoyaMachweo

 

  1. (a) Mzimuwakipwerere-Yussuf Shoka

“Siku iliyofuata, majira ya magharibi pevu, nilifika pale mzimuni. Kama ilivyo ada yangu, nilivaa guo jeupe lililonifunika gubigubi kama maiti. nikaangalia huku na huko, sikuona mtu. Hapo nikasogea karibu zaidi na ule mzimu. Nilipofika nikauimba ule wimbo wote. Nilipomaliza tu nikajitoma kichakani mle bila hofu wala kimeme…nilichokiona humo, sikuamini macho yangu! Mle ndani ya mzimu mlikuwa na makanda na makasha ya tumbaku, unga wa kilevi na bangi kwenye marobota. Kulikuwa na mapipa ya chang’aa na tembo ya mnazi. Humo pia, mlikuwa na kitanda cha besera kilichotandikwa vizuri. Juu ya kitanda hicho, palitupiwatupiwa asumini na maua ya mlangilangi..”

 

a)Eleza aina nne za taswira katika kifungu hiki.                                               (al 4)

b)Ukirejelea hadithi ya” Mzimu wa Kipwerere,” Fafanua jinsi imani katika mambo ya kichawi yamejikita katika jamii.                                                                         (al 6)

(b)Mapambazuko ya Machweo – Clara Momanyi

Onyesha vile Jua la Macheo linawabishia wahusika mbalimbali katika Machweo yao                                                                                          (al 10)

 

_____________________________________________________________________

KISWAHILI

FASIHI (102/3)

KIDATO CHA TATU

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU  

MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

SEHEMU YA A: FASIHI SIMULIZI

  1. Soma kifungukifuatachokishaujibumaswali

Mfalme ana watotowawiliwakiumenaanatakammojawaoamrithi. Kwa sababuhatakikupendeleayeyote, anawapachangamotoyakukimbiahadimjiwambalikwafarasiwao. Yule ambayefarasi wake atafikamwishondiyeatakayemrithi. Nduguhawawanazembeajangwanikwa siku kadhakwasababukilammojaanatakakufikawamwisho. Hatimayewanakutanana mzee mwenyebusaraambayeanawapawosia. Wanapandafarasiupesinakutokambioiliwafikekwenyemjiwambaliwalioagizwana baba yao. Je, Mzee mwenyebusaraaliwaambianini?

. i) Mafumbo

  1. ii) Sifa zake
  • Limefumbajibu
  • -Linahitajimtukuwaza kwanza iliawezekubainifumbo
  • -Limefumbiajuuya mambo yaliyomokatikajamii-farasi, wana, mfalme
  • -Ni refu
  • -Linahitajimantikiilikufumbua
  • -Lina jibulenyemanenomawili

 

  • Wewe nimmojawawanaowasilishiwakiperahiki. Taja mambo matanoutakayofanyailiufanikisheuwasilishajihuu. (al 5)
  1. Kushirikikwakupigamakofi
  2. Kuigizabaadhiyamatukio/matendoyawahusika.
  • Kuulizamaswali.
  1. Hisia/isharawanazoonyeshausonihuwezakumfanyaabadilisheuwasilishaji.
  2. Kutoa – majibu
  3. Kutoamifanoyabaadhiyawahusika
  • Kutoafunzo
  • Kuitikia – mh
  1. Kucheka/kulia.
  2. Kujibu
  3. Kunyamaza(5×1)

 

