Free Kiswahili Grade 7 CBC Schemes of Work For Junior Secondary
Also get;
Business Studies Grade 7 CBC Free Schemes of Work
CBC Grade 7 Social Studies Schemes of Work Free Editable Word, PDF Downloads
Grade 7 CBC Free Notes and Schemes of work pdf; Junior Secondary
Grade 7 Free Exams: Junior Secondary Termly Exams and Answers
JSS Grade 7 CBC Novel list (Kiswahili and English set books)
Health Education Grade 7 CBC Free Schemes of Work
Computer Science Grade 7 CBC Schemes of Work For Junior Secondary
Free Grade 7 CBC Curriculum Designs, Notes & Schemes of Work [Junior Secondary]
Grade 7 CBC Performing Arts Complete Schemes of Work Free
Official Grade 7 CBC Assessment Report For Junior Secondary Schools
Mathematics Grade 7 CBC Schemes of Work For Junior Secondary
Junior Secondary Core Subjects (Mandatory Subjects) in grade 7,8 and 9
Grade 7 Free CBC Schemes of Work {Updated Version}
Social Studies Grade 7 CBC Schemes of Work For Junior Secondary
WIK | KIP | MADA
KUU |
MADA
NDOGO |
MATOKEO
YANAYOTARAJIWA |
MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA UJIFUNZAJI | MASWALI
DADISI |
NYENZO | TATHMINNI | MAO | |
1 | 1 | USAFI WA KIBINAFSI | Kusikiliza na kuzungumza –kusikiliza na kujibu | Kufikia mwisho wa mada ndogo ,mwanafunzi aweze :
-Kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia katika usikilizaji wa mazungumzo na kujibu maswali |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vipengele muhimu katika usikilizaji na mazungumzo -kutambua vipengele vya kujibu maswali ya mazungumzo |
Je, ni vipengele gani unapaswa kuzingatia unapozungumza na kujibu maswali? | -Kurunzi uk. 1-3
-vifaa halisi : mswaki,sabuni,ktana |
maswali ya muhtasari | ||
2 | Kusoma-Kifungu cha simulizi | Kufikia mwishowa somo mwanafunzi,
1.Aelezwe maana ya mazungumzo 2.Asome kwa kuigiza mazungumzo aliyopewa 3. Afurahiye kujibu maswali yanayohusiana na hadithi aliyoisoma |
-kusikiliza kwa makini maelezo
-kuigiza kwa makundi Kufanya zoezi |
Mazungumzo ni nini?
Umuhimu wa mazungumzo ni upi katika Maisha ya binadamu? |
Kuruzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 2-5 |
Zoezi vitabuni | ||||
3 | Kuandika-Herufi kubwa na kikomo | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze
1.kukumbushwa kuhusu viakifihi 2kutambua alama ya kikomo na panapotumika herufi kubwa 3.kuakifisha vifungu alivyopewa kwa usahihi. |
-kutambua kwa kujadiliana
-kuakifisha vyema -kufanya zoezi alilopewa bila kutatizika |
Herufi kubwa na kikomo hutumika vipi?
Kuakifisha kuna umuhimu gani kwa mwanafunzi |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 6-10 | Kutazama video
Chati ukutana
kiada |
||||
4 | Sarufi-Nomino za pekee na kawaida | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze,
1.kufahamu maana ya nomino 2.kutambua nomino za pekee na nomino za kawaida 3.kutumia nomino za pekee na za kawaida katika mazungumza ya kila siku |
-kujadiliana
-kueleza -kutambua Kufanya zoezi |
Nomino ni nini?