Soma utungoufuataokishaujibumaswaliyanayofuata

Mtotonikitomzigomzito

  1. i) Methali (alama 1)
  • Elezambinutanoutakazotumiakukidumishakatikajamii. (al 5)
  1. Kuirithisha
  2. Kukifanyiautafitiilikubainishasifa za uwasilishajiwazonakuzihifadhi.
  • Kuzihifadhikwenyemaandishi.
  1. Kujifunzashuleni.
  2. Kuzitamba mara kwa mara.
  3. Kuzihifadhikwenyevideoilikuhifadhisifa za uwasilishajikama vile sauti/kidatu, namiondoko.
  • Kutafitiavyanzovyakudidimiakwazoilikuvidhibiti/kuvitatua.
  • Kuandaamashindanoyakijiperahikiilikurithishautambajiwachokutokakizazihadikingine/kuwafanyavijanawavutiwenazo.
  1. Kufadhili
  2. Kushirikishawageniwaalikwakatikaujifunzajiwakuzifunzakwamitindoanuwaiilikuwafanyawanafunziwavutiwenazo, nakuziendeleza.
  3. Kuzitumiakufunziamasomomenginenastadinyinginekama vile kusikilizanakuzungumza.
  • Kuandaavipindivyaredio au runinganakuwaalikamafananistadikutambailikuwavielelezo.
  • Kuelimishajamiikuhusuumuhimu wake.
  • Wizarayaelimukuwekasera(5×1)
  • Elezambinutanoutakazotumiakukidumishakatikajamii. (al 5)
  1. Fani yenyeweyautambajikwavizazivyasasanavijavyo.
  2. Kukifanyiautafitiilikubainishasifa za uwasilishajiwazonakuzihifadhi.
  • Kuzihifadhikwenyemaandishi.
  1. Kujifunzashuleni.
  2. Kuzitamba mara kwa mara.
  3. Kuzihifadhikwenyevideoilikuhifadhisifa za uwasilishajikama vile sauti/kidatu, namiondoko.
  • Kutafitiavyanzovyakudidimiakwazoilikuvidhibiti/kuvitatua.
  • Kuandaamashindanoyautambajiwanganoilikurithishautambajiwazokutokakizazihadikingine/kuwafanyavijanawavutiwenazo.
  1. Kufadhili
  2. Kushirikishawageniwaalikwakatikaujifunzajiwakiperakuzifunzakwamitindoanuwaiilikuwafanyawanafunziwavutiwenazo, nakuziendeleza.
  3. Kuzitumiakufunziamasomomenginenastadinyinginekama vile kusikilizanakuzungumza.
  • Kuandaavipindivyaredio au runinganakuwaalikamafananistadikutambailikuwavielelezo.
  1. Kuelimishajamiikuhusuumuhimu wake.
  • Wizarayaelimukuwekasera(5×1)

 

 

SEHEMU B :Tamthilia  – BEMBEA YA MAISHA – Timothy Arege

Jibuswali la 2 au 3.

  1. Maisha yasasahayana fundi. Yanamwendeshakilamtukamatawilililosukumwahadilikang’okakutokataaganinakupeperushwanaupepo….Ulimwenguwasasahaubagui. Wadogokwawakubwa…..

 

.a) Nukuu

  • Ni Neema
  • Kwa Bela
  • Wako nyumbanikwaakina Neema
  • Ni baadaya Neema kufikakutokakazininakumpata Bela jikoniakioshavyombo, Kuingiakwa Neema kunamshtua Belampakamkonoinatetemekakwaakilizakezilikuwambali4 x 1 = 4
  1. b) Mbinu za Kimtindo
    • Jazanda– Maisha yasasahayana fundi – Yaani hayanamwenyewe
    • Tashbihi – Yanamwendesha kila mtu kama tawi…
    • Taswira – ya tawi liking’oka na kupeperushwa na upepo
    • Tanakuzi – wakubwakwawadogo
    • Uhaishaji – ulimwengu …haubagui 5 x 1 = 5

 

  1. c) Njia za mtambuamsemewa
  • Hayasemayomhusika- Uzungumzinafsiawa Neema akimshukuruMbunjuanaonyeshanimwenyeshukraniMf
  • MatendoyaMhusika- Neema kumpelekamamakehospitaliinaonyeshamwajibikaji
  • Wasemayowahusikawengine – Dina kusemakuwa Neema anmejaliwaakilipevuinaonyeshanimwerevuMf.
  • Maelezo ya mwandishi au msimulizi –

 

  1. d) Fafanua mbinu ishi wanazotumia wahusika kukabiliana na hali zao kwa kurejelea bembea ya Maisha (Al 8)

 

  1. Kutafutiwa matibabu-Sara anaugua maradhi ya moyo na Neema anamtafutia matibabu bora kukabiliana na hali hii.
  2. Kuomba msaada-Sara anaomba msaada kutoka kwa Dina aje kumsaidia mapishi kwa sababu ya ugonjwa wake.
  • Kuajiri kijakazi-Neema inaidi kumuajiri Bela ili kumsaidia malezi kwani yeye na mumewe aghalabu walikuwa kazini.
  1. Kutafuta mahali pa malazi-Kwa sababu ya tamaduni Neema anamtafutia Sara malazi kwa Asna kwani Sara hawezi kulala kwa Bunju na Neema.
  2. Kuchukua mkopo kwa benki-Bunju anamueleza Neema kuwa mkopo aliouchukua kununua nyumba haumpi amani.Mkopo huu unawasaidia kupata nyumba.
  3. Kujizatiti katika malezi-Baada ya Yona kufutwa kazi Sara anajizatiti ili kuwalea wanawe Neema,Asna na Salome,
  • Kula chakula kidogo-Kiwa ana changamoto ya kukosa chakula na hivyo basi anajifunga mashombo na kujifunza au kuzoesha tumbo lake kula chakula kidogo.
  • Kuambulia ulevi-Yona baada ya kusemwa na wanajamii kuwa amekosa mtoto wa kiume anaingia katika ulevi kujisahaulisha hali hii.
  1. Kutafuta kazi-Asna anaposoma na kukosa kupata kazi anaenda mjini kuishi na kutafuta ajira huko akisema kuwa maisha ni kujaribu
See also  Grade 7 CBC Schemes of Work (Junior Secondary)

 

  1. Naam, bembea! Hata bembea ikiwa ya kamba au chuma hatimaye hulika. Wanasema papo kwa papo kamba hukata jiwe. Bembea inapolika na kukatika haiwi mwisho wa mchezo. Huungwa na mchezo kuanza tena.
  • Kuchanganua mtindo katika kifungu. (al 4)
  • Nidaa: bembea!
  • Methali: papo kamba hukata jiwe
  • Taswira muono:Bembea hulika,..hukatika,..huungwa
  • Jazanda:Bembea-hali ya maisha

 

  • Toni ya ushauri:Bembea hukatika na kuungwa tena. Watu wasikate tamaa maishani,

 

  • Kinaya katika kauli iliyopigiwa mstari.
  • Ugonjwa: Baada ya Sara kupata maradhi na kuwa dhaifu wa mwili Neema anaeleza Yona kuwa Sara ataishi kwa ugonjwa huo milele.
  • Kazi: Yona alikata bembea yake kikazi baada ya kuzama katika ulevi.Hili lilimfanya apigwe kalamu na kuishi bila kazi hiyo ya ualimu.
  • Watoto-Licha ya familia ya Yona na Sara kupata watoto Neema,Salome na Asna bado wanajamii wangali nani atakuwa mridhi wa mali ya Yona
  • Elimu:Licha ya Asna kuwa amesoma na kuhitimu ili aweze` kupata ajira ni kinaya kuwa bado hajafanikiwa kupata kazi kama vile Bunju aneleza Neema.
  • Kuajiri wafanyikazi-: Licha ya Neema kuajiria wazazi wake Yona na Sara wafanyikazi ili waweze kuwasaidia inatokea kuwa kinaya kuwa mmoja anafutwa kwa kukosa uaminifu na mwingine akiacha kaxi kwa kudai kuwa mna kazi nyingi.Bembea hii haijaungika.
  • Tamaduni-Licha ya Neema kujaribu kuunga bembea ya mtazamo wa Bunju kuhusu tamaduni ya kumruhusu Sara alale kwake Bunju anakataa kuunga Bembea hii huku akidai kuwa mila na tamaduni zina mahali pake. \
  • Malezi: Licha ya Neema kulalamikia Bela namna malezi hayajawezekana vyema kwake kumlea Lemi kwa sababu ya kazi hana budi kuendelea kufanya kazi lili kukidhi mahitaji ya familia yake
  • Umuhimu wa mandhari katika Tamthilia
  • Hutambulisha wahusika.mfano nyumbani kwa Yona kunamtambulisha Yona mwenyewe na mke wake Sara.
  • Huonyesha hali ya tukiov migogoro Kwa mfano mgogoro wa Bunju na Neema kuhusu tamaduni unadhihirika nyumbani kwao.
  • Hutambulisha mahali halisi pa tukio Mfano nyumbani kwa Luka kutambulisha mahali halisi ambako Yona na Beni walihudhuria sherehe.
  • Huibua taharuki: Mwandishi anatumia mandhari ya nyumba ya Bunju kuleta taharuki kwani hatufahamu alipoondoka ikiwa alipata hela za kuja kumsaidia Neema mke wake.
  • Kubainisha maudhui kama malezi,yanayodhihirika nyumbani mwa Sara na Yona wanapozungumzia kuhusu mwana wao Neema.
  • Hukuza ploti: Mfano mandhari ya ajali ambako Neema alipata ajali yanaendeleza ploti kwani  tunafahamu Neema na Bunju walipatana vipi.
  • Hubainisha sifa za wahusika.Sifa ya Bunju kuwa mwenye utu inadhihirika katika mandhari ya ajali alimwokoa Neema.