Kuna umuhimu wa kujua aina mbalimbali za nomino? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 11-14 | Kiada
Kadi mbalimbali Maonyesho mtandaoni |
||||
2 | 1 | LISHE BORA | Kusikiliza na kuzungumza-Sauti /dh/ na /th/ | Kufikia mwisho wa somo; mwanafunzi aweze;
1.kuelezwa kuhusu lshe bora. 2.kutambua vyakula vinavyozingatia lishe bora kwa kuzingatia sauti dh na th 3. kutambua maneno yalyotumia sauti dh na dh |
-kueleza na kusikiliza
-kutambua -kufanya zoezi[ |
Lishe bora una umuhimu gan katika Maisha ya binadamu?
Mifano ya vyakula vilivyo na sauti dh,th ni kama gan?
|
Kurunzi ya kiswahl kitabu cha mwanafunz uk 15-18 | |||
2 | Kusoma kwa mapana | Kufika mwisho wa somomwanafunzi aweze;
1.kusoma kifungu alichopewa 2.kuchambua kifungu hicho. 3.kujibu maswal ya ufahamu |
Kuskiliza maelezo
-kusoma ufahamu -kuchambua ufahamu -kujibu maswali ya ufamu |
Ufahamu kitabuni
Kamusi sanifu |
Kurunzi
Ya Kiswahili uk 18-20 |
Kitabu cha mwanafunzi | ||||
3 | Kuandika –Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. Kutambua muundo na umbo la barua ya kirafiki 2. Kujadili barua ya kirafiki aliyopewa 3. Kuandika mfano wa barua ya kirafiki. |
Kusikiliza na kuzungumza
-kusoma na kuchambua barua ya kirafiki -kuandika barua ya kirafiki |
Barua ya kirafiki ina umbo na muundo gani?
Barua ya kirafiki ina umuhimu gani? |
Kurunz ya kswahil uk 21-22 | Kiada
Kitabu cha marudio |
||||
4 | Sarufi-nomino za makundi na za dhahania | Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. Kukumbuswa kuhusu nomino za makundi na za dhahania 2. Kutamua nomino za makundi na za dhahania 3. Kuandika mifano ya nomino za makundi na za dhahania |
-Kujadiliana katika makundi madogomadogo.
-kutambua nomino mbalimbali za makundi na za dhahania
-kuandika mifano ya nomino za makundi na za dhahania
|
Nominoya makundi ni nini?
Kuna tofauti gani kati ya nomino za makundi na za dhahania? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 22-28 | Kiada
Vitabu vya marudio Chati Maonyesho mtandaoni |
||||
3 | 1 | UHURU
WA WANYAMA |
Kusikiliza na kuzungumza –Tanzu za Fasihi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kutazama picha zilizochorwa vitabuni kwa makini 2. kuelezwa kuhusu maana ya fasihi simulizi 3.kujadiliana sifa za tanzu za fasihi simulizi |
-Kutazama kwa makini
-Kujadiliana kwa kina -Kutoa na kuandika maelezo |
Fasihi simulizi ni nini?
Tanzu za fasihi simulizi ni zipi?
Sifa za tanzu za fasihi simulizi ni kama gani? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 29-32 |
Maonyesho mtandaoni
Kiada
Chati
Kadi ukutani |
||
2 | Kusoma kwa mapana-Novela | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1 kuelekezwa namna ya kusoma novela za Kiswahili 2 kuelekezwa kuchambua novela ya Kiswahili 3 kutengewa muda wa kusoma novela
|
-Kusikiliza na kuzungumza
-Kusoma novela
-Kuchambua novela ya kiswahili |
Novela ni nini?
Hatua za kuchambua novel ani zipi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 35-36 | Kitabu cha mwanafunzi
Novela za kiswahili
|
||||
3 | Kuandika-insha ya kubuni | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kufahamu maana ya insha ya kubuni
2. kutazama mfano wa insha ya kubuni
3.kuandika insha ya ubunifu. |
-kusikiliza kwa makini.
-kusoma Makala mbalimbali
-kuandika insha kwa kuzingatia ubunifu ufao.
|
Insha ya kubuni ni ipi?