 

 

 

SEHEMU C: USHAIRI

Jibu swali la 4 au 5

 

  1. Soma shairi hili kisha ujibu maswali yafuatayo;

Wangu niliyekupenda, leo nitakufukuza

Kuishi  umenishinda, waniletea mayaza

Ola vile nimekonda, jasadi nimepooza

Uwache kuniumiza,ni heri mwana kunenda

 

Ulikuwa wangu nyonda, huba nikaikoleza

Kukupendakamatunda, embelenyeuliwaza

Ukajigeuzapunda, teke umenicharaza

Uwachekuniumiza, ni herimwanakunenda

 

Nimekondakamangonda, mwandaniwanilemaza

Sautiyoyakinanda, sitakikusikiliza

Sikutaki bora kwenda, muhibuwanishangaza

Uwachekuniumiza, ni herimwanakunenda

 

Mengiulionitenda, si madogoyakupuza

Nalikupakilagwanda, uvae na kupendeza

Ulikula na kuwanda, kadiriulivyoweza

Uwachekuniumiza, ni herimwanakunenda.

 

Kinyumeulipokwenda, nilidhanikuteleza

Na wewehukujilinda, nyendombayakupunguza

Chakuvundakishavunda, hataukikifukiza

Uwache kuniumiza, ni heri mwana kunenda

 

Mja wewe wanishinda, kwa tama wachukiza

Kila kitu unadanda, kingawa cha kuumiza

Huwi ndani ya kibanda, huishi kujitembeza

Uwache kuniumiza, ni heri mwana kunenda

 

 

  1. a) Nafsineni – Mpenzi

Wangu niliyekupenda, leonitakufukuza

 

Alama 1 kutajana 1 Kufafanua =2

 

  1. Umuhimuwakipokeo:

Uwache kuniumiza, ni heri mwana kunenda  1 x 1 = 1

 

  1. Kimalizio cha ubeti
  2. Msisitizowaujumbewamashairi

2×1=2

  1. Sifa za kiarudhiubeti 3
  2. Mishororominne
  3. Vipandeviwili
  • Mizani: 8: 8

8: 8

8: 8

8: 8

  1. Vina: nda : za

Nda : za

Nda: za

Za :nda

4×1=4

  1. Methali : cha kuvundahakinaubani (al 4 x 1 = 4)

1×2=2

  1. Maudhuiubeti -sita(6)

Kutamauka                                                    2×1=2

Mapenzi

 

  1. Sauti yampenzi wake ambayoninzurikamayakinanda 1×1=1

 

  1. Mshairianaongeakuhusumpenzi wake aliyempendakamaembe. Anasemakuwampenzihuyoalimgeukanakukosashukrani vile pundaafanyavyo. Anamsihimpenzi wake aondokebadalayakuendeleakumtesa 4×1=4

 

 

  1. Urudiaji
    • Urudiajiwasilabi – za mf
    • Urudiajiwamshororo – Kiwagizo

Uwache kiniumiza , ni heri mwana kunenda                     2 x 1 = 2

  • Urudiajiwaneno – nimekonda

 

 

  1. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.

 

Tusizowee kusema, hili ni teuo langu

Huenda huji mapema, -angu huja kuwa tungu

Ikaja kukusakama, na kukuposha kwa Mungu

Pana haja ya kupima.

 

Neno huwa ni la kwako, likiwa ndani moyoni

Lakini katu si lako, likishavuka menoni

Kwa hivyo likutokako, liweke kwenye mizani

Linaweza kuwa cheko, ama tusi kwa wendani

Pana haja ya kupima.

See also  Agriculture Grade 6 CBC Free Schemes of Work

 

Vivyo hivyo kwa lebasi, huwa yako kisutuni

Hivyo nina wasiwasi, wambe yako sebuleni

Itavutiya matusi, ya wenzio insani

Wakakuchoma nafusi, kwa mishale ya lisani

Pana haja ya kupima.

 

Mwana ujuwe ni wako, punje ukiimezele

Lakini katu si wako, nde ukimletele

Akiwa yu ndani yako, ni wa duniya vivile

Ukishishila ni wako, muavye tukakuole

Pana haja ya kupima.

 

Maisha nayo si yako, utabaradi milele

Ungayaishi ja yako, ni tunu ya maumbile

Mgawa si kufu yako, mshindane hili lile

Akupapo akupako, utaishi pale pale

Pana haja ya kupima.

 

Ni chetu, chako si chako, ulimwengu huwa vile

Juhudi zingawa zako, wa kufaidi ni wale

Ikifika siku yako, nyono zikukae mbele

Ulichosema ni chako, huwabakiya wawale

Pana haja ya kupima.

 

Kaseme na moyo wako, ubaini haya yale

Ukuambacho ni chako, kisikupe mageule

Kitu utajacho chako, huenda kiwe cha wale

Na usemacho si chako, kiwe chako ndicho kile

Pana haja ya kupima.

 

(Maanga ya Ushairi na Diwani ya Mjileo – Henry Indindi)

SEHEMU YA A: USHAIRI

  • Pana haja ya kupima 1×1=1
  • Kuchuja mambo kabla ya utekelezaji 2×1=2
  1. Mtoto ni wa jamii si wa mzazi tu
  2. Mavazi katika chumba cha kulala – nje si yako
  • Tupime maneno tunayosema

3×1=3

  1. Takhmisa – mishororo 5 kila ubeti
  2. Msuko – kibwagizo kina mizani chache/kimefupishwa
  • Mathnawi – vipande 2
  1. Ukaraguni – kila ubeti una mpangilio wa vina vyake (4×1=4)

Binadamu 1×1=1

Kutahadharisha/kukanya 1×1=1

 

Mshairi anasema kuwa mwana ni wako wakati wa kupata himila. Anasisitiza kuwa mwana si wako akisha kuzaliwa. Hata akiwa tumboni mwako ni wa dunia/jamii. Anaongeza kusema kwamba ukishikilia kuwa mwana ni wako jaribu kuavya mimba uonekane. Mshairi anamaliza kwa kusema kuwa ni vyema kuchunguza tunayoyafanya.

4×1=4

Baadhi ya mifano:

  1. Lahaja – Ukishishila (ukishikilia)
  • Tukakuole (tukakuone)
  • Nde – nje
  • Tungu – chungu
  1. Mazida – ukiimezele badala (ukiimeza)
  • Ukimletele (ukimleta)
  • Inkisari – kaseme (sema/ukaseme)
  • Vivile (vilevile)
  • Ukuambacho – (ukuambiacho)
  1. Kuboronga sarufi – nde ukimletele (ukimletele nde – ukimleta nje)
  2. Tabdila – Tuzowele (tulilozoea)
  • Duniya (dunia)
  • Ujuwe (ujue)
  • Tusizowee (tusizoee)
  • Huwabakiya (huwabakia)
  • Mageule – mageuzi