Ubunifu huzingatia maswala yepi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 37-40 | Vitabu vya marudio
kiada |
||||
4 | Sarufi-Nomino za wingi na vitenzi-jina | Kufikia mwisho wa soko mwanafunzi aweze;
1.kufahamu nomino za wingi na za vitenzi-jina 2. kutambua nomino za wingi na za vitenzi- jina 3. kutumia nomino za wingi na za vitenzi-jina |
-kujadiliana katika makundi madogomadogo
-kutambua
Kuandika na kufanya zoezi |
Nomino za wingi na za vitenzi jina ni vipi?kwa nini mwanafunzi afundishwe nomino hizo?
|
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk41-46 | Chati
Maandishi ubaoni
Kitabu cha mwanafunzi |
||||
4 | MTIHANI WA TATHMINI | |||||||||
5 | 1 | AINA ZA MALIASILI | Kusikiliza na kuzungumza-Nyimbo za watoto na Bembelebzi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kufahamiswa maana ya maliasili na maana ya nyimbo za Watoto
2. sifa za nyimbo za Watoto
3.kuimba nyimbo za bembelezi |
-Kujadiliana
-Kutambua -Kuandika -kuimba nyimbo za bembelezi
|
Bembelezi ni nini?
Umuhimu wa nyimbo hizi ni upi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabucha mwanafunzi uk 47-52 | Picha mtandaoni
Maonyesho darasani
Kitabu cha mwanafunzi |
||
2 | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. aweze kusoma vifungu alivyopewa 2. kutambua hatua za kusoma kwa ufasaha 3. kuchambua na kujibu maswali ya vifungu alivyosoma |
Kusoma
Kujadiliana Kuchambua Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma kwa ufasaha ni kufanya nini?
Hatua zipi zinazozingatiwa ili usome kwa ufasaha? |
Kurunzi ya Kiswa hili kitabu cha mwanafunzi uk 53-56 | Kitabu cha mwanafunzi
Maandishi ubaoni
|
||||
3 | Kuandika –insha ya kubuni ;masimulizi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1.kusoma mfano wa insha ya masimuli
2.kuandika mfano wa insha ya masimulizi
4.Kufurahia kubuni hadithi na kuwasilisha kwa njia ya maandishi |
-Kusoma hadithi
-kuandika insha -kubuni hadithi na kuhadithia bila uoga |
Masimulizi ni nini?
Hatua za kuhadithia hadithi ya kubuni? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafu uk57-60 |
Kitabu cha mwanafunzi
Vitabu vya marudio |
||||
4 | Sarufi – Nyakati na Hali | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufamu maana ya nyakati na hali 2. kutambua nyakti za Kiswahili 3. kuweza kutumia nyakati na hali zifaazo katika mazungumzo ya kila siku |
– Kutambua
– Kujadiliana – Kuandika – kuwasiliana |
Nyakati na hali za Kiswahili ni zipi?
-kwa nini mwanafunzi atambuliswe kuhusu nyakati na hali za kiswahili |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk60-66 |
Chati ukutani
Maandishi ya mwalimu
kamusi |
||||
6 | 1 | UNYANYASAJI WA KIJINSIA | Kusikiliza na kuzungumza –mazungumza mahususi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufahamu maana ya mazungumzo 2. kuzingatia muktadha mahususi wakati wa mazungumzo 3. kuzungumza pasipo matatizo |
-kujadiliana na kuwasilishafanya majadiliano
-kuandika maelezo ya mwalimu
Kufanya mazungumzo darasani |
Mazungumzo mahususi huhusiana na nini?
Mazungumzo huzingatia hatua gani? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk67-73 | Maonyesho darasanimtandaoni
Kutazama mfano wa mazungumzo |
||
2 | Kusoma-ufahamu | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma nakala 2. kuchambua kifungu 3. kujibu maswali ya ufahamu |
-Kusoma
-kujadiliana -Kuandika -Kufanya zoezi |
Kwa nini mwanafunzi asome ufahamu?
Hatua za kusoma ufahamu ni kama gani? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 73-76 |
Kiada
Kamusi
ubao |
||||
3 | Kuandika – insha ya maelekezo | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kuelezwa kuhusu insha ya maelekezo 2. kusoma mfano wa insha ya maelekezo 3. kuandika insha ya maelekezo. |
-Kusikiliza kwa makini
-kusoma mfano wa insha -kuandika insha |
Insha ya maelekezo ni gani?
Muundona muundo wa insha hii ni gani? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk76-80 | Kitabu cha marudio
Kiada
Ubao
|
||||
4 | Sarufi- Nyakati na Hali | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kukumbuswa kuhusu nyakakati na hali 2. kutambua hali hali za Kiswahili 3. kuwa na uwezo kutumia nyakati katika hali mbalimbali |
Kujadilia kuhusu somo la awali
Kutambua na kuandika maelezo ubaoni
Kuandika na kufanya zoezi kuhusu hali na nyakati mbalimbali |
Kuna hali zipi unazofahamu?
Kwa nini mwanafunzi afundishwe kuhusu hali hizi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 80-86 | Kiada
Kamusi Chati ukutani Maonyesho mtandaoni |
||||
7 | 1 | USALAMA SHULENI | Kusikiliza na kuzungumza –kusikiliza kwa kufasiri | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. asikilize kwa kufasiri Makala atakayosomewa 2. ajadili kuhusu usalama shuleni 3. mwanafunzi ahakikishe usalama shuleni kwa kuzingatia aliyosoma na kusikiliza |
-Kusilkiliza kwa kufasiri
-Kujadiliana na kuandika kilichojadiliwa -Kufanya zoezi atakalotoa mwalimu |
Kufasiri ni kufanya nini?
Kusikiliza kwa kufasiri ni kufanya nini? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi
Uk 88-90 |
Mtandao
Kiada
Maandishi ubaoni |
||
2 | Kusoma-dhana za maudhui na dhamira | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma kwa kuzingatia maudhui na dhamira 2. kutambua maudhui na dhamira ya kifungu alichopewa 3. kuchambua kifungu na kujibu maswali ya ufahamu. |
-Kujadiliana na kuwasilisha majadiliano
-Kuandika maelezo
-Kuuliza na kujibu maswali |
Maaudhui na dhamira ni nini?
Kwa nini tuzingatie maadhui na dhamira unaposoma hadithi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 90-92 | Kiada
kamusi |
||||
3 | Kuandika-insha ya masimulizi;Picha | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kujua muundo na mtindo wa insha yamasimulizi 2. kutazama picha kwa makini 3. kusimulia alichoelewa kutokana na picha ile |
-kutazama
-kujadiliana -kuandika -kutathmini |
Insha ya picha huandikwaje?
Insha ya picha huwa na muundo upi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 93-93-95 | Maandishi vitabu
Vitabu vya marudio |
||||
4 | Sarufi-vitenzi na vitenzi visaidizi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kujua tofauti ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi 2. kutambua vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi 3. kuweza kutumia vitenzi vikuuu na vitenzi visaidizi |
-Kutofautisha
-Kujadiliana npamoja na kuandika -Kufanya zoezi Kutumia |
Vitunzi vikuu na vitenzi visaidizi ni nini?
Vitenzi hivi hutumika aje kwenye sentensi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi
Uk95-100 |
Kiada
Ubao Vitabu vya marudio |
||||
8 | 1 | MTIHANI WA MWIGO | ||||||||
9 | 1 | KUHUDUMIA JAMII SHULENI | Kusikiliza na kuzungumza –ufahamu | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi a
weze; 1. kufahamishwa kuhusu kusikiliza kwa kufahamu 2. kutambua hatua za kusikiliza kwa kufahamu 3. kuweza kusikiliza kwa kufahamu |
-Kusikiliza
-Kuuliza na kuuliza maswali -Kujadiliana na kuwasilisha kilichojadiliwa |
Kwa nini mwanafunzi afundishwe ufahamu?