(Uhuru wowote 3 x1 = 3)

(i) lebasi – mavazi

(ii) punje ukiimezele – wakati wa kupata himila (2×1=1)

 

 

 

 

 

 

 

SEHEMU D : Hadithi Fupi – Mapambazuko ya Machweo 

 

 

Mzimu wa kipwerere

7.“Siku iliyofuata, majira ya magharibi pevu, nilifika pale mzimuni. Kama ilivyo ada yangu, nilivaa guo jeupe lililonifunika gubigubi kama maiti. nikaangalia huku na huko, sikuona mtu. Hapo nikasogea karibu zaidi na ule mzimu. Nilipofika nikauimba ule wimbo wote. Nilipomaliza tu nikajitoma kichakani mle bila hofu wala kimeme…nilichokiona humo, sikuamini macho yangu! Mle ndani ya mzimu mlikuwa na makanda na makasha ya tumbaku, unga wa kilevi na bangi kwenye marobota. Kulikuwa na mapipa ya chang’aa na tembo ya mnazi. Humo pia, mlikuwa na kitanda cha besera kilichotandikwa vizuri. Juu ya kitanda hicho, palitupiwatupiwa asumini na maua ya mlangilangi..”

a)Eleza aina ya taswira katika kifungu hiki.          Taswiramwendo– Haponikasogeakaribuzaidina …

  • Taswiraoni/muono-nilichokionahumo, sikuamini macho yangu!/nikaangaliahukunahuko
  • Taswiramnuso-asumininamauayamlangilangi.
  • Taswirasikivu– nikauimba ule wimbowote
  • Taswirahisi-nikajitomakichakanimlebilahofuwalakimeme(4×1)

 

  1. b) Ukirejelea hadithi ya” Mzimu wa Kipwerere,” Fafanua jinsi imani katika mambo ya kichawi yamejikita katika jamii. (al 6)

Ni imanipotovukuhusiananamasualayaramli, uchawi, mizimunamasualayaainahiyo.

  1. InaaminikakwambaKipwererealimpatashetanialiyefichuadamu.Hiindiomaana Kichaka hiki cha kutishakinachohusiananamatendoyakishetanikikapewajinaMzimuwaKipwererekwanijamaahuyualizikwahapa
  2. Pia,haikuruhusiwamtukupitakaribunakichakahiki cha kutishamajirayasaasitamchana.Iwapokunamtuatathubutukupitahapowakatihuobasiatakufanakutolewakafara.
  • Kwa kuongezea, hakuna mtualiyeruhusiwakupita pale majirayausiku.Inasemekanakwawakatihuondipomashetaniwanaoishikwenyemsituhuowanafanyashughulizao. Kwa hivyo, iwapoutavunjamiikohiibasiutakufa.
  1. pia, hakuna mtualiyeruhusiwakuingiakwenyemsituhuokamasimmojakatiyaWazeewamji au wale wanaojiitawahengawaliotukuka.Ukithubutukuingiahumondanibasiutakutananamashetaniwatakaokufanyamaliyao.
  2. Inaaminikakuwaunapopitahaponausikiewatuwakiongea;mumenamke,basiujuekwambashetani pia ana mkenawakokatikaharakatizao za kupangamipangoyao.
  3. Pia kuongeakwahawamashetanikwasautiyachinikunaishiriakuwawatotowaowamelala.Kwahivyowanatumiafursahiyokushauriananakupangamikakatiyaoyakuendelezamaisha.
  • Unapopitakaribunamzimunausikieharufu kali yasigara, basiinaaminikakuwashetani pia wanavutasigara. Kwa hivyowakatihuowanavutasigara.KatikakijijihikiSalihinandiyeakiyeruhusiwakufanyakimilakama vile matambikoiwapokunamwanakijijiyeyoteamekumbwanajambo .
  • Pia iwapokunawatotowanaotakakupashwatoharanilazimawaletwe pale mzimuniilikuombewanakupewa baraka naSalihina. Mizimuikikubalishughulihiyoifanyikebasi, itafanyikabilamadharayoyote.
  1. Inaaminikakuwakukiwanaharusi au shereheyoyotekijijininilazimaSalihinaazungumzenamizimuilihiyoshereheifane.
  2. Mtuanapotakakuingiamzimuninilazima awe naufunguo. Ufunguoambaoniwimbo.Ni wale watuwanaojuakuuimbatundiowanaowezakuingiamzimuni. Ilimlazimumsimulizikujifunzawimbohuundipoawezekuingiakwenyemsituhuu.
  3. Ulaghaikwasababuyaushirikina- Kuna wimbounaoaminiwakuwaufunguowakuingiamzimuni. AnausikiakutokakwaSalihinanakuuimbakishakuingia.Lakushangazanikuwahamwonishetaniyeyoteanavyotarajia.AnagunduakuwaSalihinandiyeanaendeshashughulizotewanazoshuhudiamsitunihumo.
  • Mihadaratikuuzwahukuwalanguziwakitumiawogawamzimu-SalihinanaBishoowanatumiaitikadinaimanipotovukuchuuzamihadarati. Bishooanamwelezampango wake wakusafirishadawahizokwakubebandoowanazodaikuwawanaendakuchoteashetaniwamzimumaji.Hatapolisiwenyewewanawaruhusu!Ndoohizohatimayezinajazwa‘mzigo’;mihadarati.