Hatua za kujibu maswali ya ufahamu ni zipi? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 101-103 | Kiada
Kamusi
ubao |
||
2 | Kusoma-Ufupisho | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma ufamau 2. kuchambua ufahamu 3. kujibu maswali ya ufahamu |
-Kusoma
-Kuuliza na kujibu maswali -Kujadiliana na kuandika kilichojadiliwa -Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma ufahamu kunahusu nini?
Maswali ya ufahamu yanajibiwaje? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 104-106 | Kiada
Daftari ubao |
||||
3 | Kuandika-insha za kubuni-Maelezo | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kukumbushwa kuhusu insha ya maelezo 2. kusoma mfano wa insha ya maelezo na kujadili 3. kuandika insha ya maelezo |
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali Kuandika insha ya maelezo |
Kwa nini mwana funzi afundishwe insha ya maelezo?
Insha ya maelezo ina muundo na mtindo gani? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi | Kiada
Ubao vitabu vya insha kabambe |
||||
4 | Sarufi-vitenzi vishirikishi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kujadili kuhusu vitenzi vishirikishi 2. kutambua vitenzi vishirikiishi 3. kutumia vitenzi vishirikishi kwa ufasaha |
Kujadiliana.
Kuwasilisha majadiliano. Kujibu na kuuliza maswali. Kuandka kilichojadiliwa. |
Vitenzi vishirikishi ni nini? | Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk106-109 | Kitabu cha mwanafunzi
Ubao
daftari |
||||
10 | 1 | ULANGUZI WA BINADAMU | Kusikiliza na kuzungumza – kupasha Habari | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kugundua maana ya matangazo ya kupasha habari 2. kutambua aina ya matangazo ya kupasha habari 3. kutumia vipengele vya kuzingatia katika mazungumzo ya kupasha habari |
Kujadiliana
Kuandika
Kujibu na kuuliza maswali |
Habari ya kupasha habari ni gani?
Vipengele gani vinavyofwatwa katika mazungumzo ya kupasha habari? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi Uk114-118 |
Kiada
Kamusi
daftari |
||
2 | Kusoma kwa kina-manndari na ploti-mandhari katika novela | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kusoma ufahamu 2. kuchambua ufahamu 3. kujibu maswali ya ufahamu
|
-Kusoma kujadiliana
-kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu Kuandika na kufanya zoezi la ufahamu |
Ufahamu humusaidia mwanafunzi aje?
Maswali ya ufahamu yanalenga nini? |
Kurunzi ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi
Uk118-123
|
|||||
3 | Kuandika-viakifishi;kiluzi na Koma | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufahamiswa kuhusu viulizi na koma katika uandishi 2. kutambua matumizi ya koma na viulizi katika uandishi 3. kuandika insha akizingatia allama za koma na viulizi |
-Kujadili
-Kutambua -Kuandika -kutumia |
Koma na viulizi ni alama zipi?
Kwa nini alama za koma na viulizi zitumike? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi Uk123-126 |
Kiada
ubao |
||||
4 | Sarufi-Ngeli na upatanisho wa Kisarufi | Kufikia mwisho wa somo mwanafunzi aweze;
1. kufahamu ngeli za Kiswahili 2. kutambua upatanisho wa ngeli katika sarufi 3. kutumia |
-kufahamu
-kujadiliana -kuandika |
Ngeli ni nini?
Kwa nini ngeli izingatiwe? |
Kurunzi ya Kiswahili
Kitabu cha mwanafunzi uk 127-136 |
Chati ukutani
Maonyesho mtandaoni? |
||||
11,12,13 – MAREJELEO ,KUDURUSU ,MAANDILIZI YA MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA ; KUFUNGA SHULE KWA MUHULA WA KWANZA. | ||||||||||