(6×1)

 

 

(b)MapambazukoyaMachweo – Clara Momanyi

Onyesha vile Jua la MacheolinawabishiawahusikambalimbalikatikaMachweoyao

(al 10)

  • Mapambazukoyamachweohumaanishakuwamtu au halikubadilikanakuwanzuriwakatiwauzee au kupotezamatumaininakuwanzuri.
  • Makuchaakiwabadokijanaakifanyakazi (mapambazuko) alistaafishwabilakutarajia (machweo) hakupewahatafidia
  • MacheomkewaMakuchaalikaa pale nyumbaniakisubiri siku zake za mwishoduniani- kupotezamatumainikamajina lake
  • Vijana na Watoto wakiwabadowachanga (mapambazuko) Maisha yaoyaliharibiwakwakukosakwendashule, nakujiingizakatikamihadaratinakufanyishwakaziyakuchimbamigodi (machweo) bilaelimukeshoyaoimefifia.
  • Katika uzee wake mzee Makutwa (machweo) alikuwaanashirikiananavijananakustarehe. Anakirikuwahatakamani mzee aliendeleakuishikamakijana(mapambazuko)
  • Mzee makuchaalikuwaamekubaliuzee wake kwamajutomengi, anasemaalingojatukifochake. Anaonaujanaulimpita.
  • Mzee makuchaanaaminikuwahatakamaamezeeka (machweo) kuna siku atapataafueni (mapambazuko)
  • Sai na Dai nivijanawaliosomakatika chou kiku, wanafanyakaziyautingonaupagazi.wanaonaingawanivijana(mapambazuko) Maisha yaoyamegongamwamba (machweo). Wanaonawamechelwa, tayariwamefikaalasirinahawanakazi.
  • Mzee makutwaalikuwaanaishi Maisha yakitajiri (mapambazuko) alipofikishwakorokoronimaishayakeyautajiriyalifikiaukingoni (machweo)
  • Mzee Makuchaalikuwaamefikamachweo( amepotezamatumaini) lakinikilekitendo cha kusaidiapolisikumkamataMakutwakilifanyaatunukiwepesanatajirimmoja (mapambazuko)
  • Wale vijananawatotowaliokuwawamefungiwa pale kwamgodikama (machweo) waliokolewana askari naMakucha. Maisha yaoyalipambazuka.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


Posted

in

by

Tags:

Comments

One response to “Form 3 Kiswahili Exams and Marking Schemes Free”

  1. Win faith mwende Avatar
    Win faith mwende

    Thankyou it is helpful

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *